MKUTANO WA KIMATAIFA ULIOFANYIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE MWANZONI MWA MWAKA 2017, AMBAO "MR Y" ALIKUWA MMOJAWAPO WA ORGANISERS WA MKUTANO HUO
…………………inaendelea
Mhusika alishuka GF akiwa na nia ya kwenda kubadilishana mawili matatu na mwalimu wake huyo mgeni lakini kwa bahati mbaya kuna kitu kiliingilia kati na kuepelekea kushindwa kwenda kusalimiana naye. Muda kitambo ulipita mhusika akiwa na pilika pilika zake nyingine, na baada ya hapo, hatimaye mhusika alipandisha tena juu MF na kwenda kukaa sehemu ile ile pale alipokuwa amekaa awali wakati wa ufunguzi wa mkutano, na kwa bahati nzuri, alifika hapo na kukuta MKCNA naye pia akiwa amekaa eneo hilo hilo karibu kabisa na kiti alichokaa mhusika awali wakati wa ufunguzi wa mkutano
- MKCNA alikaa hapo wakiwa na mama mwingine ambaye walikuwa wamekuja wote, yaweza kuwa alikuwa ni Katibu Muhtasi wake
- Awali wakati wa ufunguzi wa mkutano, MKCNA na mama huyo hawakuwa wamekaa mahali hapo, walikuwa sehemu nyingine mbali na hapo
- Mhusika baada ya kufika na kuwakuta pale aliwasalimia na pia akajitambulisha kuwa yeye pia ni mmoja wa wanafunzi alumni wa chuo chao
- Wageni hawa walifurahi kusikia hiyo
Baada ya kubadilishana mawili matatu, mama aliyekuwa pamoja na MKCNA alianzisha mada niliyotanhibisha mambo kadhaa kwa mhusika kama ifuatavyo:
- Mama huyu alimjulisha mhusika kuwa wamekuja kwenye mkutano huo wakiwa na mpango mwingine wa ziada
- Mpango huo ni wa kukutana na alumni wote waliopo ndani ya nchi, kuna party wameianda, kwa ajili ya mkutano huo
- Kuonana huko kulikuwa ni siku hiyo hiyo ya mkutano, baada ya mkutano kufungwa kuanzia saa 11 kamili jioni
- Mama huyu alienda mbele zaidi kwa kumjulisha mhuiska kuwa walioalikwa wote wamepewa kadi, isipokuwa kwa wakati huo kadi zilikuwa zimemwishia, na hivyo alikuwa anamkaribisha mhusika kuhudhuria sherehe hizo ila pasipo kumpa kadi
- Mhusika alikubali kwa kuitikia wito huo, wa mwaliko usiokuwa na kad,i kwa sababu kadi zilikuwa zimesiha
Kabla ya hapo, mhusika pia hakuwa ameona e-mail yoyote kwenye email inbox yake iliyokuwa inamjulisha chochote kama uwepo wa watu wanaokuja kutoka nje ya nchi kwa ajili ya mkutano na ambao baadaye watahitaji tena kuonana na alumni wote ndani ya nchi
- Wakati maongezi haya ya mhusika yanaendelea, MKCNA naye alikuwepo muda wote, akiwa kama msikilizaji
- Hapakuwepo na mtu mwingie wa tatu aliyekuwa karibu kuweza kusikiliza maongezi hayp
Kwa hiyo mkutano huo wa alumni ulikuwa unafanyikia jioni hiyo kwenye Hotel moja kubwa na maarufu iliyoko huko Masaki
Baada ya mkutano mama kuisha jioni hiyo, mhusika aliwasha gari lake na kurudi nyumbani, akiwa amemchukua na office-mate wake mmoja ndani ya gari lake, ambaye yeye pamoja na kuwa ana gari mbili, zote zilikuwa zimepata breakdown na hakuwa na gari siku hiyo
Huyu office-mate alikuwa amemuomba lift mhusika kabla, kipindi cha asubuhi walipoonana kwenye mkutano huo.
Kwa hiyo kama mhusika angeenda kwenye mkutano mwingine uliokuwa unaanza jioni ule wa alumni, na ambao alikuwa amekaribishwa pasipo kupewa kadi, kulikuwa na jicho la pili tayari ambalo lingethibitisha kuwa mhusika alikuwa na program nyingine siku hiyo. Na jicho hilo lilikuwa ni la huyu office-mate aliyekuwa ameomba lift kwenye gari la mhuika
HITIMISHO
Kwa hiyo mhusika baada ya kuachana na wageni hawa, hakuweza kuonana nao tena hadi hii leo.
Kipindi kile akiwa nchini mwao na hatimaye kunusurika kuachwa na ndege, kwa muda huu anaona kana ingetokea kweli akaachwa na ndege siku hiyo, kwa wakti huu yeye anaona kama pengine kulikuwa na mpango wa wahuiska wa airport kumpandisha kwenye ndege nyingine ila kwa ticket isiyokuwa ya ndege hiyo.
Hapa msomaji anaombwa ajaribu kutafakari kwa kina kidogo matukio kadhaa yafuatayo (yanafuata baada ya taarifa hii) yanayohuisana na tikets za safari ambazo ameshawahi kuzifanya mhusika
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
NEXT: MFANANO KIASI WA MATUKIO YANAYOHUSIANA NA TICKETS ZA SAFARI ZA MHUSIKA PINDI ALIPOKUWA ANAKUWA YUPO SAFARINI