Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #1,221
BAADA YA MHUSIKA KUWA AMETOKA NJE YA GATE LA JENGO
Pale nje kwenye veranda, alimkuta SDOM akiwa amekaa kwenye veranda wakiwa pamoja na mmojawapo wa mabinti wawili waliokuwa wakitumia chumba jirani tangu J5. Mhusika alimjulisha SDOM kuwa chumba chake kilikuwa wazi na SDOM naye alijibu kuwa baadaye atapandisha juu ili akakifunge; na maongezi yao na SDOM yaliishia hapo
Akiwa anatembea kuendelea mbele akiwa kwenye veranda inayoshusha kuelekea basememet floor au kwenye parking zingine zilizo ng’ambo ya barabara
…………………..inaendelea

- Mhusika alimuona tena yule binti mwingine wa pili, mmojawpo wa wawili ambao wamekuwa wakitumia chumba jirani tangu J5, ambaye mwenzake ndiye alikuwa yupo pampja na SDOM hapo nje wakiwa wamekaa kwenye veranda
- Binti alikuwa anarudi kutoka mahali akielekea kwenye geti la lango kuu la kuingilia ndani ya jengo na kwa mwendo uliokuwa wa kasi kiidogo
- Mbele yake tena, mhusika alimuona binti mrembo mwingine akiwa amesimama kwenye veranda ile ile aliyokuwa mhusika anapita, umbali kidogo kutoka pale walipokuwa wamekaa SDOM na mwenzake
- Binti huyu alikuwa amesimama wakiwa pamoja na kijana fulani ambaye alionekana wazi kuwa hakuwa mfanyakazi kutokana na aina ya mavazi aliyokuwa amevaa muda huo
- Bwana huyu alikuwa amevaa kanzu lakini bila kibaraghashia, na hivyo hakuonekana pia kama mtu ambaye alikuwa ametokea au anaelekea kwenye nyumba ya Ibada Msikitini
…………………..inaendelea