Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Sawa nimeelewa wanatakiwa wakusanye kwanza. Kwa hiyo wakikusanya priority ni kulipa madeni? Na bado wanakopa?Unajua utaratibu wa Bajeti ya serikali ulivyo? Wanakuwa na hela au wanasubiria wakusanye?