Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Kifo Pia kisikuogopeshe kufanya Maamuzi yalipohitajika Maamuzi kwa wakati sahihi.
Kifo ni Hatima.
Kifo ni sheria ya mwisho itakayomhukumu kila Mwanadamu haijalishi aliishi maisha gani duniani.
Bila kuchoka,
Yesu Alikufa akawaacha Wenye dhambi wanakula jua la dunia.
Kwa Mbope ndio uone ajabu!
 
Aliebarikiwa anaacha mfumo imara ambao utaendelezwa na watakaofuatia,tofauti na hapo huo uthubutu,uzalendo,kutetea wanyonge na kumtanguliza Mungu mbele havitaendelezwa.Hivyo nae ataingizwa kwenye kundi la walioshindwa.
Sawa.
Kwahiyo Mbepo Alishindwa nini?
Je, yeye ni wa kwanza kufariki?
Je, hakuna washindi waliotangulia mbele za haki?
 
Jpm sijawahi kumpenda kwa sababu ni mtumia mihemko huku Mungu kambariki akili
Haujakosea, jpm alikuwa ni mtu mwenye akili nyingi sana, hiyo ilipelekea pia awe ni mfuatiliaji wa mambo mengi sana ya nchi, so ktk muktadha huo kukosea ktk maamuzi isingekuwa jambo la kushangza maana alikuwa binadamu mwenye hisia na utashi pia.
 
Aliebarikiwa anaacha mfumo imara ambao utaendelezwa na watakaofuatia,tofauti na hapo huo uthubutu,uzalendo,kutetea wanyonge na kumtanguliza Mungu mbele havitaendelezwa.Hivyo nae ataingizwa kwenye kundi la walioshindwa.
Mbona Babu yako mzaa Baba yako alibarikiwa, lakini wewe mjukuu wake umekuwa kilaza. Kwa hiyo na wewe umekuwa kundi la mavilaza Acha kukariri wewe
 
Mkuu uandishi na usimulizi wako ni mzuri sana..kongole
 
Huyo mfungwa kama hajamaliza kifungo chake hadi leo basi hana bahati lazima kahamishiwa kwenye yale magereza magumu ya kilimo
 
Sawa.
Kwahiyo Mbepo Alishindwa nini?
Je, yeye ni wa kwanza kufariki?
Je, hakuna washindi waliotangulia mbele za haki?
Yeye sio wakwanza kufariki,je katuachia nini tunachokiishi? Ni hizi amri alizokua anazitoa kwenye majukwaa? Na baada ya kuondoka yeye nini kimefuata? Vipi angetuachia bunge lenye meno ambalo lingekua linaihoji serikali kila inapofanya vitu visivyoeleweka? Yeye ndio katuachia haya matatizo ya kujaza wabunge wanaobenuka sarakasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…