Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Lol! Dadiake V' Shikamoo. Happy Nyerere Day!Hivi mechi ya marudiano kati ya Simba na Mbeya City ni lini... maana nina hamu ya kuona mnyama anavyonyonyolewa na watoto bha kukajha..
c.c watu8, mandieta , Kitoabu , OKW BOBAN SUNZU .
Hivi ni kweli nyerere umeuliwa na mkapa? Tafadhali mheshimiwa mwalimu kama unanisikia nijibu kwa faida ya watanzania. Na utuambie kwanini alikuua?
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi. Je Mkapa uoni kwamba ulitudanganya kuhusu tarehe halisi ya kifo cha Mwl Nyerere?
PUMZIKA KWA AMANI BABA WA TAIFA.
leo usafiri hapa ubungo mgumu kama nini??
lengo langu kuanzisha uzi huu siyo kutaka kumrudishia Nyerere uhai la hasha bali kutaka viongozi wetu wawe wanasema ukweli pale tukio linapotokea mfano kuna matukio mengi yametokea hapa nchini ambao yamechukua uhai wa watz wengi ila viongozi wetu hawasemi ukweli mfano:
mlipuko wa mabomu mbagala na gongo la mboto,
ajali ya treni ya dodoma,
ajali ya meli ya mv bukoba,
ajali ya meli ya mv skargit,
ajali ya meli ya mv spice,
kuporomoka kwa jengo dar,
kufa kwa mahabusu huko mbeya.
Sasa ukijaribu kuangalia vizuri ni kua viongozi wetu hawatoi exactly idadi kamili.
Cc baba v.
Hiyo kauli ya kusema alikufa siku nyingi imetoka wapi? Sisi tunajua alifariki October,14 1999. Je hizo siku nyingi ilikuwa tarehe ngapi,mwezi gani na mwaka gani? Nasema hivyo kwa maana ya kuwa mimi kati ya mwezi mmoja hadi miwili kabla ya kifo chake nilimwona airport anaelekea hospital