Mkandarasi aliepewa kazi ya ujenzi wa BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta, anyang'anywe haraka sana kabla hajatupotezea muda

Wameambiwa wakamilishe kwa haraka kipande cha Mwenge hadi Njia Panda ya Kawe, ndio sababu unaona kama wanachelewa ila clearance wameshafika Makonde πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha hawa watu wakiharibu huwa hawakosi sababu. Let's wait to see nwisho wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtag Bashungwa
 
Mkandarasi wa BRT PHASE 2-MBAGALA,PHASE 3-GONGO LA MBOTO na -PHASE 4-TEGETA ni huyo huyo mmoja.....
Ndomaana hata aina ya ujengaji wao ni ule ule wa kusua sua πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huenda pesa zishatolewa na zishaliwa. Sasa pesa ya kuwapa wafanyakazi waendelee na ujenzi tena zitatoka wapi?

That's my thoughts
Kwa nchi hii siwezi kupinga ulichoandika maana kinawezekana kufanywa na wajanja wachache wanaoweka masilahi ya matumbo yao mbele, kuliko masilahi ya taifa.
 
Kwa bahati mbaya au nzuri SHANDONG anayejenga Mwenge - Kawe ndio huyo huyo SICHUAN (SBRG) anayejenga Ubungo to kwenda KIMARA......Sawa na ilivyo SINOHYDRO na STECOL yaaani Tanzania raha tupu! Mdomo koma niko ibadani
Kuna watu washalamba asilimia kadhaa hapo mkuu, ndomaana unaona ujenzi haueleweki πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna shida gani? Huu mradi wa BRT ni ufadhili wa 100% serikali haitoi hata shilingi ndururu.
Alafu isitoshe hawabomoi barabara kama alivyofikiri jamaa, bali wanajenga eneo la katikati ambalo liliachwa wazi makusudi kwa ajili ya ujenzi wa BRT.
 
Hivi haiwezekani wakawa wanajenga na usiku pia ili kuachia matumizi ya barabara mchana.
 
Hivi haiwezekani wakawa wanajenga na usiku pia ili kuachia matumizi ya barabara mchana.
Kama mchana tu wanasua sua je usiku itakuaje mkuu?
 
HELA HAMNA.wachina wale.kuna siku nilienda kuomba kazi pale makao yao kona ya kwenda kawe.nikakutq wafanyakazi wana lalamika.pesa haitoki kwa wakati.TATIZO HILO
 
HELA HAMNA.wachina wale.kuna siku nilienda kuomba kazi pale makao yao kona ya kwenda kawe.nikakutq wafanyakazi wana lalamika.pesa haitoki kwa wakati.TATIZO HILO
Kuna mwamba kaorodhesha madai kama ya kwako πŸ‘‡
 
Kwa nchi hii siwezi kupinga ulichoandika maana kinawezekana kufanywa na wajanja wachache wanaoweka masilahi ya matumbo yao mbele, kuliko masilahi ya taifa.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…