Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Siku ni Lini maana huwa mnaishia kusema ipo Siku toka awamu 1Hawa viongozi viwavi jeshi hawana utani na kodi za Watanzania..... Ila ipo siku!!
Na wewe unakubali kabisa hizi propaganda na unaona poa tu...., sitashangaa na kesho wakianza kutafuta ufadhili zaidi wa Bwawa la Nyerere kwa kusema pesa haipo na wao kuendelea kutunisha akaunti zao binafsi..., After all mmeshawapa loophole ya kupeleka lawama kwa Marehemu....Watu waliuliza Kwa nini tunafanya miradi mingi mikubwa kwa pamoja wakaitwa vibaraka wa mabeberu na wengine kama kina Lissu wakaambulia kupigwa risasi.
Hela tulizokuwa tunaambiwa zipo Kwa ajili ya hii miradi zimekwenda wapi?
Kwani lengo ni kutengeneza faida au kutoa huduma? Kwaiyo tusijenge barabara kuelekea vijiji kisa hatuwezi pata faida ya pesa?Haya yanafanyika katika nchi ambayo maji na umeme bado si vitu vya uhakika kwa qananchi!! Mradi wa doll Billion 10 utarejesha faida lini?
Siku hio huenda sio your life time bali vitukuu vyako...., upuuzi unaofanyika leo impact yake itakuja..., unadhani watu wakiwa na nothing to loose na wachache mababu zao wamechota kila kitu na kuzungukwa na masikini wa kutupwa hao masikini watawaangalia tu.....Hiyo Siku ni Lini maana huwa mnaishia kusema ipo Siku toka awamu 1
Wewe unadhani anajenga Kwa hela za nani?Kwani mkandarasi anajenga reli kwa hela zake?
Huyo mtu wako alikuwa hamnazo mkurupukaji ndio katuletea mkandarasi kanjanjaJohn Pombe Magufuli.
Kati ya bafu na choo kwako utaanza jenga kipi?Kwani lengo ni kutengeneza faida au kutoa huduma? Kwaiyo tusijenge barabara kuelekea vijiji kisa hatuwezi pata faida ya pesa?
Lengo la mradi ni kutengeneza faida au huduma ?Kati ya bafu na choo kwako utaanza jenga kipi?
Huu mradi meko aliuleta kufisadi pesa tu,mradi karibia miaka 6 haujafika hata dodoma umeshakula matrlioni...mama abdul nae anakula tu pesa na mbarawa,kadogosa anaweza kua tajiri mkubwa mana ndio msimamizi wa huu mradi.Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma kutafuta ufadhili wa mradi huo kote Ulaya.
Makamu Mwenyekiti wa Yapi Merkezi, Erdem Arioglu, ambaye hivi karibuni alimuongoza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba na ujumbe wa Serikali katika nchi za Hispania, Sweden na Poland kutafuta ufadhili wa mradi huo, aliliambia gazeti la The EastAfrican kuwa harakati za kuchangisha fedha hizo ni ufuatiliaji wa ahadi mbalimbali zinazofikia dola bilioni 2.2. kuelekea mradi wa dola bilioni 10.4.
Alikanusha kuwa Yapi iliongoza misheni hiyo walipochunguza Mpango B - ufadhili mbadala ili kushughulikia matatizo yake yenyewe ya mtiririko wa pesa - lakini walifanya hivyo katika nafasi zao kama mkandarasi mkuu kwa awamu nne za kwanza za mradi.
Source: THE EASTAFRICAN
Turkey contractor confirms $1.8bn gap in funding Tanzania SGR
Huu mradi meko alianzisha bila kujua thamani yote ya mradi,alijiona yeye ni one man show...huu mradi mpka sasa haujulikana gharama yakeSure mradi ulikuwa unaenda vizuri sana, nadhani kuna watu wenye personal interest wanahujumu huu mradi ambayo ni game changer kwenye transportation industry.
Nimekuuliza kati ya bafu na choo kwako utaanza na kipi? Maana kwenye maelez9 yangu ya awali nimejadili kuhusu shida ya maji wewe umeiruka!Lengo la mradi ni kutengeneza faida au huduma ?
Kwani hapa hapa tunazungumzia mradi wa ujezi wa vyo na mabafu?Nimekuuliza kati ya bafu na choo kwako utaanza na kipi? Maana kwenye maelez9 yangu ya awali nimejadili kuhusu shida ya maji wewe umeiruka!
yana kuna watu nchii hii wanatumia pesa kama tissue kufutia mdomo mwenye mafutaHawa viongozi viwavi jeshi hawana utani na kodi za Watanzania..... Ila ipo siku!!
Huna akili kima wewe.Kwani hapa hapa tunazungumzia mradi wa ujezi wa vyo na mabafu?
Ulaaniwe wewe usiye na akili unayesapoti serikali hii ambayo kazi ni kupoteza hizo hela.Alaaniwe jjiwe
Wewe ndo huna akili mada inazungumzia ujenzi wa SGR wewe unazugumzia ujenzi wa vyoo. Nikikwambia wewe ni kichaa ntakuwa nmekuonea?Huna akili kima wewe.
Tushashikwa pabaya tena....!Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma kutafuta ufadhili wa mradi huo kote Ulaya.
Makamu Mwenyekiti wa Yapi Merkezi, Erdem Arioglu, ambaye hivi karibuni alimuongoza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba na ujumbe wa Serikali katika nchi za Hispania, Sweden na Poland kutafuta ufadhili wa mradi huo, aliliambia gazeti la The EastAfrican kuwa harakati za kuchangisha fedha hizo ni ufuatiliaji wa ahadi mbalimbali zinazofikia dola bilioni 2.2. kuelekea mradi wa dola bilioni 10.4.
Alikanusha kuwa Yapi iliongoza misheni hiyo walipochunguza Mpango B - ufadhili mbadala ili kushughulikia matatizo yake yenyewe ya mtiririko wa pesa - lakini walifanya hivyo katika nafasi zao kama mkandarasi mkuu kwa awamu nne za kwanza za mradi.
Source: THE EASTAFRICAN
Turkey contractor confirms $1.8bn gap in funding Tanzania SGR