NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Nimedindisha KWELI!Ndo pale ukijifanya una moyo mgumu full kudindisha...unaishia kudondokewa na msemo"asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu" ya nini yote hayo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimedindisha KWELI!Ndo pale ukijifanya una moyo mgumu full kudindisha...unaishia kudondokewa na msemo"asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu" ya nini yote hayo sasa
Acha kujifanya great thinker kwa hili. Kwakuwa CDM walishaweka msimamo wa kutoshiriki uchaguzi nawe unajifanya mjanja kutengeneza narratives dhania ili kuwaondolea imani wanachama.Moja ya mbinu zao ni hiyo ya kuwatumia wachumia tumbo wakubwa wa vyama vya upinzani.
Kama unafikiria kuwa kuna mpinzani au mwanasiasa ambae atakukomboa ujue unajidanganya sana.
Hakuna lolote humu. Wewe unatembelea msimamo wa CDM ili kuwaondolea imani wanachama juu ya viongozi wao. Hayo ni mawazo yako ya kufukirika tu, na ni haki yako kupiga propaganda hii.Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi.
Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana nae ubavu mwaka 2025, sasa amehamisha mikakati yake ya ushindi kwa viongozi wakuu wawili wa vyama vyetu vikuu vya upinzani.
Viongozi hao ambao ndio nguzo kuu ya vyama vyao, tayari wameshatengenezwa kimkakati na mmoja wao aliwahi kuitwa mara mbili katika lile jumba jeupe la taifa na kukabidhiwa bahasha yake kimya kimya kama ishara ya shukran kwa makubaliano yao waliofikia na mama huyo wa nyumba yetu pendwa.
Viongozi hao licha ya account zao kuvimbishwa ili kupata nguvu ya kukamilisha walichopanga, lakini pia walihakikishiwa ulinzi wa maisha yao, ulinzi wa familia zao, ulinzi wa mali zao na pia kufutiwa kesi zao nk.
Mkakati huo utatimiaje, sasa fuatilia vizuri kile ninachoandika hapo chini 👇
Ikumbukwe kwamba vyama vya upinzani vimekuwa vikiitaka serikali itengeneze katiba mpya ambayo wanahisi itaweza kuwasaidia wao kushinda chaguzi mbali mbali na hatimae na kushika dola. Lakini kwa upande mungine pia wanaitaka serikali iifumue tume iliyopo na kuunda tume nyingine "huru" ambayo itawashirikisha wadau wote kwa ukaribu zaidi.
Kwahiyo sasa haya mambo mawili ya "katiba" na "tume huru" ndio yatakayotumiwa na wasukaji wa mpango huo kama kichochoro cha kutimiza mikakati ya ushindi wa mama huyo mwenye nyumba.
Inasemekana kitachofanyika ni kwamba serikali itaendelea na msimamo wake wa kutokuwa tayari kutengeneza katiba mpya wala kuunda tume huru, baada ya hapo kiongozi mmoja "mlamba asali mkongwe" wa upinzani atajifanya kuchukizwa na hali hiyo, kisha atatumia uwezo wake na madaraka yake makubwa katika chama kuwashawishi wenzake ambao asilimia kubwa ameshawatia mfukoni, kwamba wasusie uchaguzi wowote utakaofanyika nchini. Wakishakubaliana kususia inamaana ushindani wa vyama vingine vya upinzani vilivyopo utakuwa mdogo sana hivyo kumpa mama mwenye nyumba fursa ya kuendelea kutawala yeye na bunge lake kama ilivyo sasa.
Yule kiongozi mungine ambae anatokea katika mkoa uliyopo pembezoni mwa ziwa fulani, atabaki kupewa nafasi ya kubwabwaja bwabwaja pale inapobidi ili kuwafunga macho wale wasiojua kile kinachoendelea katika siasa za nyumbani kwetu.
Dalili za mipango hiyo zimeshaanza kuonekana kwa viongozi hao kutia zip midomo yao, na mmoja wao kufikia hatua ya kwenda kumfagilia mama mwenye nyumba huko katika dunia ya kwanza.
Hii mada ni kwa ajili ya wale watu ambao wako huru kifikra na ki akili, wale ambao wanaona mbali na hawana mihemko ya kisiasa.
