Na ndiyo maana wakuu wanaojimwambafy kwa kauli za "naweza kukuvua nyota" hawatakiwi kujimwambafy hivyo.Kila binadamu atapitia kwa hiyo siyo issue ni process ya kibinadamu.
Wanyakyusa jeuri sana
Straight to ignore list diddie stink.Shithole hominem logical fallacy!
Narudia tena kuna watu hapa wana comment kwa kujitoa ufahamu tu wanafahamu fika sisi waafrika ni watu wa namna gani na ni vipi tunaweza kunyooshwa inafikia hatua unakaa kimya tu.Nyinyi huko ulaya civilization ime advance Sana hata GENES zenu zime be civilized 😊☺️
*Mtu anaenda kun'goa miundombinu ya barabara, reli na kwenda kuuza vyuma chakavu.
*Mtu anaiba public funds na kwenda kuzificha uswisi
*Wanaiba madawa ya serikali na kwenda kuyapeleka kwenye maduka yao binafsi
*Pesa ya ujenzi wa shule,kituo Cha afya, mahakama,soko, barabara wanajenga Chini ya kiwango
*Dhuruma,rushwa, wizi, ubadhilifu na everything dirty
*Kama msimamizi wa kituo Cha kupigia kura ana cheat kwa kuingiza kura za muruhani zaidi ya 200..
HAPO HAPO AKIPATIKANA MTU WA KUNYOOSHA PALIPO PINDA KWA MKONO WA CHUMA...TENA HATA KWA KUVUNJA KATIBA.. BINAFSI MIMI NAONA HUO NDIO UZALENDO WA KWELI.
Lakini nae atakufa tuLakini Magufuli amekufa na afande anaishi bado.
MkuuUnaweza kujitapa sana kwamba unaweza kumvua mtu manyota wakati wowote lakini huyo unayemvua manyota akaendelea kuishi na wewe na tambo lako lote la kumvua manyota ukafa ukamuacha.
Cheo ni dhamana, tusipende sana kujimwambafy kwa dhamana ya cheo.
Magufuli angeweza kumsikiliza Afande na kuamua kesi kwa busara bila kujimwambafy kwamba anaweza kumvua manyota.
Mkuu hapa umeongea Neno, Ni kweli kabisa Uongozi unahitaji busara Sana, Watu unaowadharau na kuwaona wadogo wanaweza kukuangusha usiamini.Unaweza kujitapa sana kwamba unaweza kumvua mtu manyota wakati wowote lakini huyo unayemvua manyota akaendelea kuishi na wewe na tambo lako lote la kumvua manyota ukafa ukamuacha.
Cheo ni dhamana, tusipende sana kujimwambafy kwa dhamana ya cheo.
Magufuli angeweza kumsikiliza Afande na kuamua kesi kwa busara bila kujimwambafy kwamba anaweza kumvua manyota.
Mungu alimbariki na uchapakazi, uthubutu, uzalendo, kutetea wanyonge na kumtanguliza Mungu mbele.Jpm sijawahi kumpenda kwa sababu ni mtumia mihemko huku Mungu kambariki akili
Kwani hakumvua nyota? Na baadae akapoteza kazi kabisa. Kifo kila mtu atakufa lakini maisha hapa duniani yanaendelea kama kawaida.Na ndiyo maana wakuu wanaojimwambafy kwa kauli za "naweza kukuvua nyota" hawatakiwi kujimwambafy hivyo.
Kama kuna tatizo ni suala la kuelezea kimantiki na kulitatua kwa due process tu.
Huo umwamba wa "unanijua mimi nani? nitakuvua nyota" hauna maana sana kwa sababu hatimaye wote tutakufa.
Na afande ataishi zake milele aaahhhLakini Magufuli amekufa na afande anaishi bado.
Alivuliwa uhai na nani tenaMagufuli kajitapa kuvua watu manyota lakini na yeye kavuliwa uhai hakuweza kuzuia kuvuliwa uhai.
Cheo ni dhamana, usinyanyase watu kwa cheo.
Najua wewe ngumbaru huwezi kuelewa somo, uwezo huo wa juelewa huna kwa sababu wewe guluguja huna ubongo wala uti wa mgongo.
Ila kuna watu wataelewa.
Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli.
Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale, wakajipanga kumpokea.
Punde si punde, hayati Magufuli akawasili na bila kupoteza muda akaomba kuongea na wafungwa ili asikie matatizo yao kama ilivyoada yake.
Wafungwa walifurahi sana kumuona Rais, basi wakaambiwa watoe kero zao. Wakazungumza wengi mpaka ilipofika kwa mfungwa mmoja aliyeamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
Mmoja ya wafungwa waliopata nafasi ya kuongea na hayati Magufuli alikuwa ni Kalikenye Thomas Nyamboge, mfungwa mwenye ulemavu wa ngozi, aliyekuwa anatumikia kifungo cha Miaka 30 jela.
Mfungwa Kalikenye yeye akatoa kero yake kuhusu Afisa Usalama wa Gereza hilo, Afande Mwasifiga kuwa anashirikiana na wafungwa wengine kwa kuwapa simu waongee na watu wa nje ya Gereza kinyume na utaratibu uliowekwa lakini pia anashirikiana na baadhi ya wafungwa wenye hela kuingiza simu kwenye Gereza hilo la Butimba.
Mfungwa wa miaka 30 Jela, Bwana Thomas Kalikenye akaendelea kumsagia kunguni Afande kuwa, msako ukipita simu hazionekani na wao akina Thomas wasiohusika na kuingiza simu wanamwagiwa vitu vyao kama vile Karanga, Sukari, Sabuni na saa nyingine vinachukuliwa kwa nguvu na team ya Afande Mwasifiga.
