Je ni kawaida kwa mwanamke kuona siku zake(mzunguko) kwa tarehe zisizo na utulivu mara kwa mara kwa karibu tena miaka miwili. Mwanamke ambaye siku zake sio steady atapataje mimba?
Mfano mwanamke kuona siku zake za mwezi tarehe 9 mwezi flani then mwezi unaofata anaona tarehe 7 au kama kaona tarehe 15 ataona tena tarehe tatu yaani mapema hii imekuwa inbadilika badilika sasa ni hatua gani za kuchukua ili mwanamke kama huyu abebe ujauzito?
Ikiw kuna jambo la kufanya TOA ushauri