Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Kila mmoja ashinde mechi zake. Wewe wa kumuabudu Magufuli endelea, na mimi niliye m-condemn niache nitumie uhuru wangu wa maoni. Wasomaji wataamua
Na wewe heshimu uhuru wa mwengine, hapo tutaenda vizuri tu. Sio kisa mtu unayemchukia wewe mwengine asipomchukia unasema anamuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…