Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #641
UPDATE: SATURDAY 01 MAY 2021
KITU CHA MUHIMU SANA AMBACHO WATU INABIDI WAKUMBUKE KUHUSIANA NA MISHAHARA KIPINDI CHA HAYATI JPM ANAINGIA MADARKANI
Hayati JPM hakuwahi kuongeza mishahara ila naye pia aliwahi kutoa punguzo la asilimai 1% kwenye kodi ya mishahara
Mama naye tena amekuja kutoa punguzo la asilimia moja (1%) vile vile
Kwa hiyo mpaka muda huu punguzo la kodi kwenye mshahara ni asilimia 2% ya gross pay
Hii inamaanisha kuwa kabla ya punguzo la mama, tulikuwa tunaendelea na punguzo la hayati JPM ambalo nalo pia lilikuwa asilimia moja kwa maana kuwa
Kutokana na hali hiyo basi, kwa sasa hivi tunatakiwa kutoka kwenye kodi inayokatwa kutoka kwenye gross pay ya TZS 0.99X kwenda kwenye kodi itakayokatwa kweye gross pay ya TZS 0.98X
Kwa kifupi hali ilivyo kwa sasa ni kama ifuatavyo
https://www.tra.go.tz/images/uploads/Laws/INCOME_TAX_TABLE_2020_21.pdf
au hapa
www.tra.go.tz
Kwa hiyo punguzo la sasa limepelekea punguzo lote la kodi kuwa ni asilimia 2% kwa sabau tayari tulikuwa na punguzo la asilimia 1% kutoka kwa JPM
Nimeandika haya hapa kwa sababu kuna baadhi ya wajanja ambao huwa wanacheza na punguzo hili, nitawajulisha huko mbele ya safari nikishakuwa na ushahidi wa kutosha. Nasema hivi kwa sababu tayari najua kitu fulani muhimu kuhusu hili
NB: Hizi taarifa zina apply kwa wale tu ambao mshahara wao unazidi TZS 520,000/= kama jedwali la mamlaka ya mapato linavyoonyesha kwa sasa
UPDATE: WEDNESDAY 05/05/2021
UWEPO WA KANUNI INAYOWEZA KUWA SIYO RASMI NA INAYOKATA KODI KUBWA ZAIDI KWENYE MSHAHARA WA MTUMISHI WA KIMA CHA JUU, PINDI MSAMAHA WA KODI UNAPOKUWA UMETOLEWA NA SERIKALI
Actually niliandika hiki kilichopo hapa juu na nikiwa ninataka kujua iwapo kuna watu wengine pia ambao nao wameshakumbana na hali kama hii; kwamba kwa mshahara unaozidi TZS 1,000,000/=, msamaha wa kodi unapotoka, kile kiwango cha asilimia ya msamaha kinatolewa kwenye Gross Pay Amount badala ya kupunguzwa kutoka kwenye kiwango cha asilimia ya kodi inayotakiwa kukatwa kutoka kwenye Gross Pay.
Nitatoa mifano halisi hapa kwa scenario zote hizi mbili kama ifuatavyo.
Tutumie mfano wa punguzo la kodi kwenye mshahara, wa asilimia tatu (3%) ambapo msamaha wake unakuwa tuseme ni kutoka asilimia kumi na moja (11%) hadi asililima nane (8%). Tuanze na kima cha chini kwa uafafanuzi tu japo chenyewe hakhusianna na kitakachoongelea kwenye bandiko hili, halafu baadaye ndiyo tuzame kwenye kima cha juu
1. KODI ANAYOTAKIWA KUKATWA MTU MWENYE MSHAHARA WA KIMA CHA CHINI
kutokana na punguzo hili tajwa la 3%
Kwa mshahara tuseme wa laki mbili (TZS 200,000/= ukokotaoaji wake unakuwa kama ifuatavyo:
KODI YA ZAMANI YA MSHAHARA WA MTUMISHI KABLA YA MSAMAHA WA ASILIMIA TATU (3%)
Kodi ya zamani aliyokuwa akikatwa mtumishi kabla ya msamaha wa kodi wa 3% iliikuwa
KODI = 0.11x200,000/=22,000/= (Elfu ishirini na mbili)
KODI YA MPYA YA MSHAHARA WA MTUMISHI BAADA YA MSAMAHA WA ASILIMIA TATU (3%)
KOD I= 0.08x200,000/=16,000/= (Elfu kumi na sita)
