Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hamjawahi julikana mnataka nini hasa.
Kwa kifupi nyie wenyewe hamjui mnataka nini!
Kwa kifupi nyie wenyewe hamjui mnataka nini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Attractive,anayejiamini na kujielewaHuyu either Ni man au Ni dem mwenye akili nyingi sana
Cha muhimu ni kwamba kama umejaribu kumvutia mdada kwa kutumia mali, magari au pesa basi usitarajie upendo. Hakikisha huwi na hisia zozote za kweli na huyo mwanamke unayemwita rahisi.
Lakini kumbuka wanaume wanaowatawala wanawake ni wale wanaojiamini bila kutegemea kuthaminiwa kwa vitu wanavyomiliki.
Pia kuna wanawake wana pesa na magari mazuri kushinda wewe? Utawavuta na nini? Kamba? Au utaendelea tu kutafuta wanawake masikini na wasiojiamini?!
Haha..Actually hapo kwenye "feelings" ipo na pochi humohumo Carleen.
Ila ningeandika how to unlock his pochi, wananchi wangenivamia.Hahahahha
Ngoja nikitafute hicho kitabu now ulichoniandikia
Kuna wanawake 100+wangetoa namba na jamaa angeenda kula mzigo siku hiyo hiyo,bahati mbaya alikutana na wewe ambaye haushoboki na hivyo vitu.Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
Wanawake wengi pia hawajiamini. Atawapata hao. Huwezi kuwa na mwanaume wa peke yako eti kwa sababu hajui kutongoza. Na siwezi kuwa na mwanaume na kutarajia eti atakuwa wangu peke yangu. Matarajio huumiza.Mi nadhani kwa wewe mwanamke ingekusaidia sana mana kuwa na boyfriend ambae hajui kutongoza ni faida kwako,
Kwamba hawezi kuwa na wanawake wengi kutokana na namna anavo approach,hii ingekuhakikishia Zaid usalama wa penz lako kwake
Uko sahihi. Wapo wengi mno atawapata. Women with low self-esteem are there for him.Kuna wanawake 100+wangetoa namba na jamaa angeenda kula mzigo siku hiyo hiyo,bahati mbaya alikutana na wewe ambaye haushoboki na hivyo vitu.
Wengi wenu,Wala hawatongozwi,hujitongozesha wenyewe tu.
Any way huo ni mtazamo wako,amekukosa wewe kutokana na msimamo wako na mtwzamo,lakini atapata wengine 100+nothing to loose here dear!!boys will always be boys.
James usikasirike. Endelea tu kutongoza. Utawapata wengi na kuwala. The Rule of Dating states that "The More You Approach Girls, The More Goals You Score".Wadada wa kibongo ndo mnapokosea, huyo jamaa bado humfaham kabisa, na hiyo ni tabia ya wanaume wote.. Kama uko single, kwani ungekufa kumpigia na kumfaham zaidi?
Unamjua?Attractive,anayejiamini na kujielewa
viko kwa pdf na ni vizuriNilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.