Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
-
- #1,501
UPDATE: FRIDAY 16TH JUNE 2023
TUKIO JINGINE MUHIMU LILILOTOKEA MAZINGIRA YA OFISINI KWA MHUSIKA ALHAMIS YA TAREHE 08 JUNE 2023
Mhusika angeweza kuliweka tukio hili kwenye category ya BREAKING NEWS, assuming angekuwa na muda wa kuleta maelezo yake muda mfupi tu baada ya kuwa limetokea
Hata hivyo hakufanikiwa kufanya hivyo kwa sababu alikuwa bado anaendelea kulifanyia utafiti kwanza kujirdhisha kama lilikuwa ni tukio ambalo ni planned au coincidence tu
Kwa sasa hivi, mhusika anao uhakika kuwa tukio hilo halikuwa coincidence bali lilikuwa limepangwa, na mhusika wake ni kijana staff wa kiume kutoka kwenye ile idara nyingine ya MAJOR UNIT
Ni kijana yule ambaye huwa anavaa miwani muda wote na ambaye mara kwa mara huwa anaonekana sana kwenye mazingira ya idarani kwa mhusika
MFANANO KATI YA TUKIO HUSIKA NA TUKIO JINGINE LILILOWAHI KUTOKEA AWALI SIKU YA IJUMAA YA TAREHE 26/05/2023
Tukio hilo linashahibiana kidogo na lile ambalo mhusika aliwahi kuleta taarifa zake humu jukwaani kupitia post hii hapa #1,473 lililowa hi kutokea kwenye Ijumaa tajwa
Kwa ufafanuzi mzuri zaidi wa namna tukio hilo la awali lilivyowahi kutokea, wasomaji wanashauriwa kusoma kuanzia post hii hapa #1,472
Hili ni tukio la mwanzo ambalo mhusika alikumbana nalo ofisini kwa Mkuu wa Idara Ijumaa hiyo alipokuwa anarudisha Digital Projector; baada ya kuahirisha kipindi kufuatia wanafunzi kukosekana darasani baada ya kuwa wamesambaziwa ujumbe kabla ya kipindi kuwa kwa siku hiyo kipindi hicho kilikuwa kimeahirishwa, wakati in fact haikuwa hivyo
MAELEZO YA TUKIO LENYEWE (LA ALHAMIS YA TAREHE 08 JUNE 2023)
…………………..inaendelea