Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #1,201
BAADA YA MHUSIKA KUMUONA BB AKIWA TAYARI AMESHATOKA NJE YA UZIO WA KANISA
Hapo hapo mhusika alibadilisha plan na kuamua kutokumchukua tena
Mhusika alichukua njia ya mzunguko wa karibu wa kurudi Kanisani hapo na baada ya muda mfupi, alikuwa tayari ameshafika Kanisani na kupaki gari lake nje ya uzio, pembezoni mwa barabara, Baada ya hapo mhusika alishuka kwenye gari na kuingia ndani ya uzio wa Kanisa
Kwa bahati nzuri Bajaj ilikuwa bado ipo mahali pale pale alipokuwa ameiacha na SG naye pia alikuwa bado yupo.Hata hivyo, gari ya Profesa haikuwepo
………………………inaendelea
Hapo hapo mhusika alibadilisha plan na kuamua kutokumchukua tena
- Plan B ikawa ni kwamba atamchukulia Bajaj ambazo huwa zipo pale nje getini zikisubiria waumini wanaotoka Kanisani
- Hata hivyo, baada ya kufika getini, huku BB naye akiwa tayari yupo maeneo yale nje ya uzio wa Kanisa; mhusika aligundua kuwa hapakuwa na Bajaj hata moja maeneo yale J2 hiyo
- Kwa hiyo mhusika alichukua nauli na kumpa BB
- Baada ya tukio hilo BB alishukuru huku akiendelea kutembea kwa kusonga mbele, safari hii akiongeza kidogo kasi ya hatua zake alizokuwa anachukua kama vile anataka kuwahi kitu upande mwingine wa barabara aliyokuwa anakkatiza.
- Possibly kasi hiyo ilikuwa ni kwa sababu ya magari ambayo huwa yanakatiza njia hiyo mara kwa mara, japo kwa muda huo mfupi hapakuwa na gari lolote karibu maeneno yale