Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Umepuy

Umepuyanga kijana...
Acha kujitetea.
Kifo ni lazima kwa kila mtu.
Atakufa Jambazi, Padri, Shekhe, asiye na dini, mwehu, mzinzi, mstaarabu, mkorofi, mtoto, mkubwa, raisi, raia na n. K na huwezi kwepa
Kwani wapi nimesema kifo si lazima kwa kila mtu?

Nimesema Magufuli pamoja na ugangwe wake wote wa"naweza kukuvua nyota" kafa mapema kamuacha afande anadunda.

Sasa hapo ndiyo nimesema kifo si lazima kwa kila mtu?

Unajua kusoma kwa ufahamu wewe ngumbaru?
 
Ngumbaru mama yako..

Yaani mtu mzima mwenye akili una aandika... yeye amekufa mwenziye anadunda, ulitaka asife..? Kiazi wewe.
 
Kwahiyo ukiwa kiongozi hupaswi kutumia mamlaka Yako Kwa sababu unaweza kufa na yule uliyemwajibisha akabaki hai? Ninani mwenye bima ya kuishi milele?
 
Tatizo lako unajifanya mjuaji kumbe ni Debe tupu tu,

Kwanini usiwaze kua rais amefanya ziara Gerezani na kukutana na wafungwa kua ni jambo jema? Kwani JPM alipanga kutembelea hilo gereza ili amshushe cheo huyo Afande?

Tatizo lako wewe jamaa una ujinga na kujiamini,ndio maana hua unaropoka tu,ukishaweka hivyo vingereza vyako unajiona hakuna mtu humu JF zaidi yako.
 
Ngumbaru mama yako..

Yaani mtu mzima mwenye akili una aandika... yeye amekufa mwenziye anadunda, ulitaka asife..? Kiazi wewe.
Magufuli kajitapa kuvua watu manyota lakini na yeye kavuliwa uhai hakuweza kuzuia kuvuliwa uhai.

Cheo ni dhamana, usinyanyase watu kwa cheo.

Najua wewe ngumbaru huwezi kuelewa somo, uwezo huo wa juelewa huna kwa sababu wewe guluguja huna ubongo wala uti wa mgongo.

Ila kuna watu wataelewa.
 
Samia katumbua na kutumbua mbona Bado anaishi? Kufa kupo pale pale hata asingemtoa hiyo nyota JPM angekufa tu hata wewe unaye chambia guzi Bado utakufa tu Wala haihitaji mtu kumsema
 
Tuwekee ka clip kiongoz
 
Jeshi halina hiyo kitu mbona, bora angekuwa ni raia hapo ungekuwa sawa huu mtazamo
 
Kwahiyo ukiwa kiongozi hupaswi kutumia mamlaka Yako Kwa sababu unaweza kufa na yule uliyemwajibisha akabaki hai? Nina mwenye bima ya kuishi milele?
Hapana,

Sikusema hupaswi kutumia mamlaka yako.

Kiongozi anapaswa kutumia mamlaka kwa kujenga hoja, kuonesha hapa mantiki iko hivi, tufanye hivi.

Si kwa kauli za "unanijua mimi nani? Nitakuvua nyota".

Magufuli alitumia hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja. Alitumia turufu yake ya mamlaka kama "argument from authority". Logical fallacy.Kwamba mtu anayeweza kuvua nyota ndiye yuko sawa, anayeweza kuvuliwa nyota akae kimya tu.

Hili ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wetu.

Hawawezi kutumia nguvu ya hoja, wanatumia hoja ya nguvu.
 
What a Rubbish!

Hivi una umri gani wewe? Mbona unaandika vitu vya kitoto sana? Kifo ni kwa kila kiumbe kilicho hai,wala hakuna dawa ya kukizuwia kifo siku ikifika,

Wewe utakizuwia kifo chako ili usife?
 
Aisee... Yaani bado unaandika pumba, wewe ni hamnazo.
Asingevua watu vyeo, je asingekufa..?
 
Kauli ilikuwa ni moja na ilieleweka kwa wengi, hutaki kufanya kazi serikalini acha

Na sio unazengea ofisini huhudumii watu viziri, kisha watu unawaambia njoo pale private ambako bei mmejipangia wenyewe

Mshika mawili, moja humponyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…