Ghafla hayati Magufuli anabadilika na kuuliza yuko wapi huyo Afande Mwasifiga? Afande anatokea na kupiga saluti na kuanza kujibu shutuma.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Afande Mwasifiga anaanza kubishana na Rais Magufuli kuhusu suala la uwepo wa simu kwa wafungwa katika Gereza la Butimba.
Afande Mwasifiga katika ubishani wake akamuambia Rais Magufuli, “huyu alitaka kuniinua” Maneno hayo yalimchefua sana Rais.
Magufuli akamwambia afande kuwa”inaonekana una dharau sana wewe” akawa ameshakasirika huku wasaidizi wa Rais wakimtonya Afande Mwasifiga aombe msamaha kwa Rais. Kweli akaomba msamaha huku akipiga saluti, lakini haikusaidia kitu.
Kama utani Rais Magufuli akamwambia ninaweza nikang’oa hizo nyota zako hapo (huyu Afande alikuwa na nyota mbili).
Basi Rais akaachana nae akamalizia kuongea na wafungwa kama alivyopanga ana akatoa agizo kwa Mkuu wa Gereza la Butimba, ole wake mfungwa yoyote aliyetoa kero anyanyaswe, basi atachukua hatua mara moja. Akamaliza akaaga akaondoka zake.
Usiku wake, Afande Mwasifiga akapokea maelekezo kuwa ameondolewa Gereza la Butimba na kupewa uhamisho wa kwenda Ukerewe.
Sambamba na hilo, akavuliwa nyota yake moja alitoka kuipata siku chache kabla ya kubishana na Rais. Hivyo basi akabaki na nyota moja tu badala ya mbili kama hatua ya kinidhamu iliyochukuliwa dhidi yake.
Kama haitoshi, baada ya miezi sita akiwa katika kituo chake kipya cha kazi, akastaafishwa kwa maslahi ya umma na utumishi wake ndani ya Jeshi la Magereza ukawa umefikia kikomo.
Ikumbukwe alipewa miaka mitano ya ziada jeshini baada ya kupewa nyota ya pili kabla ya kuipoteza nyota hiyo kutokana na kubishana na Rais.
Ukawa ndio mwisho wa Afande Mwasifiga, aliyepata kuwa Mkuu wa Usalama ndani ya Gereza la Butimba na waliopata kufanya nayr kazi wanakwambia alikuwa ni mjivuni, kiburi kwelikweli.
Kwasasa amerudi kwao Mbeya akiwa ni mkulima akiendeleza maisha baada ya k ustaafishwa kwa maslahi ya Umma!View attachment 3164402
Hivi unajuwa nini kilimleta mle Gerezani? Alikuja kiwatoa wale walioshikwa na dhahabu. Polisi hawakujua kuwa ni mchongo wake na Kagame wakawakamata. Ila wajinga wanasema Magufuli alikuwa mzalendo, nawadharau sana
🤣🤣🤣🙌🙌🙌unazidi kuchanganya watuRais alikufa usisahau.
Pamoja na kujimwambafy sana "naweza kukuvua manyota".
Duh....Lakini Magufuli amekufa na afande anaishi bado.
Mimi hapa. Namkubali sana huyu mwamba. Alituhemshimisha sanaKuna mtu humu JF ameweka picha hii kama averter yake.
😛
Pamoja na kwamba amekufa, bado afande yuko nje kwa amri ya magufuri.Logical non sequitur fallacy.
Hataishi milele ila Magufuli katangulia kufa kamuacha afande analifaidi jua bado.
Magufuli na mabobish yake yote ya "Naweza kukuvua manyota" hayakumsaidia kukishinda kifo.
Cheo ni dhamana, usikitumie kujimwambafy na kutishia watu.
Duniani wote tunapita tu.
Kwamba ingebadili kitu gani ?Unaweza kujitapa sana kwamba unaweza kumvua mtu manyota wakati wowote lakini huyo unayemvua manyota akaendelea kuishi na wewe na tambo lako lote la kumvua manyota ukafa ukamuacha.
Cheo ni dhamana, tusipende sana kujimwambafy kwa dhamana ya cheo.
Magufuli angeweza kumsikiliza Afande na kuamua kesi kwa busara bila kujimwambafy kwamba anaweza kumvua manyota.
Lugha gongana.
Na ziara kama zile zinakuwa zishasukwa tayari pale rais anakuja kufanya show for public consumption tu.
Ndio wewe uliyefukuzwa Magereza kwa utovu wa nidhamu!?Hivi unajuwa nini kilimleta mle Gerezani? Alikuja kiwatoa wale walioshikwa na dhahabu. Polisi hawakujua kuwa ni mchongo wake na Kagame wakawakamata. Ila wajinga wanasema Magufuli alikuwa mzalendo, nawadharau sana
Jamaa kwanza alihamishiwa Ukerewe baada ya Magufuli kupita Butimba. Ila baadaye nasikia alifikisha umri wa kustaafu. Yote kwa yote alituheshimisha sana yule kamanda wa magereza
Mshindi ni Afande Mwasifiga kwa kuwa DHALIMU Magufuli alipomtoa nyota moja na kumstaafisha kwa manufaa ya umma lengo lake ni kumfanya ashindwe mausha na ikibidi afariki kabisa.Pamoja na kwamba amekufa, bado afande yuko nje kwa amri ya magufuri.
Tuheshimu wakubwa.
Shujaa hua anakufa kifo kibaya sana.