Mkanganyiko wa biashara ya kamari: Mitandao vs vyombo vya habari

Baada ya matokeo ya kihistoria ya F2, 2022 tulitegemea kuona mijadala ya kisomi kila nafasi inapopatikana badala yake kamari, sinema, na nyimbo zenye mwelekeo wa ngono zimehanikiza kwenye media huko. Kwa siku sikosi kutumiwa angalau sms inayoshawishi kamari!
 
Katika ufala ambao tunao huu ni namba moja. Utaambiwa " Kama hakuna uzalishaji, pesa za kubeti zinatoka wapi? Si lazima wapate pesa ndo wabeti?"
 
Baada ya matokeo ya kihistoria ya F2, 2022 tulitegemea kuona mijadala ya kisomi kila nafasi inapopatikana badala yake kamari, sinema, na nyimbo zenye mwelekeo wa ngono zimehanikiza kwenye media huko. Kwa siku sikosi kutumiwa angalau sms inayoshawishi kamari!

Hali ni mbaya sana
 
Serikal iweke utaratibu wa kuondoa kamali hzi na kuweka huko kwenye makasino ambao kiingilio tu cha hapo 100k ...tunawamaliza vijana na kukuza umasikini.
Hawana mpango huo,wao wanazijenga zaidi familia,koo zao
Ili ziendele kushika uongozi,uchumi wa nchi
Nyie wengine mtapelekewa makamali, mabetting, matamasha ya mziki ...mridhike na muone mambo poa tu

Ova
 
Inasikitisha sana
 
Uongo dhambi, hawa jamaa wanatafuna pesa za wananchi vijana kupita maelezo. Mchongo pesa ndo washenzi kabisaa! Na serikali imeruhusu makampuni ya simu kuhamasisha watu kila siku kwa njia ya meseji
 
Back
Top Bottom