KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

KERO Mkandarasi aliyepewa Barabara ya Ubungo - Kimara Mwisho hawezi ile kazi!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wanaishi kwa mazoea. Anashindwa ata kusoma harama za nyakati. Mwendokasi hazifanyi kazi, kwahiyo kila mtu anatumia daldala na bajaji + LATRA wametoa vibari kuongeza magari, pae pamekua pamoto. Clearly zile ni dharau, like “mtanifanya nini?”
Saiv wanahaha kujifanya wwchapakazi,, kenge ni kenge hata iweje hawezi kuwa mamba wala mjusi
 
Back
Top Bottom