Mkandarasi aliepewa kazi ya ujenzi wa BRT phase 4 kutoka Mwenge hadi Tegeta, anyang'anywe haraka sana kabla hajatupotezea muda

Kabla ya lawama umefuatilia km mkandarasi kasharipwa pesa ya kaz
Inawezekana mkataba wamesgn ila pesa kwa acc haijaingia
 
Kabla ya lawama umefuatilia km mkandarasi kasharipwa pesa ya kaz
Inawezekana mkataba wamesgn ila pesa kwa acc haijaingia
Washalipwa stahiki zao, sema kama ilivyo ada sisi ni shamba la bibi halina mlinzi. Kila mtu anafanya anavyotaka bila kufuatiliwa na mtu yoyote.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabla ya lawama umefuatilia km mkandarasi kasharipwa pesa ya kaz
Inawezekana mkataba wamesgn ila pesa kwa acc haijaingia
Wameshalipwa mkuu. Tatizo ni wasimamizi wetu.. ni wazembe wa kufuatilia miradi yetu, wao kikubwa matumbo yao yaende chooni tu na kujenga mahekalu kupitia fedha za miradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…