Hakika "moyo wa mtu msitu", unachokipanga wewe, sio kile anachokipanga mwenzio. Wakati kuna chawa wanashinda mitandaoni kuwapigania, kuwasifia na kuwafagilia viongozi wao wa vyao, wao wanaopiganiwa, wanaofagiliwa na kusifiwa wako busy kulamba asali kimya kimya na kutelekeza mipango ya vyama vyao kiaina.
Jioni njema wakuu 🙏
Hata enzi za kina hayati Mrema tuliposema hivi wengi walitupinga kama upingavyo wewe. Lakini dakika za mwisho alikuja kukiri mwenyewe kama yeye alikuwa mtu wa kitengo alietengenezwa na kupachikwa upinzani kwa faida maalum za watawala.Acha kujifanya great thinker kwa hili. Kwakuwa CDM walishaweka msimamo wa kutoshiriki uchaguzi nawe unajifanya mjanja kutengeneza narratives dhania ili kuwaondolea imani wanachama.
Hata kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 CDM ilijifanya kususa ili kuwaaminisha watu kuwa hawatoshiriki uchaguzi mkuu. Lakini kwa vile hapakuwa na deal lolote sisi wenye akili hatukuandika haya tukiamini kuwa CDM ni lazima ingeshiriki.Acha kujifanya great thinker kwa hili. Kwakuwa CDM walishaweka msimamo wa kutoshiriki uchaguzi nawe unajifanya mjanja kutengeneza narratives dhania ili kuwaondolea imani wanachama.
Kwa aina hii ya viongozi wa upinzani butu tuliokuwa nao, CCM bado iko madarakani kwa zaidi ya miaka 50 ijayo kama alivyosema Lowasa katika uchaguzi mkuu wa 2015.Wai. Bora kupigania katiba mpya. Huu mpango wako labda usubiri wajukuu.
Maharage hata yafike laki moja kwa kilo hilo ni tatizo lako wewe na mimi.Mbona akiupata tena urais maharage yatafika kilo sh. 50000.
Wewe unazungumzia wananchi gani?Siku wananchi wakigundua wao ndio wenye mammlaka ya kuweka kiongozi wamtakae. Mambo yatabadilika
Nimekuelewa vizuri tu mkuu.Hayo uliyoandika hayana msingi wowote, ushindi kwa CCM upo wazi na njia ni nyeupe kabisa, pia kumbuka haiwezi kutokea upinzani ukaja kushinda uchaguzi sahau hilo, na kama kudhibitiana hayo yatakuwa ni ndani ya CCM wenyewe kwa wenyewe.
#SSH2025-30.
Alieshindwa kununulika ni yule aliepigwa risasi tu peke yake, lakini huyu ninaemzungumzia hapa amenunulika kiurahisi toka 2015 kupitia kwa Lowasa ndomaana yuko hai mpaka leo hajaguswa hata na wembe.Mtu anashindwa kujiuliza kama amenunulika sa hivi kwa nini Magu alishindwa kumnunua wakati mwendazake alikuwa anatembeza bahasha kwa madiwani na wabunge.
Kuna watu wamepewa ubongo wa kuvukia barabara tuu
Dr Slaa hata akienda upinzani hawezi kupewa heshima aliyopewa mwanzo maana watamuogopa asije akawavua nguo kwa hadaa zao wanazofanya kwa wanachama wao.Hapa dawa ya viongozi njaa wa upinzani Ni
Kumuomba Mungu Dr Slaa Arudi Chadema
Kwa kushtukiza Hapo 2025 mwanzoni.Na Halafu aruhusiwe kugombea Urahisi kupitia upinzani.PATAMU HAPO NAKWAMBIA.
PropagandaHabari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi.
Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana nae ubavu mwaka 2025, sasa amehamisha mikakati yake ya ushindi kwa viongozi wakuu wawili wa vyama vyetu vikuu vya upinzani.
Viongozi hao ambao ndio nguzo kuu ya vyama vyao, tayari wameshatengenezwa kimkakati na mmoja wao aliwahi kuitwa mara mbili katika lile jumba jeupe la taifa na kukabidhiwa bahasha yake kimya kimya kama ishara ya shukran kwa makubaliano yao waliofikia na mama huyo wa nyumba yetu pendwa.
