Mkasa: Jinsi nilivyofunzwa uchawi na mama yangu

3: zipo dawa za kichawi kama mtu Hana kinga yoyote au sio mtu wa mungu basi hakuna namna ya kuwazuia wachawi
Ni ataonewa sana😃😃
Na Vipi kuhusu mtu kulala na kuota/ kuona watu anaowafahamu na sura zao kabisa kuwa wamekuja kumwaangia/ kupambana nae si mara moja wala mara mbili sura zilezile zinajitudia je ni kweli inakua ni hao watu katika uhalisia ndio wanataka au kumtafuta huyo mtu??? au ni wengine wametumia sura zao tu??
 
Mnaendelea kutuchafua wapemba? Tusije laumiana lakini hapo baadaye. Nakusoma tu. Muulize umugaka ambacho kilimtokea.si yeye mjuaji sana. Kama ataweza atasimulia.maana naye alianza kutaka sifa kupitia wapemba
Weee..... mimi nimetukanwa vya kutosha, huto tumatusi twako kwangu ni kama starter tu kabla ya mlo wenyewe.

Halafu katika watu ninaowadharau sana na kuwapuuza kabisa ni watu wanaodhani matusi ni ujanja. Mlango uko wazi, nitukane sana hadi matusi uliyoyafungia kabatini, kayalete kwangu, baada ya hapo kahangaike kwa waganga ili unitoge, maana hivyo ndivyo vitu pekee akili yako inavimudu
 
Umesoma kwa utulivu kweli? Kuna tusi hata moja umeliona hapo? Mi nitakusomea tu dua ushukwe na busha la kilo 20 uone inavyokuwa. We si jeuri. Leo majibu yako utayapata. Busha tu la 20kg umugaka anahangaika na kabusha ka kilo 2 toka siku ile ameniita mimi sina akili. Leo ameachiliwa so atarudi kuendelea kuwapa story
 
😂😂
 
Nimeona ulivyo mtukana UMUGHAKA, ndio maana nimekupa ruhusa unitukane zaidi, huo uchawi wa kwenu ni mdogo sana kwangu, nenda na Sumbawanga, Tanga, Kilwa na kila ukujuako, kakusanye mazagazaga kisha njoo uone uchawi unavyokurejelea wewe mwenyewe
 
Umeanza kuhisi matokeo eeeeh.... Maana jina lako kulipata ni rahisi sana.
 
Na Vipi kuhusu wakikuona kutaka kuwaza kukudhuru tena japo mwanzo walishindwa na kuapa kukuacha!
Wachawi hawakubali kushindwaa, hua wanaitana kama timu mpaka wapukutike wote ndo wataamini huyu mtu hatumuwezi
 
Mnaendelea kutuchafua wapemba? Tusije laumiana lakini hapo baadaye. Nakusoma tu. Muulize umugaka ambacho kilimtokea.si yeye mjuaji sana. Kama ataweza atasimulia.maana naye alianza kutaka sifa kupitia wapemba
😱😱😱🤔
 
Wengine hutumia sura za watu.
Haiba ya mchawi ni uchonganishi, anaweza tumia sura ya jiran yako ili wewe mgombane na jirani yako au la, akawa ni yeye mwenyewe
 
Kwann Mama yake Clara alipouliwa kichawi...Mwanae alikua hajui kilichoendelea wakati na yeye ni mchawi pia....Je ina maana na yeye alienda kula nyama ya Mama yake pia? Santos06
 
Kwann Mama yake Clara alipouliwa kichawi...Mwanae alikua hajui kilichoendelea wakati na yeye ni mchawi pia....Je ina maana na yeye alienda kula nyama ya Mama yake pia? Santos06
Mchawi haruhusiwi kula nyama alioua mwenyewe, hua inaliwa na wenzake kama alivokula za kwao
 
GoPPiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…