Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo sw iyo k2 inaend sambanb na ukimw km hujuiAcha uongo Kama hujui bora Ukae kimya
Mkanda wa jeshi ni ugonjwa unaosababishwa na virusi waitwao Varicela Zoster (miongoni mwa Herpes Virus). N. B Ni virusi hawa hawa huleta ugonjwa wa tetekuwanga utotoni (chicken pox) ambao ukipona wale virusi huweza kubaki mwilini katika mishipa ya fahamu wakiwa dhaifu kutokana na kuzidiwa na kinga ya mwili. Baada ya miaka kadhaa kupita endapo kinga ya mwili itakuwa dhaifu virusi hawa hupata nguvu (reactivated) na kuanza kuleta dalili kama muwasho na baadae vipele vinavyofuata jinsi mishipa ya fahamu inavyoenda, kwa nje huonekana mfano wa mkanda wa jeshi, huweza kuambatana na maumivu makali yanayoweza kudumu miezi hata miaka (postherpetic neuralgia). Kwa kifupi ni hivyo mkuu
Mkuu hakuna uhusiano kwani haya ni magonjwa yanayosababishwa na virusi aina mbili tofauti japo wapo kundi moja la herpes viruses (herpes simplex husababishwa na herpes simplex virus (HSV), wakati mkanda wa jeshi husababishwa na Varicela zoster herpes virus).Mkuu kuna uhusiano gani kati ya mkanda wa jeshi na HERPES SIMPLEX....na pia je HERPES SIMPLEX ina madhara gani baada ya kukaa mda mrefu mwilini?
SIO WOTE MKUUunatokana na ngoma a.k.a ukimwi
asee kumbe ndio hivyoMkanda wa jeshi ni ugonjwa unaosababishwa ni virusi vile vya tetekuwanga. Unapopata tetekuwanga na ukaitibu wale virus hawafi wanaenda kujificha kwenye pingili za uti wa mgongo upande mmoja wapo, wa kulia au wa kushoto. Sasa kinga ya mwili inaposhuka wale virus wanapata nguvu wanatoka kwenye maficho yao na wanaanza kukushambulia. Mashambulizi yake utapata homa kali, maumivu ya mwili na vipele vya tete kuwanga vitatoka kufuata kila mshipa wa damu. Ndomana unaitwa mkanda wa jeshi coz hautokei mwili mzima bali upande ule ambao wale virusi walijificha pindi ulipotibu tete kuwanga. Huo ndio mkanda wa jeshi. Dawa kupata dawa n na matibabu nenda hospitali ya maana coz kwa hospitali ambazo hawana specialist wanaweza kukwambia una fungus kwenye ngozi kumbe ugonjwa hawajaufahamu.
Ahsante sana!!Shingles herpes zoster ni ugonjwa unaosababishwa na virus ukiambatana na maumivu makali katika sehemu husika
Mara nyingi hushambulia watoto, wazee vikongwe na watu wenye upungufu wa kinga mwilini .
Herpes Mara nyingi hutokea baada ya mgonjwa kushambuliwa na viral pneumonia au viral bronchitis na virus hivi kukimbilia kwenye centra nervous system
Matibabu ni antivirus kwa ushauri wa daktari
Ahsante sana kwa maelezo mazuri!!Mkanda wa jeshi ni ugonjwa unaosababishwa ni virusi vile vya tetekuwanga. Unapopata tetekuwanga na ukaitibu wale virus hawafi wanaenda kujificha kwenye pingili za uti wa mgongo upande mmoja wapo, wa kulia au wa kushoto. Sasa kinga ya mwili inaposhuka wale virus wanapata nguvu wanatoka kwenye maficho yao na wanaanza kukushambulia. Mashambulizi yake utapata homa kali, maumivu ya mwili na vipele vya tete kuwanga vitatoka kufuata kila mshipa wa damu. Ndomana unaitwa mkanda wa jeshi coz hautokei mwili mzima bali upande ule ambao wale virusi walijificha pindi ulipotibu tete kuwanga. Huo ndio mkanda wa jeshi. Dawa kupata dawa n na matibabu nenda hospitali ya maana coz kwa hospitali ambazo hawana specialist wanaweza kukwambia una fungus kwenye ngozi kumbe ugonjwa hawajaufahamu.
Unajua kuelezea mkuu.Hongera sanaMkanda wa jeshi ni ugonjwa unaosababishwa ni virusi vile vya tetekuwanga. Unapopata tetekuwanga na ukaitibu wale virus hawafi wanaenda kujificha kwenye pingili za uti wa mgongo upande mmoja wapo, wa kulia au wa kushoto. Sasa kinga ya mwili inaposhuka wale virus wanapata nguvu wanatoka kwenye maficho yao na wanaanza kukushambulia. Mashambulizi yake utapata homa kali, maumivu ya mwili na vipele vya tete kuwanga vitatoka kufuata kila mshipa wa damu. Ndomana unaitwa mkanda wa jeshi coz hautokei mwili mzima bali upande ule ambao wale virusi walijificha pindi ulipotibu tete kuwanga. Huo ndio mkanda wa jeshi. Dawa kupata dawa n na matibabu nenda hospitali ya maana coz kwa hospitali ambazo hawana specialist wanaweza kukwambia una fungus kwenye ngozi kumbe ugonjwa hawajaufahamu.
Niliwahi sikia hivo piaMoja ya dalili za UKIMWI. Upungufu wa kinga mwilini.
Amina. Shukran sana mkuu.
Ahsante mkuu. KaribuUnajua kuelezea mkuu.Hongera sana
Good Neighbour