Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Je naibu katibu mkuu wa utumishi anaweza kusaidia mtu kuhama bila kutumia ESS? yan zinatembea barua tu
Mungu atusaidie.
Huu mkeka naupataje mkuuHizi unazozungumzia wewe ni zile ambazo mtumishi amejiamulia kuhama "ana bahatisha" ila hii yangu ni ile zilizotangazwa.
Ina maana bajeti imewekwa kwa kila taasisi na mzigo/mkeka unetangazwa na Utumishi.
UTAFUTE.
Una page 25.
Nafasi kibaooo
View attachment 3631524
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mi mwenyewe nautaka aisee nmetafuta sijaupata mwenye nao atutumie hata inboxHuu mkeka naupataje mkuu
Mi mwenyewe nautaka aisee nmetafuta sijaupata mwenye nao atutumie hata inbox
Huu mkeka naupataje mkuu
VacancyKwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata
Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa Watumishi wa Umma
Pia kwenye dirisha la Vacancy transfer request nimetafuta Halmashauri au Taasisi hiyohiyo nimeipata..
Je, niombe kupitia dirisha lipi nipate barua ya uhamisho kwa haraka..?
Hongera zidisha maombi Mungu atasaidia
Omba mapema kabla hujawaiwa
Vp barua zitakuja kwa mkupuoHuu mkeka sina hakika sana kama ni legit. Hauna markers zozote. Na pia hata kama ni legit sijui imekuaje ukawa public. Nimeushare hapa nikiamini sio legi ila ni kwa taarifa pekee.
Mfumo umejengwa kama mfumo wa barua wa zamani.Kwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata
Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa Watumishi wa Umma
Pia kwenye dirisha la Vacancy transfer request nimetafuta Halmashauri au Taasisi hiyohiyo nimeipata..
Je, niombe kupitia dirisha lipi nipate barua ya uhamisho kwa haraka..?
Hata zamani kwa kutumia barua walikuwa wanajibu "hakuna nafasi ya kuhamia kwetu"Huko kwenye Vacancy ndio hakueleweki kabisa,, Kila taasisi wanasema hakuna bajeti. The same hata Normal transfer ndio hiyohiyo
Vacancy not budgeted ni kwa nafasi ambazo halmashauri hazikupewa kibali kutafuta watu.Tupe mrejesho umetumia dirisha lipi na kama hujakutana na VACANCY NOT BUDGETED.
Kosa sio la ESS, kosa ni la hiyo Taasisi.Yaaan huu mfumo wa ESS nikiwaza Huwa naumia sana,, umenifanya niwe na sonano, sina mzuka kabisa wa kazi kazini..
Yaaan niliomba kuhamia Taasisi fulani na nikakubaliwa tena kwa barua..
Nikaingia kwenye mfumo kupitia dirisha la Vacancy transfer nikakutana na Vacancy not budgeted. Nikasema ngoja nitumie normal transfer.. niaattach barua yangu ya kupata nafasi, ombi likafika kwa supervisor, alivyopisha supervisor nikatakiwa nitume mbele zaidi.. Eti kwa mara nyingine nikakutana na Vacancy not budgeted..
Naumia sana 😭
Nauchukuia sana huu mfumo umekwamisha ndoto zangu huu mfumo😭
Hapana ...Tumia Normal Transfer - Hapa unaham1 kwa kada uliyonayo kwa sasa kama ni Mwalimu means unaomba nafasi ya kuhama kama Mwalimu kwenda Halmashauri nyingine
Vacancy Transfer - unatafuta nafasi mpya kwa kada tofauti na uliyokuwa/unayo uliko kwa sasa Mfano uliko ni Mwalimu ila umesoma Uhasibu sasa unataka kuhamia Halmashauri nyingine kwa kada ya Uhasibu ndio maana mara nyingi ule ujumbe pendwa wa Vacancy not budgeted unatokea
Nawasilisha
Braza watu walituma maombi usiku wa tarehe 01.Mwaka mpya umeanza,na nafasi zimeshajazwa. Ni huzuni kwelikweli
Kosa sio la ESS, kosa ni la hiyo Taasisi.
Waombe wakuweke kwenye mpango wa bajeti ijayo.
Kwenye barua wamekukubalia ila kwenye bajeti WAMEKUSAHAU/WAMEKUPOTEZEA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
MhAndaaa fedha ya kutosha ukitaka kuhama
Kweli mkuu watu walichangamkia sana fursa. Halafu kitu Cha ajabu zile nafasi sasa hazipatikani mfumo ushalock licha ya watu waliomba kutopata vibali Bado (Wanasubiri).Braza watu walituma maombi usiku wa tarehe 01.
Ile kati ya tarehe 01/07 - 15/07 watu walikuwa bizee sanaa na uhamisho.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Vibali vitatoka kwa mkupuoKweli mkuu watu walichangamkia sana fursa. Halafu kitu Cha ajabu zile nafasi sasa hazipatikani mfumo ushalock licha ya watu waliomba kutopata vibali.