KERO Mkanganyiko kwenye madirisha ya E-uhamisho kwa Watumishi wa Umma

KERO Mkanganyiko kwenye madirisha ya E-uhamisho kwa Watumishi wa Umma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sasa mkuu unaombaje Taasisi bila kupitia dirisha la Vacancy..? Hata hao waalimu wenzako huko Halmashauri wamejifunza haijalishi to Halmashauri wanaanzia kuomba Vacancy. Ngoja nikuoneshe sample mtu aliyeanza kuomba Vacancy na akakubaliwa na taasisi/Halmashauri anayotaka kuhamia View attachment 3631522
Hivi mwenye mamlaka ya kumhamisha mtumishi ni nani?
 
Sasa mkuu unaombaje Taasisi bila kupitia dirisha la Vacancy..? Hata hao waalimu wenzako huko Halmashauri wamejifunza haijalishi to Halmashauri wanaanzia kuomba Vacancy. Ngoja nikuoneshe sample mtu aliyeanza kuomba Vacancy na akakubaliwa na taasisi/Halmashauri anayotaka kuhamia View attachment 3631522
1. Mimi sio mwalimu, mimi Afisa ......

2. Iko hivi, ngoja nikupe elimu, Kila mwanzo wa mwaka wa fedha Utumishi hutoa nafasi za kuhamia (Mkeka) na ujanja kuwahi, So nimejiwahia yangu.
Na hizi nafasi huwa zinakuwa "Approved kila mwaka na Utumishi kupitia bajeti za Taasisi husika"" Yaani Taasisi huandaa bajeti ya vacancy zao na Utumishi huzikusanya na kuzitangaza kwa watumishi.

Ni mkeka mrefu sanaaa wa uhamisho, upo huko maofisini unazagaaa.

Naelewa kila kitu kuhusu unaloongea na kila kitu kuhusu ESS.

Mimi hoja yangu ni ""Naharakishaje kupata barua ya uhamisho kutoka Utumishi?""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sasa Iko hivi, hapo wakishakubali taasisi husika unayotaka kuhamia unatembea na hiyo link na inakupeleka Moja kwa Moja kwenye transfer out request after vacancy request. Hapo sasa itaanza kupitia kwenye levels za Taasisi yako hadi UTUMISHI.

Faida yake ni Nini..?
UTUMISHI watakuwa hawana kipingamizi na wewe kuhusu nafasi wazi kwani tayari ushapata nafasi wazi ya kuhamia iliyotengwa na taasisi na umeipata.

Hizi unazozungumzia wewe ni zile ambazo mtumishi amejiamulia kuhama "ana bahatisha" ila hii yangu ni ile zilizotangazwa.

Ina maana bajeti imewekwa kwa kila taasisi na mzigo/mkeka unetangazwa na Utumishi.

UTAFUTE.
Una page 25.
Nafasi kibaooo
1784351766074.jpg


#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ni UTUMISHI mkuu, labda umeuliza hivi kutokana na hiyo komenti kwenye screenshot Sasa koment, Huwa anaiweka HR kuonesha kuwa wamekubali ahamie but idhini au kibali kinatoka kwa Katibu Mkuu Utumishi

Taasisi ikishatangaza kuhitaji watu fulani na cheo chako kikawepo kwenye kuhitajika, means tayari bajeti ipo wewe unachofanya ni ku-apply Transfer direct.

Na wengine huenda mbali mpaka kutangaza Ajira portal (mara nyingu hizi za ajira portal ni za management).

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Huu mkeka ninao Mkuu Toka July 1
Huna haja ya Vacancy ni kutupia Transfer, unapo apply Vacancy means unaomba uhakika kama unahitajika.
Sasa kwanini uombe ruhusa ya kwenda huku ushaambiwa "Kwa nafasi yako wanahitajika 08?""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Ni UTUMISHI mkuu, labda umeuliza hivi kutokana na hiyo komenti kwenye screenshot Sasa koment, Huwa anaiweka HR kuonesha kuwa wamekubali ahamie but idhini au kibali kinatoka kwa Katibu Mkuu Utumishi
Kwahyo nikimuona katibu mkuu mambo yameisha
1. Mimi sio mwalimu, mimi Afisa ......

