Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #321
Tunarudi tena kwenye mada ya msingi ambayo bado ilikuwa bado inaendelea……………….
MATUKIO YALIYOWAHI KUJITOKEZA KABLA NA BAADA YA JUNI 2018, YAANI MWEZI AMBAO ILISEMEKANA KUWA MALIMBIKIZO YALILIPWA
Kwa hiyo mnamo August 2018 baada ya BA kuwa wameshusha riba ya akaunti yake, mhusika aliamua kwenda BB na kufungua FDR nyingine na benki hiyo,
Na kama “hypotheisis” ya mhusika (ya hivi karibuni aliyoiainisha hapo juu kuhusiana na swala la malimbikizo ambayo hajawahi kulipwa hadi leo) iko sahihi, basi possibly yaweza kuwa hadi kipindi hicho, kulikuwa possibly, na fedha nyingi (sustancial) ya mhusika ambayo BA walikuwa bado wanayo kwenye system yao ya benki, ila ambayo mhusika hajawahi kuwa na taarifa yake (fedha hizo). Hii inaweza kuwa ndiyo fedha ile ya malimbikizo, assuming iliwahi kutoka
Kilichkuwa kimekusudiwa na conspiracy hiyo ni kwamba Ilitakiwa sasa mhusika aendelee kuwa na pilika pilka za uteja na BA kwa kutumia fedha zake anazozijua, ili hata zile asizozijua na ambazo hafaidiki nazo, nazo pia ziendelee kupata uhalali wa kuendelea kuwepo BA, na wakati huo huo mhusika akiwa hafaidiki na fedha hizo na pia akiwa hajui kama BA wana fedha hizo
HITIMISHO
Vinginevyo basi matukio haya yanaweza kuwa coincidental tu, isipokuwa kwa namna yalivyokaa, hata mtu mwingine yeyote yule mwenye akili timamu, pindi inapotokea amekutana na matukio yenye pattern ya namna hii, lazima tu ajaribu kuyachakata kwa kwenda umbali huu kama alioenda mhusika
Kwa hali hiyo basi, kukwepa mkanganyiko huu ambao ulikuwa unaanza kupandwa na wafanyakazi hawa kichwani kwa mhusika, hatimaye aliamua kurudi tawini kwake BA na kuzifunga akaunti hizo zote mbili kwa mkupuo, mnamo April 2020. Hivyo basi akaunti hizo hazi-exist tena hadi leo hii, yaani hazipo tena.
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

- Hata hivyo aliendelea kuwa na akaunti mbili na BA ikiwemo ile ambayo alihamisha fedha na kuzipeleka BB
- Kwa hiyo kwa kipindi hicho, hakupendelea kuchukua hatua ya kufunga akaunti zake na BA
- Akabaini kuwa kulikuwa na conspiracy kati ya baadhi ya wafanyakazi wa benki hizi mbili, yaani wafanyakazi wa tawi lile jingine la BA lililoko karibu na lile la BB
- Conspiracy hiyo ililenga kum-trigger mhusika ahamishe tena pesa yake ambayo amekuwa aki-invest na watu wa BB na kuirudisha tena BA alikowahi kuihamisha mnamo August 2018
- Conspiracy hii ilifanyika kwa sababu wafanyakazi hawa walijua kuwa mhusika alikuwa bado ana akaunti zake mbili na BA
- Motive hasa ya conspiracy ya wafanyakazi hawa hakuweza kuibaini vizuri kwa wakati huo