Kwa hiyo mtu huyu anakuwa amepata msamaha wa kodi kwa kiasi hicho cha fedha hiyo ambayo inatokana na tofauti iliyopo kati ya kodi hiyo mpya na ile ya zamani
1. KODI ANAYOTAKIWA KUKATWA MTU MWENYE MSHAHARA WA KIMA CHA KATI NA CHA JUU , (MSHAHARA UNAOZIDI TZS 1,000,000/=)
Tuchukulie mfano mtumishi mwenye msahahara wa shilling million mbili na nusu (TZS 2,500,000/=)
Watumishi wa mishahara yote inayozidi shilling million moja, wao kanuni ya kodi ikotofauti na ile ya kima cha chini, na ukitembelea kwenye tovuti ya TRA, wameeleza kinagaubaga kuwa, kwa mshahara wowote unaozidi shillingi million moja (>TZS 1,000,000/=), msahahara huu utatozwa kodi kama ifuatavyo
KODI=130,500+0.30(2,500,000-1,000,000)
=130,500+0.30(1,500,000)
=130,500+450,000=580,500 (Laki tano na elfu themathini na mia tano)
Hii ni kodi kwenye mshahara huu pasipo kuwepo na msamaha wa punguzo lolote la kodi
Kwa hiyo, bila msamaha wa kodi wa 3% mtumishi ambaye mshahara wake ni TZS 2,500,000/= anatakiwa alipe kodi ya kiasi cha TZS 580,500/=
KODI ANAYOTAKIWA KULIPA MTUMISHI HUYU BAADA YA MSAMAHA WA 3% YA UNGUZO LA KODI
KANUNI YA KWANZA: KULINGANA NA UELEWA WA MWANDISHI WA MAKALA HII
Hata hivyo, baada ya msamaha wa kodi, mtumishi huyu huyu anatakiwa alipe kodi ambayo ni pungufu kwa asilimia tatu (3%) ukilingansiha na ile ya asilimia thelathini (30%) ya awali ambayo alikuwa analipa kwa kila kiasi kinachozidi kwenye TZS 1,000,000/=. Kwa hali hiyo anatakiwa alipe kodi kwa 27% badala ya 30% ya awali
Kwa hiyo, baada ya msamaha wa kodi, mtumishi huyu anatakiwa alipe kiasi cha kodi ambayo ni
KODI=130,500+0.27(2,500,000-1,000,000)
=130,500+0.27(1,500,000)
=130,500+405,000=535,500 (Laki tano, elfu thelathin na tano na mia tano)
KANUNI YA PILI (NA AMBAYO PENGINE SIYO KANUNI RASMI) YA UKOKOTOAJI MWINGINE UNAOFANYIKA KWA KUTOA ASILIMIA YA PUNGUZO KWENYE GROSS PAY
Mwandishi wa makala hii ameshakumbana na kanuni hii, na ndiyo maana ameamua kuiongelea hapa
Ikumbukwe kuwa msamaha tuseme wa kodi kwa asilimia tatu (3%) ni msamaha unaohusiana na
Kwamba kwa mtumishi tuseme mwenye mshahara wa TZS 2,500,000/=
KODI=130,500+0.30(2,425,000-1,000,000)
=130,500+0.30(1,425,000)
=130,500+427,500=558,000 (Laki tano na elfu hamsini na nane)
Kwa hiyo mpaka hapa, msomaji anaweza kuona kuwa:
Kanuni ya pili na ambayo haiendani na ile iliypo kwenye tovuti ya TRA; kwa mshahara ule ule wa TZS 2,500,000/=, inakata kodi kubwa zaidi ukilinganisha na kanuni ya kwanza na ambayo ndiyo iliyopo kwenye website ya mamlaka ya mapatoTanzania
Kwa kifupi ni kwamba:
Kawaida, chini ya msamaha wa kodi, kanuni ya pili inakata kodi iliyo juu zaidi ukilinganisha na ile ya kwanza, kama ilivyoanisha kwa kifupi hapa chini kufauatana vwango mbali mbali vya mishahara
1.Kiasi cha mshahara: TZS 1,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
2.Kiasi cha mshahara: TZS 2,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
3.Kiasi cha mshahara: TZS 2,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
4.Kiasi cha mshahara: TZS 3,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
5.Kiasi cha mshahara: TZS 3,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