Viongozi hao licha ya account zao kuvimbishwa ili kupata nguvu ya kukamilisha walichopanga, lakini pia walihakikishiwa ulinzi wa maisha yao, ulinzi wa familia zao, ulinzi wa mali zao na pia kufutiwa kesi zao nk.
Mkakati huo utatimiaje, sasa fuatilia vizuri kile ninachoandika hapo chini [emoji116]
Ikumbukwe kwamba vyama vya upinzani vimekuwa vikiitaka serikali itengeneze katiba mpya ambayo wanahisi itaweza kuwasaidia wao kushinda chaguzi mbali mbali na hatimae na kushika dola. Lakini kwa upande mungine pia wanaitaka serikali iifumue tume iliyopo na kuunda tume nyingine "huru" ambayo itawashirikisha wadau wote kwa ukaribu zaidi.
Kwahiyo sasa haya mambo mawili ya "katiba" na "tume huru" ndio yatakayotumiwa na wasukaji wa mpango huo kama kichochoro cha kutimiza mikakati ya ushindi wa mama huyo mwenye nyumba.
Inasemekana kitachofanyika ni kwamba serikali itaendelea na msimamo wake wa kutokuwa tayari kutengeneza katiba mpya wala kuunda tume huru, baada ya hapo kiongozi mmoja "mlamba asali mkongwe" wa upinzani atajifanya kuchukizwa na hali hiyo, kisha atatumia uwezo wake na madaraka yake makubwa katika chama kuwashawishi wenzake ambao asilimia kubwa ameshawatia mfukoni, kwamba wasusie uchaguzi wowote utakaofanyika nchini. Wakishakubaliana kususia inamaana ushindani wa vyama vingine vya upinzani vilivyopo utakuwa mdogo sana hivyo kumpa mama mwenye nyumba fursa ya kuendelea kutawala yeye na bunge lake kama ilivyo sasa.
Yule kiongozi mungine ambae anatokea katika mkoa uliyopo pembezoni mwa ziwa fulani, atabaki kupewa nafasi ya kubwabwaja bwabwaja pale inapobidi ili kuwafunga macho wale wasiojua kile kinachoendelea katika siasa za nyumbani kwetu.
Dalili za mipango hiyo zimeshaanza kuonekana kwa viongozi hao kutia zip midomo yao, na mmoja wao kufikia hatua ya kwenda kumfagilia mama mwenye nyumba huko katika dunia ya kwanza.
Hii mada ni kwa ajili ya wale watu ambao wako huru kifikra na ki akili, wale ambao wanaona mbali na hawana mihemko ya kisiasa.
Hakika "moyo wa mtu msitu", unachokipanga wewe, sio kile anachokipanga mwenzio. Wakati kuna chawa wanashinda mitandaoni kuwapigania, kuwasifia na kuwafagilia viongozi wao wa vyao, wao wanaopiganiwa, wanaofagiliwa na kusifiwa wako busy kulamba asali kimya kimya na kutelekeza mipango ya vyama vyao kiaina.
Jioni njema wakuu [emoji120]
Swadakta kabisa wala haujakosea. Fikiria mtu mpaka anafika kulaumiwa na chama chake mwenyewe kwamba jamaa analamba asali hadi anasahau kuwa yeye ni mpinzani.Naunga mkono hoja. Yule wa kutoka pembezoni mwa ziwa alipewa kazi kuu 2.
1. Kumpaka matope ya kila aina Hayati JPM na kubeza kila kilichofanywa na huyo JPM. Lengo lilikuwa ni kumfanya Mama mwenye nyumba angalau aweze kuonekana kwani kulikuwa na wingu zito likilomzuia kuonekana mbele za Watanzania. Yaani, alikuwa anaonekana na kuheshimiwa zaidi JPM asiyekuwepo kuliko yeye aliye hai na anaonekana.
2. Kusifia kila kinachofanywa na Mama mwenye nyumba bila kujali ni kizuri au kibaya.
Tatizo vyama vyao vinaongozwa na makada wa kile kitengo cha wasiofahamika. Kwahiyo inapoonekana kuwa kuna uchaguzi ambao utakuwa mgumu kwa chama tawala kushinda, basi wazee wa kitendo wanawashtua wa vitengo wenzao wanaoongoza vyama hivyo watengeneze mgomo (wasuse) utakaosababisha chama tawala kipate ushindi mnono na hivyo kuendelea kutawala nchi yetu.Wanachoboa wale watu ni ile kususa susa aisee.
