UPDATE: WEDNESDAY 22 JULY 2020
NYONGEZA YA MUHIMU KUHUSIANA NA
SECRET CODE INAYOTUMIA NENO
UZINZI
- Wakati mwingine huwa linatumika neno uasherati badala yake, japo kwa mara chache sana
- Kwa mara zilizo nyingi, imedhihirika kabisa kuwa secret code lazima itamkwe na mtu akiwa amesimama madhabahuni, au mbele ya madhabahu
- Ni mara moja tu ilipowahi kutamkwa na mtu (mnunuzi wa sanitizer) akiwa ameketi upande wa waumini, siku ya Ibada ya J3 ambayio kwa mara ya kwanza, mafundisho ya Neno la Mungu yaliendeshwa kwa njia ya majadiliano siku hiyo
- Siku secret code ikitamtakwa, ilikuwa lazima iambatane na watu wanaohusika na code hiyo kukaribishwa wapite mbele ya madhabahu kwa ajili ya kuombewa
- Hii ilimaanisha pia kuwa nyuma yake kuna siku ambayo pepo mhusika alirushwa Kanisani hapo, na tayari kiongozi wa Ibada anayesimama madhabahuni anakuwa na uhakika kabisa kuwa kuna waathirika wanaotokana na code hiyo, siku hiyo.
Pepo akisharushwa, mlengwa lazima a-expereince madhara yake usiku kwa kushambuliwa au kukoswa koswa kushambuliwa akiwa usingizini na kwenye ndoto
Kwa hiyo mtu anaposimama madhabahuni kuita watu wa aina anayoitaka, anakuwa na uhakika kabisa kuwa wapo, na kweli huwa angalau yupo mtu mmoja.
Still, siku hiyo kunakuwa pia na utitiri wa teenagers wamealikwa kutoka kusikojulikana, kuja ku-“join the move” na kufanya kitu kingine cha kiroho kwenye sakafu iliyoko mbele ya madhabahu, (mahali pale ambapo watu ambao hukaribishwa kupita mbele madhabahuni huwa wanakanyaga kwa miguu yao wakiwa wamesimama wakati wa maombezi) na kwenye madhabahu pia
Yakishafanyika haya yote, J2 inayofuata ndiyo sasa Kiongozi Mkuu anapanda madhabahuni kuhubiri, baada ya kuwa hajafanya hivyo kwa wiki kadhaa
UTHIBITISHO KUWA VIONGOZI HAWA HUWA WANA UHAKIKA WA UWEPO WA VICTIMS WANAOSHAMBULIWA NDOTONI USIKU
Wanakuwa na roho hiyo ya utambuzi kwa sababu wanaohusika na kurusha pepo wa aina hiyo ni wao, ila inakuwa ni roho ya utambuzi isiyotokana na mamlaka za Mungu bali za kuzimu.
Roho hiyo ya utambuzi inajidhihirisha katika mambo makuu mawili haya hapa chini
MOJA: Kuna siku mhubiri wa uzinzi aliwahi kutamka “wakati mwingine jitu linashambuliwa linafanya mapenzi usingizini hadi linafikia hatua ya kupiga kelele, Mungu atusaidie sana wapendwa”. Hapa huyu mtu alikuwa na uhakika kabisa na alichokuwa akikitamka
MBILI: Kuna siku Kiongozi Mkuu aliwahi kulalalmika kuwa watu walengwa wa mashambulio hayo hawakupita mbele. Hii inaonyesha kuwa huyu mtu alikuwa na uhakika kabisa wa uwepo wa angalau mtu mmoja wa aina hiyo.
Hiyo sasa Ilikuwa ni wakati wa Ibada ya jioni J2, ambapo kiongozi huyo alichagua
age group fulani ya watu ambayo hata mhusika naye alijikuta yu miongoni mwa sifa za waliotakiwa kuwepo. Alikawakaribisha halafu walipofika Kanisani akawakabidhi kwa nabii. Wakati anawakaribisha hakuwajulisha theme ya ujumbe, walipofika Kanisani ndiyo wakakumbana na nabii na
mojawapo ya theme ikawa ni UZINZI.
Siku hiyo pia ilikuwa ni siku pekee ambayo mhusika alibahatika kuona sura nyingi ngeni Kanisani hapo ambazo anakiri kabisa kuwa hapo kabla, hakuwa amewahi kuziona kabisa kanisani hapo na hajawahi kuziona tena mpaka leo. Zaidi ni kuwa, age-group aliyoihitaji Kiongozi Mkuu, haina watu wengi kihivyo Kanisani hapo lakini cha kushangaza zaidi ni kuwa Kanisa lilifurika jioni hiyo siyo kawaida!
HITIMISHO
Kwa namna ilivyokuwa huko nyuma kuhusiana na swala hili la secret code ya UZINZI, wakishakamilisha sequence yao ya ku-invoke secret code hiyo, lazima angalau muumini mmoja apate mashambulio ya aina hiyo. Pepo anarushwa kutokea Kanisani halafu mtu anamchukua anenda naye hadi nyumbani kwake
This how it used to work in the former days, na kwa mfumo huu mpya ulioanza kutumika sasa, mhusika bado anaendelea kuusoma, maana technique imebadilika ikiwa ni pamoja na sequence, na inaonekana kama kuna ingizo jipya kwenye timu iliyokuwa inahusika, na kama si ingizo jipya, basi inaonyesha pengine huko nyuma mhusika alikuwa amepigwa chenga kidogo, hakuwa ameifahamu timu kamili kama alivyopaswa kuifahamu
MwiH
elly obedy