Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Namaanisha yeye kukuita mkuu.Hapana mkuu sikumuita hata hivyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha yeye kukuita mkuu.Hapana mkuu sikumuita hata hivyoo
Aaha yeye yani alienda direct kwamba anaomba hela tumechat hata msg 10 hazikufika...Namaanisha yeye kukuita mkuu.
Njaa kali sana.Aaha yeye yani alienda direct kwamba anaomba hela tumechat hata msg 10 hazikufika...
Sasa huyo rafiki yako kazama au position ya mshikaji imemzamisha
Nnaomba unitumie vitabu hivi through embackgrace@gmail.comNilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu "Nimeagiza chakula. Ndio nakisubiri."
"Oh sawa. Vizuri tufahamiane. Me naitwa James, naishi (******). Nafanya kazi hapo (****) Bank kama branch manager. Nikufahamu na wewe please!"
"Naitwa Ederra. Naishi (******).". Nikajitambulisha.
Akaendelea na stori nyingine kwa dakika chache kisha akainuka na kusema angerudi pale punde. Baada ya dakika tatu akarudi.
"Nimerudi Ederra. Nilienda kuangalia gari yangu. Nilikuwa na wasiwasi kama nilikuwa nimepandisha vioo." Akasema huku akikaa tena kwenye kiti.
"Sawa. Karibu tena."
"Asante. Nilikuwa naogopa isije kunyesha mvua au watu wakaniibia KiBMW changu. Unajua gari yenyewe ni mpya nisije kupata hasara. Nilichoka kutembelea Harrier nikaona ninunue na hii"
"Yeah wasiwasi ndio akili." Nikamuunga mkono.
Chakula kikafika. Na yeye akaagiza. Nikawa naendelea kula huku nikisikiliza stori za magari yake, kazi yake nzuri, anapoishi na nyingine kama hizo mpaka nikamaliza kula.
Mhudumu alipokuja kuleta chakula cha jamaa nikamuomba bill.
"Acha tu nitalipa Ederra. Unalipaje wakati mimi niko hapa?" James akaingilia kati.
"Oh sawa. Nashukuru sana."
Nikamuaga kuwa naondoka. Akaniomba namba ya simu. Nikamwambia anipe yake ningemtafuta. Akanipa business card yake na kung'ang'ania nimpigie pale pale lakini nikamwambia asijali ningemtafuta tu. Nikaondoka.
Ile business card niliitupa kwenye dustbin baada ya kupotea kwenye upeo wa macho yake. Nisamehe James. Sio kwa ubaya.
Mwanaume unapotumia nguvu kutaka kuonesha magari unayoendesha, kazi yako unayoiona nzuri, unapoishi na mafanikio yako mengine kwa mwanamke ambaye ndiye kwanza unakutana naye unadhani ndiyo utamvutia?
Hii tabia haivutii. Meseji ya nje unayoileta kwa kufanya hivyo ni kuwa wewe ni mtu wa maana sana na mwenye mafanikio. Meseji hii ya nje sio inayoathiri mvuto wako kwenye akili ya mwanamke.
Meseji iliyojificha (ya ndani kabisa) ndio inayoathiri mvuto wako. Hiyo ni kwamba hujiamni na unadhani huna thamani wewe kama mwanaume na hivyo unalazimika kutumia vitu kama magari, kazi, mafinikio ili uonekane una thamani. Hakuna mwanamke anayejielewa anavutiwa na mwanaume wa hivi.
James asante kwa kunilipia chakula. Lakini wewe na wanaume wengine wenye akili kama zako badilikeni. Itawasaidia.
Jifunzeni kuwa na tabia zinazowavutia wadada. Mnaweza kusoma vitabu hivi viwili mtanishukuru baadae.
1) "UNLOCK HER LEGS: How to Effortlessly Attract Women..." By Dominic Mann
2) "MWANAUME WA DHAHABU : Jifunze Namna ya Kuwatawala Wanawake na Kutawala Mahusiano." By Anita Shija
Mwanaume tafuta uvisome yasije kukukuta ya James. Hasa hicho cha Kiswahili.
Nitakuja kwa gear nyingineJames nisamehe basi. Nipe namba yako nikurudishie 6,500 yako.
James hakukosea. Alikutana na mwanamke tofauti na wanawake walio wengi. Na wanawake wa namna hiyo wako wachache sana. Walio wengi wanaangalia neema zilizo kuzunguka. Gari nzuri, kazi nzuri, maisha mazuri n.k ili akitoa invoice isiwe shida kulipwa.James hakukosea ila James amejikita kwenye Uhalisia zaidi kuhusu tabia za wanawake so demu akahisi jamaa anamchoraaa...
Hahahaaa. Wanawake wa jinsi hiyo huwa nawaona hawajielewi au wanatuona sisi ni wajinga na huwa wanajikosesha mengi. Atoe kwanza ushirikiano ndio aome hiyo 50K. Siwezi toa 50k bila kuwa na uhakika au viashiria vya uhakika vya kuiona ile triangle.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Juzi kati nilichukua namba ya demu hata jina hatujajuana kasema ana shida ya vochaa nkamtumia tumechat kidogo akaomba 50K[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yani ni dak 5 baada ya kuweka vocha tu sasa hapo si balaaa
ndiyoo [emoji16][emoji16]Uyu dada ndio anita shija,anijipigia promo tusome kitabu chake[emoji23][emoji23]
Mapenzi yanahusika kwa namna moja ama nyingine na saikolojia pamoja na social skills..Mkuu, mimi napitaga na mademu bila ata ya kusema neno. Issue ni feelings, haukumpenda huyo chalii.
Usidanganye watu wakasome vitabu mpaka macho yapasuke, hakunaga skills wala jitihada, hayo ni mapenzi hayana formula
Simply, huna shida ya kupata mwenza, maybe tayari unayo na Kama hauna Basi wewe una age ya twenties!Sikuwa tayari. Sivutiwi na wanaume wasiojiamini. Na sio mimi tu. Kujiamini ndio silaha kuu ya kuvuta warembo.
Hiyo ya kujikweza sio tabia ya wanaume wote ni baadhi tu, na tabia hizo zina wa turn off sana wanawake wenye akili zao timamu na wanaojiamini kwa uzuri wao trust...Wadada wa kibongo ndo mnapokosea, huyo jamaa bado humfaham kabisa, na hiyo ni tabia ya wanaume wote.. Kama uko single, kwani ungekufa kumpigia na kumfaham zaidi?
Si kwamba Ana akili bro, ana ndoa yake huyo!Labda ni wewe tu kwasababu una akili zako.
Ila wanawake sasa ni warahisi sana.