Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

Women used to be very Smart back in a day. Nowadays Modern Women sijui m'mekuwaje i mean m'mekuwa more than foolish/stupid. The more mnakuwa educated the more mnakuwa
I totally agree with you. Let's see
 
We mwenyewe ndo wale wale misifa.

Kuna comment hapo juu nimeona umeandika ati atapata wa low class, kwani we unakunya keki dada.

Tena utakuta jamaa ana Mwanamke mzuri sana, kisura shape na akili kuku shinda wewe.
 
Ngoja tudownload hivyo vitabu tusome kwente tablet zetu tulizonunua ebay..unajua kariakoo wana vitu feki sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes na tukiwa tunasomea kwenye hotel za five stars
 
Sawa anita nitumekuelewa. Unauza sh ngp kitabu chako.
 
Hivo vitabu vinaushahidi gani kwamba mwandishi hakuwahi kataliwa?
 
Binafsi wajina (James) kaniboa. Mbona tunazipiga kimasihara hizi mbususu na kazi zetu za saidia fundi. Baiskeli tu hatuna.

Ushauri!
Kachukue business card yake kwenye waste bin uchukue namba umfowadie WhatsApp hivo vitabu vya akina Anitha, baada ya Miezi kutana nae Tena. Atakuwa amejifunza namna ya kukuvutia.
 
Unaweza kusoma Kitabu na Yet wakakuzingua tu labda tu usome tu for learning ili sio kuwa ndio uka Practice mimi ni msomaji mzuri wa Vitabu, Kwa mtazamo wangu kila mwanamke anatongozwa kutokana na anavyojipresent kwako, Alichemka kukusoma tu Saikolojia yako ila Tutafute Hela na ku lay low hivo viwili tu vitakufanya uone kila rangi ya Papuchi kuanzia za Dignitaries yani High profile mpaka hawa ma slay queen Kitaani
 
Loh ni kweli kabisa wanaume wengi wanakosa kuoa wanawake wa ndoto zao kwa approach mbovu
 
Lipia tangazo la biashara,nataka kitabu cha huyo Anitha Shija
 
Uzi wako ungekuwa live hapo na sisi tungeweza ona kasoro za pande zote mbili, kwa vile n recorded hapa tunachua chako na kuchanganya na chakwetu
 
Haha..
Barbie umenichekesha..! Ku unlock feelings tu ama mpaka pochi iliyokuwa locked.??

Anyways, tafuta hichi 'the power of pussy' - by Kara King..!!

C'ssy Heaven Sent uliwahi waambia wanaume hili kwenye ile thread yako..!!
Duh!...
 
Back
Top Bottom