Kuna time unataman kuwafatilia sera zao, usimame nao kwenye uchaguzi, mara paam wamesusa.
Sijui kususa kunawanufaishaje.
Mada unaikosesha lishe wewe mwenyewe kwa kutumia maneno ya kishabiki zaidi, hivyo imekuwa ni porojo za kijiwe cha waendesha bodaboda.Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi.
Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana nae ubavu mwaka 2025, sasa amehamisha mikakati yake ya ushindi kwa viongozi wakuu wawili wa vyama vyetu vikuu vya upinzani.
Viongozi hao ambao ndio nguzo kuu ya vyama vyao, tayari wameshatengenezwa kimkakati na mmoja wao aliwahi kuitwa mara mbili katika lile jumba jeupe la taifa na kukabidhiwa bahasha yake kimya kimya kama ishara ya shukran kwa makubaliano yao waliofikia na mama huyo wa nyumba yetu pendwa.
Viongozi hao licha ya account zao kuvimbishwa ili kupata nguvu ya kukamilisha walichopanga, lakini pia walihakikishiwa ulinzi wa maisha yao, ulinzi wa familia zao, ulinzi wa mali zao na pia kufutiwa kesi zao nk.
Mkakati huo utatimiaje, sasa fuatilia vizuri kile ninachoandika hapo chini 👇
Ikumbukwe kwamba vyama vya upinzani vimekuwa vikiitaka serikali itengeneze katiba mpya ambayo wanahisi itaweza kuwasaidia wao kushinda chaguzi mbali mbali na hatimae na kushika dola. Lakini kwa upande mungine pia wanaitaka serikali iifumue tume iliyopo na kuunda tume nyingine "huru" ambayo itawashirikisha wadau wote kwa ukaribu zaidi.
Kwahiyo sasa haya mambo mawili ya "katiba" na "tume huru" ndio yatakayotumiwa na wasukaji wa mpango huo kama kichochoro cha kutimiza mikakati ya ushindi wa mama huyo mwenye nyumba.
Inasemekana kitachofanyika ni kwamba serikali itaendelea na msimamo wake wa kutokuwa tayari kutengeneza katiba mpya wala kuunda tume huru, baada ya hapo kiongozi mmoja "mlamba asali mkongwe" wa upinzani atajifanya kuchukizwa na hali hiyo, kisha atatumia uwezo wake na madaraka yake makubwa katika chama kuwashawishi wenzake ambao asilimia kubwa ameshawatia mfukoni, kwamba wasusie uchaguzi wowote utakaofanyika nchini. Wakishakubaliana kususia inamaana ushindani wa vyama vingine vya upinzani vilivyopo utakuwa mdogo sana hivyo kumpa mama mwenye nyumba fursa ya kuendelea kutawala yeye na bunge lake kama ilivyo sasa.
Yule kiongozi mungine ambae anatokea katika mkoa uliyopo pembezoni mwa ziwa fulani, atabaki kupewa nafasi ya kubwabwaja bwabwaja pale inapobidi ili kuwafunga macho wale wasiojua kile kinachoendelea katika siasa za nyumbani kwetu.
Dalili za mipango hiyo zimeshaanza kuonekana kwa viongozi hao kutia zip midomo yao, na mmoja wao kufikia hatua ya kwenda kumfagilia mama mwenye nyumba huko katika dunia ya kwanza.
Hii mada ni kwa ajili ya wale watu ambao wako huru kifikra na ki akili, wale ambao wanaona mbali na hawana mihemko ya kisiasa.
Hakika "moyo wa mtu msitu", unachokipanga wewe, sio kile anachokipanga mwenzio. Wakati kuna chawa wanashinda mitandaoni kuwapigania, kuwasifia na kuwafagilia viongozi wao wa vyao, wao wanaopiganiwa, wanaofagiliwa na kusifiwa wako busy kulamba asali kimya kimya na kutelekeza mipango ya vyama vyao kiaina.
Jioni njema wakuu 🙏
Unamaanisha kwamb Nyerere ndie aliejenga mfumo wa vyama vya upinzani unaoongozwa na wachumia tumbo?Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere