KERO Mkanganyiko kwenye madirisha ya E-uhamisho kwa Watumishi wa Umma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tukiachana na hayo matatizo yote ya uombaji, Shida zaidi inakuja kama mtumishi akifanikiwa kutoboa tena kwa mbinde ombi likafika UTUMISHI au TAMISEMI Huwa linakaa muda usioelezeka. Yaan ombi lipo kidijitali inakuwaje linakaa hadi miezi 6+ ina maana siku zote hizo halionekani.
Hizi ni chuki wanazojitafutia bila sababu za msingi.
 
Tupe mrejesho umetumia dirisha lipi na kama hujakutana na VACANCY NOT BUDGETED.
 
Tupe mrejesho umetumia dirisha lipi na kama hujakutana na VACANCY NOT BUDGETED.
Yaaan huu mfumo wa ESS nikiwaza Huwa naumia sana,, umenifanya niwe na sonano, sina mzuka kabisa wa kazi kazini..
Yaaan niliomba kuhamia Taasisi fulani na nikakubaliwa tena kwa barua..
Nikaingia kwenye mfumo kupitia dirisha la Vacancy transfer nikakutana na Vacancy not budgeted. Nikasema ngoja nitumie normal transfer.. niaattach barua yangu ya kupata nafasi, ombi likafika kwa supervisor, alivyopisha supervisor nikatakiwa nitume mbele zaidi.. Eti kwa mara nyingine nikakutana na Vacancy not budgeted..

Naumia sana 😭
Nauchukuia sana huu mfumo umekwamisha ndoto zangu huu mfumo😭
 
 
Tumia Normal Transfer - Hapa unaham1 kwa kada uliyonayo kwa sasa kama ni Mwalimu means unaomba nafasi ya kuhama kama Mwalimu kwenda Halmashauri nyingine

Vacancy Transfer - unatafuta nafasi mpya kwa kada tofauti na uliyokuwa/unayo uliko kwa sasa Mfano uliko ni Mwalimu ila umesoma Uhasibu sasa unataka kuhamia Halmashauri nyingine kwa kada ya Uhasibu ndio maana mara nyingi ule ujumbe pendwa wa Vacancy not budgeted unatokea

Nawasilisha
 
Hiyo vacancy inakuwa wazi ila pesa haiko kwenye bajeti hasa pesa zake ,so kama iko fresh chungulia tena inawekezekana mwaka mpya wa fedha ikawa budgeted.
Hivi mwaka mpya wa fedha Huwa wanaweza kufungua madirisha mwezi wa ngapi.. Au ikishaingia tu July 1...? Maana kuna Taasisi nene naivizia hapa
 
Hivi mwaka mpya wa fedha Huwa wanaweza kufungua madirisha mwezi wa ngapi.. Au ikishaingia tu July 1...? Maana kuna Taasisi nene naivizia hapa
huu mfumo umesetiwa kukataa maombi ya uhamisho,still bado ujumbe ni uleule hata mwaka mpya huu wa fedha.

Utumishi itoe tamko.
 
Hivi mwaka mpya wa fedha Huwa wanaweza kufungua madirisha mwezi wa ngapi.. Au ikishaingia tu July 1...? Maana kuna Taasisi nene naivizia hapa
Mwaka mpya umeanza,na nafasi zimeshajazwa. Ni huzuni kwelikweli
 

Attachments

  • Screenshot_20260703_223951_Chrome.jpg
    46.9 KB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…