Mkapa kaondoka, je nani atamfunga paka Kengele?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] paka atakuwa huru kujitanua bila kidhibiti mabawa
 
amebaki mheshimiwa pinda tu ambae jiwe huwa anamsikiliza...hao wengine hakuna kitu.
 
Naona Magufuli amteue Makonda azibe nafasi iliyoachwa wazi na Mkapa
"Ndoa" ya Magufuli na Makonda ilishaisha muda mrefu sanaaaa. Alishamtosa muda kweli, nashangaa kwanini watu bado wanadhani Makonda ana infuence yotote kwa jiwe.
 
Naunga hoja mkono na inawezekana timu fulan inafurahi na sasa atakubari yaishe
 
Nimesoma thread yote na comments zote nami nimetokwa na machozi maana sijui nini kitaendelea.
Ngoja nikalale kwanza machozi yakauke nitarudi baadae,

Baba Mshana Jr andaa bandiko lenye hisia ndefuu tuuunganishe doti Kama tinaweza pata majibu
 
kinyago ukichonge mwenyewe halafu ukiogope kweli! ilikuwa sio rahisi Mkapa amuogope Magufuli hata kidogo, ingawa Mkapa alikuwa anamuogopa sana Kikwete sababu ya Nguvu aliyokuwa nayo ndani ya chama.

Ila yote kwa yote Kikwete bado yupo mambo yatakuwa sawa maana bado una ushawishi sana ndani ya Chama na Serikalini but Mamlaka ni Mamlaka hata akitaka ku neutralize mambo itambidi acheze kwa step, maana anaweza akakanyaga nyoka akaumwa kisigino ukiangalia bado kuna uwalakini mkubwa kwenye kifo cha uncle ben ambapo hata Makamu wa Rais mwenyewe anaona mazingaombwe.
 
Hatakuwa makini Hatakuwa mpole Hatakuwa mpenda hoja na kusikiliza kuomba ushauri
 

Mungu yupo, na Mungu ndie pekee atakaye mzuia mtu yeyote kuichezea Tanzania yetu. Mungu ndio mkuu wa kila kitu, vinavyo onekana na visivyo onekana, hivyo tuzidi kumuombea Mh. Rais wetu ajae hofu ya Mungu.
 
Kwakweli, baada ya Mzee Julius, alibaki huyu mwenye sauti ya kimamlaka na vision isiyoyumba kuhusu taifa hili.

Sikuwahi kuielewa sera yake ya ubinafsishaji mpaka pale wakina naniliu walipoanza kujilia nchi hii kwa kukomba.

Serikali haiwezi na haitakaa iweze kufanya biashara kwa faida. Huu ndo ulikuwa msingi wa ubinafsishaji.

Alipopuuzwa, alikaa kimya Lushoto akidili na mambo ya kimataifa tu, yalipowashinda ndani ya chama, wakawarudisha wakina Mangula na kumuomba mzee alisemee taifa kwenye vikao vya kimaamuzi, hakufanya makosa kwenye hili.

Kama ni uchumi, sote tu mashaidi, kipindi chake, ni watu wachache tu ndio walijua maana ya neno mfumuko wa bei, sukari haikuwahi kuwa issue.

Ni yeye ndie aliyetupa Majaliwa.
 

Kwa hiyo sasa hivi Magufuli amefanikiwa kuidhibiti rushwa? Tuanzie tulichokiona kwenye kura za maoni za ccm.
 
Kila mmoja atavuna alichokipanda. Na Muosha huoshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…