Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Kufa ni wajib sio adhabu kila mtu atakufa kwa siku yaje mungu aliyopanga, ila mwasifiga kiburi kilimponza kapoteza kazi
Kufa ni wajibu lakini Magufuli alikufa kizembe. Anaambiwa vaa barikoa anabisha, dunga chanjo anabisha. Kikowapi sasa COVID 19 ikapita naye.

Halafu mlikuwa mnamuita mungu, akadhani hatakufa!! Kuna mahali alikuwa anasema "nikifa mimi nani atajenga miundombinu?".

Mungu wa ukweli akamuonyesha kazi, akamtupa jehanam na miundombinu inajengwa kama kawa na kwa spidi na amani kuliko wakati wake
 
Kauli ilikuwa ni moja na ilieleweka kwa wengi, hutaki kufanya kazi serikalini acha

Na sio unazengea ofisini huhudumii watu viziri, kisha watu unawaambia njoo pale private ambako bei mmejipangia wenyewe

Mshika mawili, moja humponyoka
Huyo Daktari( mtumishi) alikuwa ameacha kazi serikalini akaenda private, ila JPM alipotembelea Tabora akasikia kuwa wagonjwa hawaendi hospitali ya mkoa wanaenda private hospital kumfuata jamaa(ambaye ameacha kazi).

JPM akatoa amri kuwa jamaa arudi kazini mara moja(serikalini) na hospital ya private usajili wake upitiwe upya na wizara ya afya( possible kufungiwa)

Kilichowaokoa ni kuwa after few months baada ya tamko hilo ukampata umauti Mr president.
 
Afande alisahau nani aliyeshika Mpini ,aliyepoteza hapo ni afande nina uhakika kuna baadhi ya maslahi yake yaliondolewa ,kustaafishwa kwa maslahi ya umma means kufukuzwa kazi.
Haijalishi!! Biblia inasema "mwanadamu haishi kwa mkate tu".

Magu aliondoa masilahi ya Mwasifiga lakini AKAFA yeye Magufuli akiwa na masilahi yote ya Urais na yale aliyomnyang'anya Mwasifiga.

Afande Mwasifiga bado anadunda na kufurahia mema ya nchi
 
Huyo Daktari( mtumishi) alikuwa ameacha kazi serikalini akaenda private, ila JPM alipotembelea Tabora akasikia kuwa wagonjwa hawaendi hospitali ya mkoa wanaenda private hospital kumfuata jamaa(ambaye ameacha kazi).

JPM akatoa amri kuwa jamaa arudi kazini mara moja(serikalini) na hospital ya private usajili wake upitiwe upya na wizara ya afya( possible kufungiwa)

Kilichowaokoa ni kuwa after few months baada ya tamko hilo ukampata umauti Mr president.
Mungu HAKOPESHI kwa mtu DHALIMU kama Magufuli. Unacheza na moto unaingua hapo hapo!!

Sasa alikuwa na sababu gani kutoa ULTIMATUM kwa daktari anayejipatia kipato kwa kutumia elimu yake??

Wajinga wanamuabudu Magufuli na walikuwa wanamuita mungu
 
hata magufuli alikuwa jeuri sema aliowafanyia jeuri walikuwa wameiva kisiasa...au wako chini kimamlaka la sivyo asingetoboa alipo kama angekutana na mtu wa juu wa kaliba yake
 
Mtu ambaye hajui hata ametoka wapi wala anaenda wapi wala haamini chochote anatoa wapi vitu vya msingi, kama huwa unamuona hivyo jichunguze mkuu, by the way sijamtaja mtu asije mtu kuniteremshia mistari ya falsafa ntageuka mwasifiga.
😂😂😂😂Kwanini watu wengi mnafikiria huyo mtu basi inawezekana kweli anaandikaga vitu vya maana ila leo kateleza
 
Inategemea na sehemu!

Kuna siku Magu alimwambia aliyewahi kuwa Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jonh Mbungo,kwamba unajua naweza kung'oa hizo nyota zako!

Mkasa ulikua kwamba,Magu alipewa taarifa za ujenzi wa nyumba za TAKUKURU kuwa zipo chini ya kiwango,lakini Mkuu wa TAKUKURU hana taarifa na akawa anambishia Magu! Hadi Magu anafariki jamaa alikua bado Mkuu wa TAKUKURU na still alikua bado na cheo chake cha one star General
Ila Magufuli hakuamini kuwa ni Rais, na aliamini akisema kitu lazima kiwe kwa nguvu alizokuwa nazo za hicho cheo
Kila binadamu ana mapungufu yake
 
Kufa ni wajibu lakini Magufuli alikufa kizembe. Anaambiwa vaa barikoa anabisha, dunga chanjo anabisha. Kikowapi sasa COVID 19 ikapita naye.

Halafu mlikuwa mnamuita mungu, akadhani hatakufa!! Kuna mahali alikuwa anasema "nikifa mimi nani atajenga miundombinu?".

Mungu wa ukweli akamuonyesha kazi, akamtupa jehanam na miundombinu inajengwa kama kawa na kwa spidi na amani kuliko wakati wake
Hayo mambo mengine muachie mungu ndio mkamilifu
 
Mkuu,

Nikiandika inabidi usome huku kichwa kimetulia.

Maana ni rahisi kutoelewa ninachoandika.

Nimeandika Mungu anasingiziwa kwa sababu siamini kuwa yupo.

Watu wanaisingizia ile character ya Mungu kuivika mambo yao mengi, wakati huyo Mungu mwenyewe hata hayupo.

Mtu kashindwa mtihani kwa sababu hajajiandaa kusoma, anasema kirahisi tu "Mungu hakuniwezesha".

Mungu anasingiziwa tu.

Ushaelewa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
What if kama wote walikiwa na mihemko na msongo wa mawazo ?
Huyu msongo wa mawazo ya kuendesha nchi, huyuy mihemko na msongo wa mawazo wa kuchomwa utambi wa ugali wake na mfungwa?
Nimeliongelea hili na kusema inaonekana wote wamekosea. Wala simtetei Afande. Watanzania wengi wana one track mindset ile ya "ukimsema Magufuli basi lazima unamtetea Afande". Which is a false dichotomy fallacy.

Lakini hata kama Afande kakosea, rais alitakiwa kuwa na busara zaidi ya kusema "nitakuvua nyota".

Kauli si ya kirais, ni ya kigangwegangwe, haioneshi kujali due process, inaonesha mtu narcissist mwenye emotion.

Haioneshi mtu anayefanya systemic thinking, critical thinking, abstract thinking.

Haioneshi mtu anayetaka kukusanya data za kutatua tatizo kubwa zaidi la kimfumo katika Magereza, linaonesha mtu anayedeal na kile kilichopo mbele ya macho yake tu bila ya kufikiria kimfumo. Haioneshi mtu aliyeweka mbele justice as opposed to revenge.

Lakini Watanzania wengi hawaelewi, huyo ndiye alikuwa mtu wao wa kuwapa show za kibabe, na show ya kibabe waliyoitaka waliipata.

Na ukimsema hapa kifalsafa hivi utatukanwa na kuambiwa una chuki binafsi.

Watanzania wengi, kwa kuangalia responses za huu uzi, hawajali haya mambo.
 
Back
Top Bottom