KUHUSIANA NA KWEPA ZINAZOENDELEA KUFANYWA NA KM-A HUKO KANISA A
Ndani ya kipindi hiki cha wiki hizi chache sana,
KWEPA YA KWANZA
Jana J2 ya tarehe 02/07/2023, KM-A amekwepa kutoa tangazo la msiba mkubwa uliotokea Kanisani kwa ajali
- Aidha ilionekana pia kuwa hata Ibada za siku za katikati ya wiki zilizoangukia kwenye wiki ya msiba huo, KM-A hakuzihamishia kwenye msiba
- Kawaida msiba unapokuwa umetokea Kanisani, Ibada za siku za katikati ya wiki ndani ya wiki hiyo ya msiba, huwa zinahamishiwa kwenye makazi msiba ulipo isipokuwa zile za J2 tu
KWEPA YA PILI
Mbali na hilo KM-A alikwepa kutoa tangazo lililohusiana na ajali ya familia mbili za DR
Jana J2 ya tarehe 02/07/2023 wahanga wa ajali hiyo walionekqna Kanisani kwa mara ya kwanza
Hata hivyo KM-A hakutoa tangazo lolote lililohusina na waumini hao la aidha kuwaandaa waumini wa Kanisa A kwa ajili ya kuja kuwapa mkono wa pole hapo baadaye, kufutia waumini hao kunusurika kwenye ajali mbaya, au la angalau kuwakaribisha tu wahanga hao mbele ya hadhira ya waumini ili waweze kushuhudia matendo makuu ya namna Mungu alivyowaokoa na ajlai hiyo
- Kama ambavyo mhusika aliwahi kudokeza hivi karibuni, kawaida waumini wa Kanisa A wanapokuwa wamepatwa na dharula kubwa, KM- huwa anasimama kutangaza dharula hiyo ikiwa ni pamoja na kuwaomba waumini watoe mkono wa pole kwa wahamga wa dharula husika
- Kwa wahanga wa safari hii, bado haijwa hivyo na mhusika bado anayo matarajio kuwa kuna siku ambayo haiko mbali, KM-A atapata nafasi ya kuongelea swala la wahanga wa ajali hiyo mbele ya waumini wote wa Kanisa A
KWEPA YA TATU
Kama ambayo mhusika ameshawahi kudokeza hapo awali, KM-A vile vile amekwepa kutoa tangazo lililohusiana na sadaka iliyokuwa inatakiwa kenda nje ya Kanisa
KM-A alikuja tu kuiongelea sadaka hiyo ilipowadia siku ya kukusanywa kwake na hivyo kuanzia pale, kuwajulisha waumini kuwa sadaka hiyo ilitakiwa kwenda wapi
MBAL NA HAYA YOTE
J2 ya tarehe 04/06/2023 siku ya sikukuu ya watoto,
Kiongozi mwandamizi alisimama madhabahuni na kuwaomba waumini WASIMAME kwa ajili ya KUOMBEA AJALI
- Siku hiyo watoto walikuwa wamevalishwa mavazi ya meusi chini hadi juu ambayo ni mavazi rasmi kwa ajili ya misiba
- Mbali na hilo baadhi yao vile vile walitumika madhabahuni kwa matendo ambayo hayakuwa mazuri sana kwa waumini
- Kuanzia J2 hiyo, hazijapita hata wiki tatu msiba mkubwa unaotokana na ajali, umetokea Kanisani
Kubwa zaidi, jana J2 vile vile, kwa sababu ambayo haijulikani,
kwa mara ya kwanza wakati wa matangazo yake, KM-A aliwaomba waumini KUSIMAMA NA KUOMBEA AJALI alipokuwa amesimama madhabahuni
Sababu hasa ya maombi hayo maalum kwa ajili ya AJALI TU haijulikani kwa sababu wasafiri wote huwa wanaombewa kwenye Ibada ya kwanza, na wakati mwingine hata kwenye Ibada ya pili na katika muda maalumu
wakati wa matangzao ya Kiongozi wa Zamu na si katika ule muda wa matangazo ya KM-A
Kwa hiyo jana J2,
KM-A alisimama madhabahuni na kutengeneza sababu yake maalum kwa ajili ya kuombea ajali, sawa kama ilivyofanyika kwenye J2 ya awali ya tarehe 04/06/2023
Mwandishi wenu atarudi tena siku nyingine ili kuwaletea maelezo ya kina, kuhusiana na swala la sadaka ambayo KM-A alikuwa anakwepa kuitangaza mwenyewe
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
COMING UP NEXT:
NAMNA MTANDAO WA KU-RENEW MAPEPO KWENYE CHUMBA CHA MICROCPES UNAVYORATIBIWA KWA USHIRIKIANO WA WATU WALIOKO KANISANI NA WALIOPO OFISINI KWA MHUSIKA
Mhusika ameshakusanya ushahidi wa kutosha katika hili na wahusika wa mtandao huu wapo wakiwa wamebeba ushahidi kwenye miili yao na ambao hauna namna ambao unaweza ukafichika, upo kwenye viungo vya miili yako.
Wapo sehemu zote, Kanisani na ofisini
Kwenye baadhi ya matukio, viungo vya miili vimekuwa vikitumika ku-
renew mapepo kwenye MICROSCOPES zilizopo kwenye chumba cha Microscopes
Wasomaji watafurahi kusoma maelezo ya ushahidi huo
………………….stay tuned