Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washalipwa stahiki zao, sema kama ilivyo ada sisi ni shamba la bibi halina mlinzi. Kila mtu anafanya anavyotaka bila kufuatiliwa na mtu yoyote.Kabla ya lawama umefuatilia km mkandarasi kasharipwa pesa ya kaz
Inawezekana mkataba wamesgn ila pesa kwa acc haijaingia
Wameshalipwa mkuu. Tatizo ni wasimamizi wetu.. ni wazembe wa kufuatilia miradi yetu, wao kikubwa matumbo yao yaende chooni tu na kujenga mahekalu kupitia fedha za miradi.Kabla ya lawama umefuatilia km mkandarasi kasharipwa pesa ya kaz
Inawezekana mkataba wamesgn ila pesa kwa acc haijaingia