2. Iko hivi, ngoja nikupe elimu, Kila mwanzo wa mwaka wa fedha Utumishi hutoa nafasi za kuhamia (Mkeka) na ujanja kuwahi, So nimejiwahia yangu.
Na hizi nafasi huwa zinakuwa "Approved kila mwaka na Utumishi kupitia bajeti za Taasisi husika"" Yaani Taasisi huandaa bajeti ya vacancy zao na Utumishi huzikusanya na kuzitangaza kwa watumishi.

Ni mkeka mrefu sanaaa wa uhamisho, upo huko maofisini unazagaaa.

Naelewa kila kitu kuhusu unaloongea na kila kitu kuhusu ESS.

Mimi hoja yangu ni ""Naharakishaje kupata barua ya uhamisho kutoka Utumishi?""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Vigezo ni vipi hadi kuomba?
 
Kwahyo nikimuona katibu mkuu mambo yameisha

Vigezo ni vipi hadi kuomba?

Kwenye huo mkeka mimi cheo changu cha Muundo kipo Taasisi X na wanahitajika watu 6.

Niliongea na mkurugenzi wangu akasema '"Haya ni maisha we apply Tembea""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwenye huo mkeka mimi cheo changu cha Muundo kipo Taasisi X na wanahitajika watu 6.

Niliongea na mkurugenzi wangu akasema '"Haya ni maisha we apply Tembea""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu nimeuliza katika uhamisho wa kawaida tu je nikimuona katibu mkuu je mambo yatakuwa sawa? Pia hadi kuomba kama wewe hizo nafasi unapaswa uwe na vigezo gani? Mfano miaka ya kazi n.k
 
Anzia ESS au nenda Utumishi na barua ambayo Bosi wako kasaini kuwa uondoke na huko unakoenda wamesaini Njooo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu mbona sasa kuna watu huwa hawapiti kwenye mfumo yan inakuja tu barua kwamba mtu fulani anapaswa hukama kwenda sehem fulani.je hii imekaaje?
 
Mkuu mbona sasa kuna watu huwa hawapiti kwenye mfumo yan inakuja tu barua kwamba mtu fulani anapaswa hukama kwenda sehem fulani.je hii imekaaje?
Ndio ni 800k mpaka Mil 1 ila matapeli wengi..!!

Mi binafsi kumpa mtu hela NILIGOMA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Namaanisha mfano mtu hajafikisha miaka 3 ila ana mwaka mmoja wa kuidhinishwa
Mambo ambayo ESS itakutema
1. Kama hujafika miaka mi4 ya kazi

2. Kama unapokwenda hawana bajeti yako (hawajapanga kupokea mtu wa cheo chako mwaka huo wa fedha).

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mkuu nimeuliza katika uhamisho wa kawaida tu je nikimuona katibu mkuu je mambo yatakuwa sawa? Pia hadi kuomba kama wewe hizo nafasi unapaswa uwe na vigezo gani? Mfano miaka ya kazi n.k
1. Kama una connection ya kiongozi mkubwa basi mtumie.

2. Mimi binafsi nipo ajirani tokea 2012, ila wazo la kuhama lilianza kuingia kichwani 2022.
Na nimechelewa kutoboa sababu
a. Sina connection
b. Sitaki tena kwenda Local Government yoyoteeee
c. Sitaki kutoa hela.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Aisee watumishi mna njaa sana na kazi za kuajiriwa
watumishi mbona mnakiherehere sana, kila kukicha mnataka uhamisho ?
Kaeni kwa kutulia vituo vyenu vya kazi
Nyanoko,unadhani wanaomba uhamisho kujifurahisha.
 
Back
Top Bottom