Exactly 💯Hao kenge wakipewa kichapo wanaanza kulia lia, ila watu wa gaza ni wataratibu sana, dar hii ingepatikana gaza km 5 tu mbona huyu chura angeshakimbia hii nchi
Hata BRT 3 kuelekea Airport.Hiyo barabara ilikuwa iishe Julai 2025, akatembelea Mkuu wa Mkoa akaongeza hadi Oktoba; kinachofuata hapo utasikia inaisha June 2026.
Wanaishi kwa mazoea. Anashindwa ata kusoma harama za nyakati. Mwendokasi hazifanyi kazi, kwahiyo kila mtu anatumia daldala na bajaji + LATRA wametoa vibari kuongeza magari, pae pamekua pamoto. Clearly zile ni dharau, like “mtanifanya nini?”Hao kenge wakipewa kichapo wanaanza kulia lia, ila watu wa gaza ni wataratibu sana, dar hii ingepatikana gaza km 5 tu mbona huyu chura angeshakimbia hii nchi
Wakandarasi ******* ******* km hao hua wanawatoaga wapi?Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni.
Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana.
Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali sana sana sana mida ya asubuhi na jioni, na yote ni kwasababu ya uzembe wa huyo mkandarasi na timu yake.
Mamlaka husika hebu tuoneeni huruma wakazi wa Kimara, kama mnajali.
Ule ni ujinga. Lane tatu zile mbili za zamani zipo juu, ile ya tatu shimo kubwa kabisa linaweza kusababisha ajali.Mkandarasi anaweka Rami Mita 20 alafu anapotea , rami yenyewe hailingani na Ile ya zamani Yani kuhama lane ya zamani kuingia lane mpya ni kama unaingia bondeni , mkandarasi haeleweki hata anajenga nini yupo busy Kwa kweli ila kinachojengwa hakieleweki na hakionekani , lane yenyewe iliyongezeka ni moja tuu na NI nyembamba hatari
Shukeni mumchape makofi hizo ni kodi zenu wasiwaletee ujinga..Ule ni ujinga. Lane tatu zile mbili za zamani zipo juu, ile ya tatu shimo kubwa kabisa linaweza kusababisha ajali.
Kuna barabara imekarabatiwa ya Haile Selassie Rd (ile ya Masaki ushuani) kutoka hapa kanisani Ali Hassan Mwinyi Rd, ile barabara imekarabatiwa yote (na vinjia vidogo vidogo binavyoifeed) ndani ya muda wa chini ya mwezi.Hata BRT 3 kuelekea Airport.
Walipaswa wamalize march 2025. Wakaongezewa miezi Sita hadi september.
Sasa tunaelekea december, bado ujenzi unaendelea
Na kuna dalili zote, mradi ukaisha, tukakaa mwaka mzima bila mabus kama ilivyokuwa mbagala.
Kimsingi kwa sasa ilibidi tuwe tunaona mabasi yako bandarini ay yard, yakisubiri kuanzia kusafirisha abiria january.
Sasa wao scanning mashine, hawajewaka. Wanasubiri mabus yafike ndo waweke Mashine mwezi mzima.
Tuna serikali zembe sana aisee
Mirad mingi inasua sua sababu ukwasi tee!Kwa mtumiaji yeyote wa barabara ya Morogoro Rd, atakubali Ubungo Mataa - Kimara ni sehemu fupi ila ya kero sana kwenye foleni.
Sasa huyu mkandarasi yeye amechimbua chimbua kila sehemu halafu ameacha na magari ametoa, inapelekea foleni moja kubwa sana.
Mfano, pale Kimara Mwisho pana foleni kali sana sana sana mida ya asubuhi na jioni, na yote ni kwasababu ya uzembe wa huyo mkandarasi na timu yake.
Mamlaka husika hebu tuoneeni huruma wakazi wa Kimara, kama mnajali.