6.Kiasi cha mshahara: TZS 4,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
7.Kiasi cha mshahara: TZS 4,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
8.Kiasi cha mshahara: TZS 5,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
8.Kiasi cha mshahara: TZS 5,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
9.Kiasi cha mshahara: TZS 6,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
10.Kiasi cha mshahara: TZS 6,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
11.Kiasi cha mshahara: TZS 7,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
KITU CHA MUHIMU SANA AMBACHO WATU INABIDI WAKUMBUKE KUHUSIANA NA MISHAHARA KIPINDI CHA HAYATI JPM ANAINGIA MADARKANI
Hayati JPM hakuwahi kuongeza mishahara ila naye pia aliwahi kutoa punguzo la asilimai 1% kwenye kodi ya mishahara
Mama naye tena amekuja kutoa punguzo la asilimia moja (1%) vile vile
Kwa hiyo mpaka muda huu punguzo la kodi kwenye mshahara ni asilimia 2% ya gross pay
Hii inamaanisha kuwa kabla ya punguzo la mama, tulikuwa tunaendelea na punguzo la hayati JPM ambalo nalo pia lilikuwa asilimia moja kwa maana kuwa
- Mtumishi aliyekuwa anapata Gross Pay ya TZS X, alikuwa anakatwa kodi kwenye kutoka Gross Pay ya TZS 0.99X
- Punguzo hili la awali ndilo lililotokana na Hayati JPM wakati anaingia madarakani
Kutokana na hali hiyo basi, kwa sasa hivi tunatakiwa kutoka kwenye kodi inayokatwa kutoka kwenye gross pay ya TZS 0.99X kwenda kwenye kodi itakayokatwa kweye gross pay ya TZS 0.98X
Kwa kifupi hali ilivyo kwa sasa ni kama ifuatavyo
- Kiasi kilichokuwa kinakatwa kodi wakati wa JPM ni TZS 0.99X
- Kiasi kitakachokuwa kinakatwa kodi muda wote ambao mama atakuwa anajitayarisha kwa ajili ya kuongeza mishahara kitakuwa ni kutoka kwenye TZS 0.98X
https://www.tra.go.tz/images/uploads/Laws/INCOME_TAX_TABLE_2020_21.pdf
au hapa
Tanzania Revenue Authority - Tax Tables
Tanzania Revenue Authority websiteKwa hiyo punguzo la sasa limepelekea punguzo lote la kodi kuwa ni asilimia 2% kwa sabau tayari tulikuwa na punguzo la asilimia 1% kutoka kwa JPM
Nimeandika haya hapa kwa sababu kuna baadhi ya wajanja ambao huwa wanacheza na punguzo hili, nitawajulisha huko mbele ya safari nikishakuwa na ushahidi wa kutosha. Nasema hivi kwa sababu tayari najua kitu fulani muhimu kuhusu hili
NB: Hizi taarifa zina apply kwa wale tu ambao mshahara wao unazidi TZS 520,000/= kama jedwali la mamlaka ya mapato linavyoonyesha kwa sasa
UPDATE: WEDNESDAY 05/05/2021
UWEPO WA KANUNI INAYOWEZA KUWA SIYO RASMI NA INAYOKATA KODI KUBWA ZAIDI KWENYE MSHAHARA WA MTUMISHI WA KIMA CHA JUU, PINDI MSAMAHA WA KODI UNAPOKUWA UMETOLEWA NA SERIKALI
Actually niliandika hiki kilichopo hapa juu na nikiwa ninataka kujua iwapo kuna watu wengine pia ambao nao wameshakumbana na hali kama hii; kwamba kwa mshahara unaozidi TZS 1,000,000/=, msamaha wa kodi unapotoka, kile kiwango cha asilimia ya msamaha kinatolewa kwenye Gross Pay Amount badala ya kupunguzwa kutoka kwenye kiwango cha asilimia ya kodi inayotakiwa kukatwa kutoka kwenye Gross Pay.
Nitatoa mifano halisi hapa kwa scenario zote hizi mbili kama ifuatavyo.
