Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Wewe hauja sema utaishi milele..Logical non sequitur fallacy.
Wapi nimesema nitaishi milele?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Ila comment yako ni yakitoto sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hauja sema utaishi milele..Logical non sequitur fallacy.
Wapi nimesema nitaishi milele?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Kwani wapi nimesema kifo si lazima kwa kila mtu?Umepuy
Umepuyanga kijana...
Acha kujitetea.
Kifo ni lazima kwa kila mtu.
Atakufa Jambazi, Padri, Shekhe, asiye na dini, mwehu, mzinzi, mstaarabu, mkorofi, mtoto, mkubwa, raisi, raia na n. K na huwezi kwepa
Tatizo umekulia kwenye jamii inayonyanyapaa sana watoto kijinga.Wewe hauja sema utaishi milele..
Ila comment yako ni yakitoto sana.
Another fool, wanyakyusa ni moja ya makabila makubwa hapa Tanzania. Mtu mmoja hawezi kuwakilisha tabia za kabila lote.Wanyakyusa jeuri sana
Ngumbaru mama yako..Kwani wapi nimesema kifo si lazima kwa kila mtu?
Nimesema Magufuli pamoja na ugangwe wake wote wa"naweza kukuvua nyota" kafa mapema kamuacha afande anadunda.
Sasa hapo ndiyo nimesema kifo si lazima kwa kila mtu?
Unajua kusoma kwa ufahamu wewe ngumbaru?
Kwahiyo ukiwa kiongozi hupaswi kutumia mamlaka Yako Kwa sababu unaweza kufa na yule uliyemwajibisha akabaki hai? Ninani mwenye bima ya kuishi milele?Unaweza kujitapa sana kwamba unaweza kumvua mtu manyota wakati wowote lakini huyo unayemvua manyota akaendelea kuishi na wewe na tambo lako lote la kumvua manyota ukafa ukamuacha.
Cheo ni dhamana, tusipende sana kujimwambafy kwa dhamana ya cheo.
Magufuli angeweza kumsikiliza Afande na kuamua kesi kwa busara bila kujimwambafy kwamba anaweza kumvua manyota.
Tatizo lako unajifanya mjuaji kumbe ni Debe tupu tu,Mimi mtu asiyejua tofauti ya zambi na dhambi siwezi kufanya mjadala naye wa kimantiki.
Kama hajui tofauti ya zambi na dhambi kiswahili atajuaje logical fallacy kilatini?
Kutojua tofauti ya zambi na dhambi ni ishara ya umbumbumbu na mimi sitaki mijadala na mbumbumbu.
Magufuli kajitapa kuvua watu manyota lakini na yeye kavuliwa uhai hakuweza kuzuia kuvuliwa uhai.Ngumbaru mama yako..
Yaani mtu mzima mwenye akili una aandika... yeye amekufa mwenziye anadunda, ulitaka asife..? Kiazi wewe.
Samia katumbua na kutumbua mbona Bado anaishi? Kufa kupo pale pale hata asingemtoa hiyo nyota JPM angekufa tu hata wewe unaye chambia guzi Bado utakufa tu Wala haihitaji mtu kumsemaLogical non sequitur fallacy.
Hataishi milele ila Magufuli katangulia kufa kamuacha afande analifaidi jua bado.
Magufuli na mabobish yake yote ya "Naweza kukuvua manyota" hayakumsaidia kukishinda kifo.
Cheo ni dhamana, usikitumie kujimwambafy na kutishia watu.
Duniani wote tunapita tu.
Wewe ulitaka JPM afe lini ili uone kua hajafa mapema? Kufa mapema maana yake nini?Nimesema Magufuli pamoja na ugangwe wake wote wa"naweza kukuvua nyota" kafa mapema kamuacha afande anadunda.
Tuwekee ka clip kiongozMagufuli alikuwa mpuuzi sana kwenye ubishiubishi na watendaji.
Najua serikalini wapigaji wengi na rais anatakiwa kukomaa, ila Magufuli alikuwa anabishana kwa ligi. Hataki kushindwa.
Ila kiboko yake ni yule jamaa aliyebishana naye kuhusu kuweka lift hospitali, Magufuli akamuuliza kwani wewe nyumbani kwako kuna lift? Jamaa akamjibu nyumbani kwangu si hospitali.
Halafu jamaa hata hakujibu kwa kiburi, ni kama alikuwa anamuelewesha rais tu kitaalamu lift hospitali ni muhimu, kuna wagongwa wataihitaji. Magufuli na ushamba wake hataki kuelewa somo.
Pale wenye akili walimuona Magufuli mjinga sana kulinganisha hospitali na nyumbani kwa mtu.
Jeshi halina hiyo kitu mbona, bora angekuwa ni raia hapo ungekuwa sawa huu mtazamoUnaweza kujitapa sana kwamba unaweza kumvua mtu manyota wakati wowote lakini huyo unayemvua manyota akaendelea kuishi na wewe na tambo lako lote la kumvua manyota ukafa ukamuacha.
Cheo ni dhamana, tusipende sana kujimwambafy kwa dhamana ya cheo.
Magufuli angeweza kumsikiliza Afande na kuamua kesi kwa busara bila kujimwambafy kwamba anaweza kumvua manyota.
Hapana,Kwahiyo ukiwa kiongozi hupaswi kutumia mamlaka Yako Kwa sababu unaweza kufa na yule uliyemwajibisha akabaki hai? Nina mwenye bima ya kuishi milele?
Haaahaa 😊Wahaya na wanyakyusa ni Walewale tu. Sema tu wahaya siyo.jeuri kama nyakyusa
What a Rubbish!Magufuli kajitapa kuvua watu manyota lakini na yeye kavuliwa uhai hakuweza kuzuia kuvuliwa uhai.
Cheo ni dhamana, usinyanyase watu kwa cheo.
Najua wewe ngumbaru huwezi kuelewa somo, uwezo huo wa juelewa huna kwa sababu wewe guluguja huna ubongo wala uti wa mgongo.
Ila kuna watu wataelewa.
Kiranga auKuna mtu nilikuwa nafuatiliaga sana comment zake huwa anaonheaga vitu vya msingi sana.....leo nimeshangaa kwenye huu uzi ame comment mashudu tupu
Aisee... Yaani bado unaandika pumba, wewe ni hamnazo.Magufuli kajitapa kuvua watu manyota lakini na yeye kavuliwa uhai hakuweza kuzuia kuvuliwa uhai.
Cheo ni dhamana, usinyanyase watu kwa cheo.
Najua wewe ngumbaru huwezi kuelewa somo, uwezo huo wa juelewa huna kwa sababu wewe guluguja huna ubongo wala uti wa mgongo.
Ila kuna watu wataelewa.
Hata ukisema hivyo, Magufuli hakuwa mwanajeshi, Magufuki alikuwa ni kiongozi wa kiraia aliyepewa dhamana ya kiraia ya kuongoza jeshi.Jeshi halina hiyo kitu mbona, bora angekuwa ni raia hapo ungekuwa sawa huu mtazamo
Kauli ilikuwa ni moja na ilieleweka kwa wengi, hutaki kufanya kazi serikalini achaKuna uonevu wa kiaina ulifanywa mwingi sana,tatizo tukimpenda hata marehemu,hatupendi aambiwe ukweli,au akosolewe.Kuna doctor pale Tabora alishughukiwa kisa alienda hospital binafsi kufuata maslah kwa ajili ya maisha yake.Baba akasahau aliacha ualimu akaingia kwenye siasa.Tuamini ya Mungu ni mengi