DOKEZO Mkandarasi ang'oa milango ya kituo cha afya cha Bulige akilalamika kutolipwa pesa zake

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umefafanua vyema,Kuna mama alipika chakula kwa sherehe za halmashauri flan aisee alipata ile hela baada ya mwaka

Watoa huduma wazawa wanadharaulika sana.
 
Unaonekana ni kazi yako kuwanyanyasa wakandarasi wa ndani. Huoni shida mtu kafanya kazi alafu halipwi kwa muda mrefu?

Lioneni hili
 
Umefafanua vyema,Kuna mama alipika chakula kwa sherehe za halmashauri flan aisee alipata ile hela baada ya mwaka

Watoa huduma wazawa wanadharaulika sana.

Inasikitisha sana mkuu

Huu mfumo unaathiri sana ndg zetu na gharama zao.

Nimetumia neno "mfumo" kwamaana hizi kesi imekua ni kama janga.

Yaani kila apatae zabuni serikalini kupata stahiki zake ni process ndefu sana.

Cjui hii imekaaje
 
tatizo kubwa sana kufanya kazi za kandarasi na sirikali[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
unakopa,unajenga kwa mikopo mikubwa mwisho wa siku unaanza kuzunguahwa tu kulipwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…