Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Cha muhimu ni kwamba kama umejaribu kumvutia mdada kwa kutumia mali, magari au pesa basi usitarajie upendo. Hakikisha huwi na hisia zozote za kweli na huyo mwanamke unayemwita rahisi.

Lakini kumbuka wanaume wanaowatawala wanawake ni wale wanaojiamini bila kutegemea kuthaminiwa kwa vitu wanavyomiliki.

Pia kuna wanawake wana pesa na magari mazuri kushinda wewe? Utawavuta na nini? Kamba? Au utaendelea tu kutafuta wanawake masikini na wasiojiamini?!

Kwani lengo si kukojoa tu huyo wa hela nizifanye nini hela zake
 
Hiki pia ni bonge la kitabu kwa atakaependa kusoma.

Screenshot_20220303-105135_PDF Reader.jpg
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.

"Haina shida." Nikajibu.
Kuna wanawake 100+wangetoa namba na jamaa angeenda kula mzigo siku hiyo hiyo,bahati mbaya alikutana na wewe ambaye haushoboki na hivyo vitu.

Wengi wenu,Wala hawatongozwi,hujitongozesha wenyewe tu.

Any way huo ni mtazamo wako,amekukosa wewe kutokana na msimamo wako na mtwzamo,lakini atapata wengine 100+nothing to loose here dear!!boys will always be boys.
 
Mi nadhani kwa wewe mwanamke ingekusaidia sana mana kuwa na boyfriend ambae hajui kutongoza ni faida kwako,
Kwamba hawezi kuwa na wanawake wengi kutokana na namna anavo approach,hii ingekuhakikishia Zaid usalama wa penz lako kwake
 
Wanawake wengi pia hawajiamini. Atawapata hao. Huwezi kuwa na mwanaume wa peke yako eti kwa sababu hajui kutongoza. Na siwezi kuwa na mwanaume na kutarajia eti atakuwa wangu peke yangu. Matarajio huumiza.
 
Kuna wanawake 100+wangetoa namba na jamaa angeenda kula mzigo siku hiyo hiyo,bahati mbaya alikutana na wewe ambaye haushoboki na hivyo vitu.
Wengi wenu,Wala hawatongozwi,hujitongozesha wenyewe tu.
Any way huo ni mtazamo wako,amekukosa wewe kutokana na msimamo wako na mtwzamo,lakini atapata wengine 100+nothing to loose here dear!!boys will always be boys.
Uko sahihi. Wapo wengi mno atawapata. Women with low self-esteem are there for him.
 
Wadada wa kibongo ndo mnapokosea, huyo jamaa bado humfaham kabisa, na hiyo ni tabia ya wanaume wote.. Kama uko single, kwani ungekufa kumpigia na kumfaham zaidi?
James usikasirike. Endelea tu kutongoza. Utawapata wengi na kuwala. The Rule of Dating states that "The More You Approach Girls, The More Goals You Score".
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
viko kwa pdf na ni vizuri
 
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.

"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.

"Haina shida." Nikajibu.

"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.

Anita shija ,
Hili tangazo la kitabu chako umelidesign vizuri sana,
Hongera!
 
Tatizo mwenye gari au pesa ni vyake si vyako ....ivo hata ungemkubalia hakuna kingebadilika vingebaki ni vyake
 
Back
Top Bottom