UPDATE: MONDAY 12TH DECEMBER 2022
MATUKIO MUHIMU YALIYOJIRI KANISA A J2 YA TAREHE 11/12/2022 AMBAYO MHUSIKA AMESHAYAONA NA KUYAHAKIKI HADI MUDA HUU
Ibada ya Kusifu na Kuabudu ilianza na kumalizika pasipo tatizo lolote; ilikuwa safi kabisa.
- Tatizo pekee ambalo mhusika ameshaliona kwenye Ibada zote za aina hii kwa sasa, ni uimbaji wa mapambio tu mfululizo, pasipo kuchanganya na NYIMBO ZA SIFA KUTOKA KWENYE VITABU
- Hili limeshakuwa tatizo la siku zote na halikuwa la J2 iliyopita tu
Mbali na hayo,
Mafundisho wakati wa Ibada kuu nayo pia yalikuwa mazuri na hayakuwa na tatizo lolote
TATIZO LILIKUWA WAPI J2 HIYO?
Tatizo lilikuja kuanzia pale mtumishi aliyekuwa amesimama madhabahuni kwa ajili ya kuhubiri, kabla hajahitimisha mahubiri yake, kumuita mtu na kumpandisha juu madhabahuni ili aweze kushuhudia uponyaji wa masikio kupitia Jina la Yesu
Pale ndipo ulipozinduliwa mpango mwingine mpya unaoshughulika na milango ya fahamu ya mwanadamu, yaani macho, masikio, pua mdomo, ngozi na masikio
Kwa hiyo kitendo cha mtu huyo kupandishwa juu madhabahuni, ilikuwa ni
RENEWAL YA WEAPON nyingine inayofanya kazi kupitia milango mitano ya fahamu ya wanadamu
- Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kumuona mtu anapandishwa juu madhabahuni kushuhudia uponyaji wakati wa mahubiri, tangu aanze kuabudu Kanisa A mwaka 2011
- Mhusika ameshawaona wengi mno waliowahi kushuhudia uponyaji ila huwa wanashuhudia kwa wakati maalumu na si katika muda wa Ibada kuu ambao mhubiri anakuwa bado yupo madhabahuni anaendelea kufundisha neo la Mungu
- Utaraibu huu uliotumika hapa, ulikuwa ni mpya kidogo
Zaidi ni kwamba ilikuwa inatosha kwa mhubiri kumsimamisha kwa muda tu MPONYWAJI kutokea mahali pale alipokuwa amekaa na hatimaye waumini kumuona, halafu baada ya hapo yeye (mhubiri) akaeleza machahe tu kuhusiana na MPONYWAJI huyo
Mbali na hilo, baada ya machcahe kutoka kwa mhubiri, MPONYWAJI huyu angetengewa sasa muda maalumu kwa ajili ya kuja kutoa ushuhuda wake mbele ya Kanisa zima, kama ambavyo huwa inakuwa siku zote kwa waponywaji wengine wote
Mponywaji huyu alisemekena pia kuwa aliletwa Kanisani hapo (na hatimaye kupokea uponyaji huo), na mmojawapo wa watu waliowahi kupandishwa juu madhabahuni J2 ya tarehe 30/10/2022
KILICHOTOKEA BAADA YA RENEWAL YA WEAPON KUPITIA MILANGO YA FAHAMU KUWA IMEFANYIKA MADHABAHUNI
Baada ya mhubiri kushuka chini, Kiongozi wa zamu alipandisha juu madhabahuni na kuanza kuita makundi ya watu wa aina mbalimbali ili waweze kupita mbele ya madhabahu. Hapo sasa Kiongozi huyu akawa anashughulika na MACHO ya waumini, kwa kuanzia
Baada ya hapo, wakati wa matangazo, Kiongozi wa Zamu akawatangazia vijana wote kuwa watatakiwa kuhamisha viti vyote na kuvipeleka kwenye UKUMBI WA SULEMANI, ambako Ibada ya J2 ya wiki itafanyikia
- Iwapo vijana walifanya kitendo hicho wakati wa Ibada ya pili, basi waatakuwa waliGUSA viti vyote vinavyokaliwa na waumini wa Kanisa A na hivyo walitekeleza kitu kwenye mlango wa fahamu wa KUGUSA
- Mbali nahilo, Kiongozi Mkuu wa Kanisa A (KM-A) aliposimama wakati wa kutoa matangazo, aliwaambia waumini KUGEUKIANA NA KUPEANA MIKONO, huku akiwalekeza maeno ya kuambiana kati yao, na waumini walifanya hivyo
HITIMISHO
Tangazo la Kiongozi wa Zamu kuhusiana na Ibada kuhamishiwa UKUMBI WA SULEMANI J2 ijayo wakati siku hiyo kuna tukio jingine muhimu la Ibada ya ndoa ya muumini, LILIKUWA NI CHANGA LA MACHO LILOKUWA LIMELENGA KUWAZIBA MACHO WAUMINI WA KANISA A WASIWEZE KUJUA NINI KILIKUWA KIMEFANYIKA KWENYE MADHABAHU WAKATI WA IBADA J2 HIYO.
Kile kilichokuwa kinatafutwa kupitia tangazo hilo ilikuwa ni kuhakikisha kuwa zoezi la kuhamisha viti linafanyika na kufanikiwa, na pia kuhakikisha kuwa angalau
VITI VYOTE VILIVYOPO KANISANI VITAGUSWA NA MIKONO YA WATU WATAKAOKUWA WAMEHUDHURIA IBADA YA PILI J2 HIYO
Muhimu zaidi kwenye swala hili ni kuwa, mhusika anaomba aeleweke kuwa
hapingani na ukweli kuwa muumini huyu atakuwa amepokea uponyaji wa masikio kutoka Kanisa A, hapana isipokuwa anachosema ni kwamba SWALA LA MUUINI HUYU KUPOKEA UPONYAJI, LIMEKUJA KUTUMIKA TENA KAMA
LOOPHOLE YA KU-
LAUNCH WEAPON NYINGINE KUPITIA MADHABAHU YA KANISA A; HUKU MUUMINI HUYO AKIWA
AIDHA ANAJUA
AU HAJUI
Na kama alikuwa hajui, basi alikuwa anatumika
Hawa viongozi wa Kanisa A kwa sasa wamefikia hatua ambayo wanafanya vitu vya ajabu hadi wanatia huruma
MUBARIKIWE TENA NA BWANA