Mkuu, nimeufuatilia huu mfumo wa ESS nimegundua kuwa kila ukiingia weekend yaan Ijumaa hadi Jumapili kipengele cha E-Transfer Huwa akifanyi kazi, hata le lo hii E-TRANSFER haisomi kabisaHapana ...
Hata kama ni kwa fani hiyohiyo, ikiwa nafasi unayoghamia haikutangazwa basi Tumia Vacancy Request.
Kama lilitoka tangazo la kuhamia nenda direct kwenye transfer request.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Watoa pdf tuka report.Kweli mkuu watu walichangamkia sana fursa. Halafu kitu Cha ajabu zile nafasi sasa hazipatikani mfumo ushalock licha ya watu waliomba kutopata vibali.
Vibali vitatoka kwa mkupuo
Website nyingi za serikali huwa hazifanyi kazi weekend.Mkuu, nimeufuatilia huu mfumo wa ESS nimegundua kuwa kila ukiingia weekend yaan Ijumaa hadi Jumapili kipengele cha E-Transfer Huwa akifanyi kazi, hata le lo hii E-TRANSFER haisomi kabisa
Nani mwingine kagundua hili jambo..?
Amen.Hongera zidisha maombi Mungu atasaidia
Hii Haina pdf mkuu naona Kila mtu ataona kwa ESS yakeWatoa pdf tuka report.
Inshalaah Mungu atatenda.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hapana,Sasa kama vacancy zilikuweponlazima zijazwe tuNdio wamesema hivyo UTUMISHI..?
Hebu tuendelee kusubiriHapana,Sasa kama vacancy zilikuweponlazima zijazwe tu
Inshallah
Amen.
Kumbe kuna kuwahiwa tenaOmba mapema kabla hujawaiwa
Njoo tuzungumze maana tuna mambo yanayoendana
katoboa liniNjoo tuzungumze maana tuna mambo yanayoendana
ULipata kibali?1. Mimi sio mwalimu, mimi Afisa ......
2. Iko hivi, ngoja nikupe elimu, Kila mwanzo wa mwaka wa fedha Utumishi hutoa nafasi za kuhamia (Mkeka) na ujanja kuwahi, So nimejiwahia yangu.
Na hizi nafasi huwa zinakuwa "Approved kila mwaka na Utumishi kupitia bajeti za Taasisi husika"" Yaani Taasisi huandaa bajeti ya vacancy zao na Utumishi huzikusanya na kuzitangaza kwa watumishi.
Ni mkeka mrefu sanaaa wa uhamisho, upo huko maofisini unazagaaa.
Naelewa kila kitu kuhusu unaloongea na kila kitu kuhusu ESS.
Mimi hoja yangu ni ""Naharakishaje kupata barua ya uhamisho kutoka Utumishi?""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Maombi yako yapo hatua gani kaka?U
ULipata kibali?
Hiyo ya Vacancy sasa utaombaje kwa Elimu/kada nyingine wakat mfumo wa ESS umeandika kabisa Details zako wewe ni MwalimuTumia Normal Transfer - Hapa unaham1 kwa kada uliyonayo kwa sasa kama ni Mwalimu means unaomba nafasi ya kuhama kama Mwalimu kwenda Halmashauri nyingine
Vacancy Transfer - unatafuta nafasi mpya kwa kada tofauti na uliyokuwa/unayo uliko kwa sasa Mfano uliko ni Mwalimu ila umesoma Uhasibu sasa unataka kuhamia Halmashauri nyingine kwa kada ya Uhasibu ndio maana mara nyingi ule ujumbe pendwa wa Vacancy not budgeted unatokea
Nawasilisha
Sio tatizo mwalimu anaweza kuwa Quality Assurance, Examination officer, Admissions officer,TA, Warden nkHiyo ya Vacancy sasa utaombaje kwa Elimu/kada nyingine wakat mfumo wa ESS umeandika kabisa Details zako wewe ni Mwalimu
Bado ni sifa zile zile nauliza what if ni Mwalinu naaaolly nafasi ya AccountantSio tatizo mwalimu anaweza kuwa Quality Assurance, Examination officer, Admissions officer,TA, Warden nk
Mwalimu unaombaje accountant, labda kama una cheti Cha uhasibuBado ni sifa zile zile nauliza what if ni Mwalinu naaaolly nafasi ya Accountant