Kufa ni wajibu lakini Magufuli alikufa kizembe. Anaambiwa vaa barikoa anabisha, dunga chanjo anabisha. Kikowapi sasa COVID 19 ikapita naye.Kufa ni wajib sio adhabu kila mtu atakufa kwa siku yaje mungu aliyopanga, ila mwasifiga kiburi kilimponza kapoteza kazi
Huyo Daktari( mtumishi) alikuwa ameacha kazi serikalini akaenda private, ila JPM alipotembelea Tabora akasikia kuwa wagonjwa hawaendi hospitali ya mkoa wanaenda private hospital kumfuata jamaa(ambaye ameacha kazi).Kauli ilikuwa ni moja na ilieleweka kwa wengi, hutaki kufanya kazi serikalini acha
Na sio unazengea ofisini huhudumii watu viziri, kisha watu unawaambia njoo pale private ambako bei mmejipangia wenyewe
Mshika mawili, moja humponyoka
Haijalishi!! Biblia inasema "mwanadamu haishi kwa mkate tu".Afande alisahau nani aliyeshika Mpini ,aliyepoteza hapo ni afande nina uhakika kuna baadhi ya maslahi yake yaliondolewa ,kustaafishwa kwa maslahi ya umma means kufukuzwa kazi.
Mungu HAKOPESHI kwa mtu DHALIMU kama Magufuli. Unacheza na moto unaingua hapo hapo!!Huyo Daktari( mtumishi) alikuwa ameacha kazi serikalini akaenda private, ila JPM alipotembelea Tabora akasikia kuwa wagonjwa hawaendi hospitali ya mkoa wanaenda private hospital kumfuata jamaa(ambaye ameacha kazi).
JPM akatoa amri kuwa jamaa arudi kazini mara moja(serikalini) na hospital ya private usajili wake upitiwe upya na wizara ya afya( possible kufungiwa)
Kilichowaokoa ni kuwa after few months baada ya tamko hilo ukampata umauti Mr president.
Warioba aliwahi kutandikwa viboko na nyerere, niliposikia hii habari niliamini Rais ni mkubwa kwelikweli πππSema kamanda alijibizana na magu kama anajibizana na mtuhumiwa.hata ningekua mimi ndo presidaaa ningemwinamisha na bakora za matrakoo kama kumi zingemuhusu
Ni zalau rais ni mkubwa kuliko hata watemi wa kizamani.mtemi tu enzi hizo hata ukimwangalia kwa zalau tu unapigika vibaya.Warioba aliwahi kutandikwa viboko na nyerere, niliposikia hii habari niliamini Rais ni mkubwa kwelikweli πππ
ππππKwanini watu wengi mnafikiria huyo mtu basi inawezekana kweli anaandikaga vitu vya maana ila leo katelezaMtu ambaye hajui hata ametoka wapi wala anaenda wapi wala haamini chochote anatoa wapi vitu vya msingi, kama huwa unamuona hivyo jichunguze mkuu, by the way sijamtaja mtu asije mtu kuniteremshia mistari ya falsafa ntageuka mwasifiga.
Kuna vijiji hadi leo ukipishana na sungusungu wa kijiji inabidi uunge nao, mi niligoma na nilikua ukweni,Ni zalau rais ni mkubwa kuliko hata watemi wa kizamani.mtemi tu enzi hizo hata ukimwangalia kwa zalau tu unapigika vibaya.
Ila Magufuli hakuamini kuwa ni Rais, na aliamini akisema kitu lazima kiwe kwa nguvu alizokuwa nazo za hicho cheoInategemea na sehemu!
Kuna siku Magu alimwambia aliyewahi kuwa Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jonh Mbungo,kwamba unajua naweza kung'oa hizo nyota zako!
Mkasa ulikua kwamba,Magu alipewa taarifa za ujenzi wa nyumba za TAKUKURU kuwa zipo chini ya kiwango,lakini Mkuu wa TAKUKURU hana taarifa na akawa anambishia Magu! Hadi Magu anafariki jamaa alikua bado Mkuu wa TAKUKURU na still alikua bado na cheo chake cha one star General
Ha ha ha wangekubinya makende.walikusitiri sababu umewaolea dada yaoKuna vijiji hadi leo ukipishana na sungusungu wa kijiji inabidi uunge nao, mi niligoma na nilikua ukweni,
Sikutaka shari, tulienda hadi kwa mwenyekiti nikatoa id yangu, kozi ilianzia hapohapoHa ha ha wangekubinya makende.walikusitiri sababu umewaolea dada yao
Ni watata sana kibaya zaidi wanaongea kilugha chao wananiita jogoli ππ mashemeji zangu banaHa ha ha wangekubinya makende.walikusitiri sababu umewaolea dada yao
Hao wasukumaNi watata sana kibaya zaidi wanaongea kilugha chao wananiita jogoli ππ mashemeji zangu bana
Hayo mambo mengine muachie mungu ndio mkamilifuKufa ni wajibu lakini Magufuli alikufa kizembe. Anaambiwa vaa barikoa anabisha, dunga chanjo anabisha. Kikowapi sasa COVID 19 ikapita naye.
Halafu mlikuwa mnamuita mungu, akadhani hatakufa!! Kuna mahali alikuwa anasema "nikifa mimi nani atajenga miundombinu?".
Mungu wa ukweli akamuonyesha kazi, akamtupa jehanam na miundombinu inajengwa kama kawa na kwa spidi na amani kuliko wakati wake
This is an ad hominem logical fallacy.Kujua misamiati ya falsafa haikufanyi kuwa mwanafalsafa.
Leo logic umeweka kapuni unaongozwa na emotion wazi wazi.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mkuu,
Nikiandika inabidi usome huku kichwa kimetulia.
Maana ni rahisi kutoelewa ninachoandika.
Nimeandika Mungu anasingiziwa kwa sababu siamini kuwa yupo.
Watu wanaisingizia ile character ya Mungu kuivika mambo yao mengi, wakati huyo Mungu mwenyewe hata hayupo.
Mtu kashindwa mtihani kwa sababu hajajiandaa kusoma, anasema kirahisi tu "Mungu hakuniwezesha".
Mungu anasingiziwa tu.
Ushaelewa?
Nimeliongelea hili na kusema inaonekana wote wamekosea. Wala simtetei Afande. Watanzania wengi wana one track mindset ile ya "ukimsema Magufuli basi lazima unamtetea Afande". Which is a false dichotomy fallacy.What if kama wote walikiwa na mihemko na msongo wa mawazo ?
Huyu msongo wa mawazo ya kuendesha nchi, huyuy mihemko na msongo wa mawazo wa kuchomwa utambi wa ugali wake na mfungwa?