KERO Mkanganyiko kwenye madirisha ya E-uhamisho kwa Watumishi wa Umma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Je naibu katibu mkuu wa utumishi anaweza kusaidia mtu kuhama bila kutumia ESS? yan zinatembea barua tu
 
Huu mkeka naupataje mkuu
 
Mi mwenyewe nautaka aisee nmetafuta sijaupata mwenye nao atutumie hata inbox
Huu mkeka naupataje mkuu

Huu mkeka sina hakika sana kama ni legit. Hauna markers zozote. Na pia hata kama ni legit sijui imekuaje ukawa public. Nimeushare hapa nikiamini sio legi ila ni kwa taarifa pekee.
 

Attachments

Huu mkeka sina hakika sana kama ni legit. Hauna markers zozote. Na pia hata kama ni legit sijui imekuaje ukawa public. Nimeushare hapa nikiamini sio legi ila ni kwa taarifa pekee.
Vp barua zitakuja kwa mkupuo
 
Mfumo umejengwa kama mfumo wa barua wa zamani.

Zamani ilikuwa unaandika barua kwenda huko unakohamia huku ukiipitisha kwa boss wako.
Boss wako akisaini, unaipeleka huko unakotaka kwenda nako wasaini ndio unaweza kuipeleka utumishi uhame.

Basi iko hivyo ....

Anza na Vacancy Request, boss wako akikubali vacancy itaenda huko unakotaka kwenda.

Huko Ulikotuma Vacancy wakikubali basi mfumo utatengeneza kibali cha uhamisho ambacho utakituma utumishi//tamisemi kwa mfumo wa Normal Transfer.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Huko kwenye Vacancy ndio hakueleweki kabisa,, Kila taasisi wanasema hakuna bajeti. The same hata Normal transfer ndio hiyohiyo
Hata zamani kwa kutumia barua walikuwa wanajibu "hakuna nafasi ya kuhamia kwetu"

Ombi lako likienda ujue wana nafasi na kama halijaenda ujue hakuna nafasi. Hata zamani kwa mtindo wa barua ilikuwa hivyo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Tupe mrejesho umetumia dirisha lipi na kama hujakutana na VACANCY NOT BUDGETED.
Vacancy not budgeted ni kwa nafasi ambazo halmashauri hazikupewa kibali kutafuta watu.
Ukikuta hilo swala endelea kutafuta.
Au waombe huko unakotaka kwenda kwenye bajeti ijayo wakuweke.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kosa sio la ESS, kosa ni la hiyo Taasisi.
Waombe wakuweke kwenye mpango wa bajeti ijayo.
Kwenye barua wamekukubalia ila kwenye bajeti WAMEKUSAHAU/WAMEKUPOTEZEA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hapana ...
Hata kama ni kwa fani hiyohiyo, ikiwa nafasi unayoghamia haikutangazwa basi Tumia Vacancy Request.

Kama lilitoka tangazo la kuhamia nenda direct kwenye transfer request.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Braza watu walituma maombi usiku wa tarehe 01.
Ile kati ya tarehe 01/07 - 15/07 watu walikuwa bizee sanaa na uhamisho.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kweli mkuu watu walichangamkia sana fursa. Halafu kitu Cha ajabu zile nafasi sasa hazipatikani mfumo ushalock licha ya watu waliomba kutopata vibali Bado (Wanasubiri).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…