The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Umefafanua vyema,Kuna mama alipika chakula kwa sherehe za halmashauri flan aisee alipata ile hela baada ya mwakaUmeandika yale walopaswa kumfanyia na wakashindwa means wakakosa utu japo ni haki yake.
Pili umeeleza vema namna alivyoshindwa kuzuia hasira zake (hasara juu ya hasara).
Nadhani hii ishu ifike hatua serikali ithamini juhudi na uwajibikaji wa hawa mafundi wazawa.
Wanawatumia kwa bei za hasara sana na bado hawapewi stahiki zao kama inavyotakiwa.
Hata wakipewa hua wanapewa kwa muda usomwafaka.
Watoa huduma wazawa wanadharaulika sana.