Mkandarasi wa barabara ya Mbeya mjini inayokwenda kwenda Zambia amesusa kutokana na kutolipwa na serikali?

Mkandarasi wa barabara ya Mbeya mjini inayokwenda kwenda Zambia amesusa kutokana na kutolipwa na serikali?

Hiyo njia inafumuliwa na kujenda kila baada ya miaka mingapi,
Baada ya kujengwa miaka ya 1970s ilifumuliwa na kujengwa 1990s, ikajengwa tena 2014 au 15
Ujenzi ni sehemu mojawapo nzuri sana ya kupiga pesa za raia bila kelele nyingi.
 
Wacha uongo wewe nyumbu.Mradi uko sawa tuu isipokuwa Kuna tatizo la wakandarasi kutolipwa na ni Nchi nzima.

Sababu hazijawekwa wazi lakini probably Fedha nyingi zitakuwa zinaenda kulipa madeni yaliyoiva.

Hukuona Wabunge walisuasua kupitiaha Bajeti ya Wizara ya Ujenzi? Madeni inayodaiwa TanRoads ni makubwa kuliko Bajeti ya inayotengwa.
Unasema hakuna shida, huku unasema kuna tatizo la wakandarasi kulipwa.

Sema moja, ujenzi unaendelea au umesimama?
 
Kwani ni yeye tu, miraxi yote imesimama kama miradi ya SGR
 
Sawa nimeelewa wanatakiwa wakusanye kwanza. Kwa hiyo wakikusanya priority ni kulipa madeni? Na bado wanakopa?
Serikali haifanyi mambo kama watu kwamba inakusanya ndio inapanga matumizi Bali wanaweka Bajeti wakati hawana cash so itakayopatikana ndio inagawiwa kulingana na vipaombele.

Ikipatikana kidogo basi miradi Huwa haipati hela kabisa
 
Unasema hakuna shida, huku unasema kuna tatizo la wakandarasi kulipwa.

Sema moja, ujenzi unaendelea au umesimama?
Unaendeleaje ila Kwa kusua sua.Ujenzi sio kukwangua Barabara tuu hata kujenga makalvati ni Ujenzi huo.
 
... maendeleo kidogo sana ya ujenzi wa hii barabara ya kwenda Tunduma hadi Zambia toka nitembelee hapa miezi minne iliyopita. Nimeuliza wenyeji kwa nini kasi ya ujenzi wa barabara hii uko chini kiasi hiki? Nimeambiwa wakandarasi wa barabara wamesusa baada ya kuwa hawalipwi na serikali.
Mkandarasi ni kampuni gani?
Na hiyo barabara ni ya ukubwa gani na ina Kilomita ngapi?
 
Watu wengi wamelalamika ujenzi kusimama, una ushahidi wa ujenzi kuendelea? Hata picha ya karavati zinazoendelea kujengwa?
Watu wengi wanadhani ujenzi ni mpaka waone magreda Mitaani,hata ukienda kambini pale Iwambi ukakuta wanasaga kokoto ndio sehemu ya ujenzi huo.

Kilichopo NJ ujenzi unaosua sua kabisa ,Hilo liko wazi maana wakandarasi hawajalipwa.
 
Okay, nadhani ukubali tu kuwa kuna shida. Ujenzi ukiwa unaendelea, hauhitaji kushawishi watu sana. Si tunaona mwendokasi hapa Dar, hakuna maneno ya kusaga kokoto
 
Ujenzi unasua sua sana labda hizi kelele zitasaidia.

Kuna miradi naifahamu imesimama kiasi wakandarasi walishasepa site 😂😂

Waziri wa Fedha na ujenzi waseme pesa za Miradi ziko wapi ?

Kuna harufu ya Fedha za Miradi kuishia kwenye mambo ya kisiasa yasiyo na Tija .
Nimepita Mwezi Wa Nne Hakuna Lolote
Kazi Imesimama
 
Serikali haifanyi mambo kama watu kwamba inakusanya ndio inapanga matumizi Bali wanaweka Bajeti wakati hawana cash so itakayopatikana ndio inagawiwa kulingana na vipaombele.

Ikipatikana kidogo basi miradi Huwa haipati hela kabisa
Huo ni uongo. Huwezi ku-engage contractor wa nje wa kiwango cha China Construction Company kwa hela ya kudunduliza, mradi wenyewe mkubwa kama huu, ambao unahitaji kuwa underwritten!
 
Nipo Mbeya toka katikati ya mwezi wa nane... ujenzi kipindi hiko ulikuwa umesimama kabisa kiasi cha watu kujichukulia vifusi vilivyowekwa kwa ujenzi.

Wiki ya 39 ndio umeanza tena... na wengi wanasema kuwa sababu ya ujenzi kusimama ni malipo.

Mkandarasi anaitwa CHICCO.
 
Ulisema hakuna linalofanyika unadanganya ,kabla ya hapo hata hiyo stage ya mradi kusua saua haikuwepo.

Kuna miradi Mingi inafanyika hapo Mbeya na imeshafanyika achilia mbali hiyo Barabara inayosua sua.

Mfano Barabara za TACTIC zinaendelea na ujenzi Mitaani ikiwemo na stendi.
Upo mbeya ipi wewe tuliza mtk
 
naona wanaendelea sahivi
Labda wameondoka tena baada ya watu wa Mbeya kurusha chupa Zuchu aliposema mitano tena kwa mama! Mbeya mbona watakoma!

Ila huyu mtoto laana kabisa, hebu ona ishara anayowafanyia watu wa Mbeya baada ya kushodoa na kauli yake ya mitano tena kwa mama! Basata watamwita? Au hiyo inaruhusiwa toka kwa wasanii, isipokuwa kuisema serikali na Raisi Samia?

1727692051814.png
 
Back
Top Bottom