Mkanganyiko juu ya siku za mwanamke nipeni elimu

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Je ni kawaida kwa mwanamke kuona siku zake(mzunguko) kwa tarehe zisizo na utulivu mara kwa mara kwa karibu tena miaka miwili. Mwanamke ambaye siku zake sio steady atapataje mimba?

Mfano mwanamke kuona siku zake za mwezi tarehe 9 mwezi flani then mwezi unaofata anaona tarehe 7 au kama kaona tarehe 15 ataona tena tarehe tatu yaani mapema hii imekuwa inbadilika badilika sasa ni hatua gani za kuchukua ili mwanamke kama huyu abebe ujauzito?

Ikiw kuna jambo la kufanya TOA ushauri
 
Je ni kawaida kwa mwanamke kuona siku zake(mzunguko) kwa tarehe zisizo na utulivu mara kwa mara kwa karibu tena miaka miwili.

Mwanamke ambaye siku zake sio steady atapataje mimba?

Mfano mwanamke kuona siku zake za mwezi tarehe 9 mwezi flani then mwezi unaofata anaona tarehe 7 au kama kaona tarehe 15 ataona tena tarehe tatu yaani mapema hii imekuwa inbadilika badilika sasa ni hatua gani za kuchukua ili mwanamke kama huyu abebe ujauzito?
Hizo tareh wala hazna shida,,wewe hesabu mzunguko wake ni siku ngapi

yaani kama mzunguko wake ni wa siku 26(mfano),, hesabu kuanzia siku ya kwanza ad io siku ya 26 so tareh haiwezi angukia ile ile ya mwanzo

Sorry sna utaalam mzuri.
 
Je ni kawaida kwa mwanamke kuona siku zake(mzunguko) kwa tarehe zisizo na utulivu mara kwa mara kwa karibu tena miaka miwili. Mwanamke ambaye siku zake sio steady atapataje mimba?

Mfano mwanamke kuona siku zake za mwezi tarehe 9 mwezi flani then mwezi unaofata anaona tarehe 7 au kama kaona tarehe 15 ataona tena tarehe tatu yaani mapema hii imekuwa inbadilika badilika sasa ni hatua gani za kuchukua ili mwanamke kama huyu abebe ujauzito?

Ikiw kuna jambo la kufanya TOA ushauri
Kitu kizito hapa kimeshapigwa😂😂
 
Mimi natoka nje ya mad kidogo kuuliza swali

Je,mimba iliyotungwa kuanzia trh 16-18 January Hadi Leo trh 8 April inakua na week ngapi?
 
Back
Top Bottom