Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
H
Hii ni Toka lini Mkuu..?
Umetumia dirisha la Vacancy au Normal..?
Hivi mwenye mamlaka ya kumhamisha mtumishi ni nani?Sasa mkuu unaombaje Taasisi bila kupitia dirisha la Vacancy..? Hata hao waalimu wenzako huko Halmashauri wamejifunza haijalishi to Halmashauri wanaanzia kuomba Vacancy. Ngoja nikuoneshe sample mtu aliyeanza kuomba Vacancy na akakubaliwa na taasisi/Halmashauri anayotaka kuhamia View attachment 3631522
1. Mimi sio mwalimu, mimi Afisa ......Sasa mkuu unaombaje Taasisi bila kupitia dirisha la Vacancy..? Hata hao waalimu wenzako huko Halmashauri wamejifunza haijalishi to Halmashauri wanaanzia kuomba Vacancy. Ngoja nikuoneshe sample mtu aliyeanza kuomba Vacancy na akakubaliwa na taasisi/Halmashauri anayotaka kuhamia View attachment 3631522
Ni UTUMISHI mkuu, labda umeuliza hivi kutokana na hiyo komenti kwenye screenshot Sasa koment, Huwa anaiweka HR kuonesha kuwa wamekubali ahamie but idhini au kibali kinatoka kwa Katibu Mkuu UtumishiHivi mwenye mamlaka ya kumhamisha mtumishi ni nani?
Sasa Iko hivi, hapo wakishakubali taasisi husika unayotaka kuhamia unatembea na hiyo link na inakupeleka Moja kwa Moja kwenye transfer out request after vacancy request. Hapo sasa itaanza kupitia kwenye levels za Taasisi yako hadi UTUMISHI.
Faida yake ni Nini..?
UTUMISHI watakuwa hawana kipingamizi na wewe kuhusu nafasi wazi kwani tayari ushapata nafasi wazi ya kuhamia iliyotengwa na taasisi na umeipata.
Ni UTUMISHI mkuu, labda umeuliza hivi kutokana na hiyo komenti kwenye screenshot Sasa koment, Huwa anaiweka HR kuonesha kuwa wamekubali ahamie but idhini au kibali kinatoka kwa Katibu Mkuu Utumishi
Kwahyo nikimuona katibu mkuu mambo yameisha?Ni UTUMISHI mkuu, labda umeuliza hivi kutokana na hiyo komenti kwenye screenshot Sasa koment, Huwa anaiweka HR kuonesha kuwa wamekubali ahamie but idhini au kibali kinatoka kwa Katibu Mkuu Utumishi
Huna haja ya Vacancy ni kutupia Transfer, unapo apply Vacancy means unaomba uhakika kama unahitajika.Huu mkeka ninao Mkuu Toka July 1
Kwahyo nikimuona katibu mkuu mambo yameishaNi UTUMISHI mkuu, labda umeuliza hivi kutokana na hiyo komenti kwenye screenshot Sasa koment, Huwa anaiweka HR kuonesha kuwa wamekubali ahamie but idhini au kibali kinatoka kwa Katibu Mkuu Utumishi
Vigezo ni vipi hadi kuomba?1. Mimi sio mwalimu, mimi Afisa ......
2. Iko hivi, ngoja nikupe elimu, Kila mwanzo wa mwaka wa fedha Utumishi hutoa nafasi za kuhamia (Mkeka) na ujanja kuwahi, So nimejiwahia yangu.
Na hizi nafasi huwa zinakuwa "Approved kila mwaka na Utumishi kupitia bajeti za Taasisi husika"" Yaani Taasisi huandaa bajeti ya vacancy zao na Utumishi huzikusanya na kuzitangaza kwa watumishi.
Ni mkeka mrefu sanaaa wa uhamisho, upo huko maofisini unazagaaa.
Naelewa kila kitu kuhusu unaloongea na kila kitu kuhusu ESS.
Mimi hoja yangu ni ""Naharakishaje kupata barua ya uhamisho kutoka Utumishi?""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwahyo nikimuona katibu mkuu mambo yameisha
Vigezo ni vipi hadi kuomba?
Kwahyo nikimuona katibu mkuu mambo yameisha?
Mkuu nimeuliza katika uhamisho wa kawaida tu je nikimuona katibu mkuu je mambo yatakuwa sawa? Pia hadi kuomba kama wewe hizo nafasi unapaswa uwe na vigezo gani? Mfano miaka ya kazi n.kKwenye huo mkeka mimi cheo changu cha Muundo kipo Taasisi X na wanahitajika watu 6.
Niliongea na mkurugenzi wangu akasema '"Haya ni maisha we apply Tembea""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Namaanisha mfano mtu hajafikisha miaka 3 ila ana mwaka mmoja wa kuidhinishwaAnzia ESS au nenda Utumishi na barua ambayo Bosi wako kasaini kuwa uondoke na huko unakoenda wamesaini Njooo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu mbona sasa kuna watu huwa hawapiti kwenye mfumo yan inakuja tu barua kwamba mtu fulani anapaswa hukama kwenda sehem fulani.je hii imekaaje?Anzia ESS au nenda Utumishi na barua ambayo Bosi wako kasaini kuwa uondoke na huko unakoenda wamesaini Njooo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndio ni 800k mpaka Mil 1 ila matapeli wengi..!!Mkuu mbona sasa kuna watu huwa hawapiti kwenye mfumo yan inakuja tu barua kwamba mtu fulani anapaswa hukama kwenda sehem fulani.je hii imekaaje?
Mambo ambayo ESS itakutemaNamaanisha mfano mtu hajafikisha miaka 3 ila ana mwaka mmoja wa kuidhinishwa
1. Kama una connection ya kiongozi mkubwa basi mtumie.Mkuu nimeuliza katika uhamisho wa kawaida tu je nikimuona katibu mkuu je mambo yatakuwa sawa? Pia hadi kuomba kama wewe hizo nafasi unapaswa uwe na vigezo gani? Mfano miaka ya kazi n.k
Nyanoko,unadhani wanaomba uhamisho kujifurahisha.Aisee watumishi mna njaa sana na kazi za kuajiriwa
watumishi mbona mnakiherehere sana, kila kukicha mnataka uhamisho ?
Kaeni kwa kutulia vituo vyenu vya kazi
Mtumishi daraja la II akili kisoda, badala ya bupandishwe daraja na mshahara wewe unataka kuhamishwa ukale bata, utakuwa mwalimu weweNyanoko,unadhani wanaomba uhamisho kujifurahisha.
Nyanoko faza,acha kukariri kuwa kila muomba uhamisho ni daraja la pili.Mtumishi daraja la II akili kisoda, badala ya bupandishwe daraja na mshahara wewe unataka kuhamishwa ukale bata, utakuwa mwalimu wewe