Bongo Kuna vitu Halali ukivifanya vinakua na ushuru mkubwa hadi mtu anakata tamaa lkn Mambo ya ovyo wanayaacha ili Hali Yana madhara makubwa kwa kizaziTaifa linateketea lakini wenye mamlaka wametia gundi masikioni na kuvaa miwani ya mbao
Ijue nguvu ya buku.
Wanajuwa kabisa watoto zaoTaifa linateketea lakini wenye mamlaka wametia gundi masikioni na kuvaa miwani ya mbao
😄😄 Nasikiaga hayo matangazo(wadhamini) kwny kipindi Cha michezo mkuu.Na wew unacheza chota mihela [emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya matokeo ya kihistoria ya F2, 2022 tulitegemea kuona mijadala ya kisomi kila nafasi inapopatikana badala yake kamari, sinema, na nyimbo zenye mwelekeo wa ngono zimehanikiza kwenye media huko. Kwa siku sikosi kutumiwa angalau sms inayoshawishi kamari!
Bongo Kuna vitu Halali ukivifanya vinakua na ushuru mkubwa hadi mtu anakata tamaa lkn Mambo ya ovyo wanayaacha ili Hali Yana madhara makubwa kwa kizazi
[emoji1][emoji1] Nasikiaga hayo matangazo(wadhamini) kwny kipindi Cha michezo mkuu.
Serikal iweke utaratibu wa kuondoa kamali hzi na kuweka huko kwenye makasino ambao kiingilio tu cha hapo 100k ...tunawamaliza vijana na kukuza umasikini.
Hawana mpango huo,wao wanazijenga zaidi familia,koo zaoSerikal iweke utaratibu wa kuondoa kamali hzi na kuweka huko kwenye makasino ambao kiingilio tu cha hapo 100k ...tunawamaliza vijana na kukuza umasikini.
TBC na mbungi mtonyo yao, hakika kama taifa tumefikia pabaya sana.
Wanajuwa kabisa watoto zao
Hawafanyi mambo hayo ya betting,kamali nk
Ndomana hawajali
Ova
Hawana mpango huo,wao wanazijenga zaidi familia,koo zao
Ili ziendele kushika uongozi,uchumi wa nchi
Nyie wengine mtapelekewa makamali, mabetting, matamasha ya mziki ...mridhike na muone mambo poa tu
Ova
😄😄 aaarh wapi bro.Nikajua na wewe unelogwa na chota mihera [emoji23]