jafari mwijae
Senior Member
- Jan 9, 2014
- 181
- 39
unasitiza usafi wa mwili na mavazi kwani bila hivyo unaweza kuta unaendelea kujiambukiza, vilevile lishe bora ni muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kujua dawa ya mkanda Wa jeshi,na vyakula vyakuepuka ni niniKuwa na mkanda wa jeshi si kuwa na UKIMWI ila ni ishara kuwa kinga yako imeshuka, mkanda wa jeshi unatibika kama unavyotibika UKIMWI. Vyakula vya kuepuka ni vile vinavyoharibu kinga ya mwili ambavyo bilashaka wavijuwa. Kama una swali uliza.
Jitahidi kutibu Herpes Zoster mapema unapoona dalili. Kuna dawa ya kupaka wiki moja tuu unapona. Kwa kuwa inaambatana na maumivu makali (kuliko uchungu wa kujifungua) kuna dawa ya kupunguza maumivu. Usipoiwahi ndani ya diku mbili kwa tiba sahihi waweza kupata ulemavu aklu kifo.Ndugu wanaJF (wataalamu wa tiba). Napenda kufahamu endapo kuna ukweli kwamba mtu akiugua ugonjwa uitwao mkanda wa jeshi anakuwa tayari ameshapata UKIMWI? Na endapo ana ugojwa huo afanyeje ili apone kwa urahisi? Kwa upande wa vyakula atumie vyakula gani ili kurahisisha uponaji? Nawasilisha.
Nani anatibu na kuponya ukimwi. Kama c mimi, kaka, dada, binamu, shemeji nk wanaugua gonjwa hili. But tiba sijawahi sikiaMkuu, Nimesema mkanda wa jeshi unatibika na unapona kabisa kama unavyotibika na kupona kabisa UKIMWI.
Magonjwa / conditions tofauti na UKIMWI zinaweza kusababisha mkanda wa jeshi. Rejea kifo cha Mwalimu Nyerere, ambaye tumeambiwa alifariki kwa kansa ya damu (Leukemia) naye alikuwa na mkanda wa jeshi.
Acha uongo Kama hujui bora Ukae kimyaJamii ya ukimwi mkali sanaaaaaa