Tutumie mfano wa punguzo la kodi kwenye mshahara, wa asilimia tatu (3%) ambapo msamaha wake unakuwa tuseme ni kutoka asilimia kumi na moja (11%) hadi asililima nane (8%). Tuanze na kima cha chini kwa uafafanuzi tu japo chenyewe hakhusianna na kitakachoongelea kwenye bandiko hili, halafu baadaye ndiyo tuzame kwenye kima cha juu
1. KODI ANAYOTAKIWA KUKATWA MTU MWENYE MSHAHARA WA KIMA CHA CHINI
kutokana na punguzo hili tajwa la 3%
Kwa mshahara tuseme wa laki mbili (TZS 200,000/= ukokotaoaji wake unakuwa kama ifuatavyo:
KODI YA ZAMANI YA MSHAHARA WA MTUMISHI KABLA YA MSAMAHA WA ASILIMIA TATU (3%)
Kodi ya zamani aliyokuwa akikatwa mtumishi kabla ya msamaha wa kodi wa 3% iliikuwa
KODI = 0.11x200,000/=22,000/= (Elfu ishirini na mbili)
KODI YA MPYA YA MSHAHARA WA MTUMISHI BAADA YA MSAMAHA WA ASILIMIA TATU (3%)
KOD I= 0.08x200,000/=16,000/= (Elfu kumi na sita)
Kwa hiyo mtu huyu anakuwa amepata msamaha wa kodi kwa kiasi hicho cha fedha hiyo ambayo inatokana na tofauti iliyopo kati ya kodi hiyo mpya na ile ya zamani
1. KODI ANAYOTAKIWA KUKATWA MTU MWENYE MSHAHARA WA KIMA CHA KATI NA CHA JUU , (MSHAHARA UNAOZIDI TZS 1,000,000/=)
Tuchukulie mfano mtumishi mwenye msahahara wa shilling million mbili na nusu (TZS 2,500,000/=)
Watumishi wa mishahara yote inayozidi shilling million moja, wao kanuni ya kodi ikotofauti na ile ya kima cha chini, na ukitembelea kwenye tovuti ya TRA, wameeleza kinagaubaga kuwa, kwa mshahara wowote unaozidi shillingi million moja (>TZS 1,000,000/=), msahahara huu utatozwa kodi kama ifuatavyo
- Kwanza utakatwa TZS 130,500/=
- Baada ya hapo, mshahara huo huo utakatwa tena asilimia thelathini (30%) ya kiasi kile kinachoongezeka juu ya sjhillingi million moja, kwa maana kuwa kwa aliye na mshahara huu uliotajwa hapa wa TZS 2,500,000/=, mbali na kuwa amekwatwa TZS 130,500/=, anatakiwa kukakatwa tena asilimia 30% ya tofauti iliyopo kati ya TZS 2,500,000/= na TZS 1,000,000/=
- Kwa hiyo mtumishi huyu anatakiwa kukatwa 30% ya tofauti iliyopo kati ya mshahara wake wa TZS 2,500,000/= na TZS 1,000,000/=
KODI=130,500+0.30(2,500,000-1,000,000)
=130,500+0.30(1,500,000)
=130,500+450,000=580,500 (Laki tano na elfu themathini na mia tano)
Hii ni kodi kwenye mshahara huu pasipo kuwepo na msamaha wa punguzo lolote la kodi
Kwa hiyo, bila msamaha wa kodi wa 3% mtumishi ambaye mshahara wake ni TZS 2,500,000/= anatakiwa alipe kodi ya kiasi cha TZS 580,500/=
KODI ANAYOTAKIWA KULIPA MTUMISHI HUYU BAADA YA MSAMAHA WA 3% YA UNGUZO LA KODI
KANUNI YA KWANZA: KULINGANA NA UELEWA WA MWANDISHI WA MAKALA HII
Hata hivyo, baada ya msamaha wa kodi, mtumishi huyu huyu anatakiwa alipe kodi ambayo ni pungufu kwa asilimia tatu (3%) ukilingansiha na ile ya asilimia thelathini (30%) ya awali ambayo alikuwa analipa kwa kila kiasi kinachozidi kwenye TZS 1,000,000/=. Kwa hali hiyo anatakiwa alipe kodi kwa 27% badala ya 30% ya awali
Kwa hiyo, baada ya msamaha wa kodi, mtumishi huyu anatakiwa alipe kiasi cha kodi ambayo ni
KODI=130,500+0.27(2,500,000-1,000,000)
=130,500+0.27(1,500,000)
=130,500+405,000=535,500 (Laki tano, elfu thelathin na tano na mia tano)
- Kanuni hii ndiyo ile iliyopo kwenye tovuti ya mamlaka husika
- Vile vile, kanuni hii ina unafuu mkubwa wa kodi kwenye mshahara wa watumishi wa umma pindi wanapokuwa wamepewa punguzo la msamaha wa kodi kwa asilimia kadhaa
KANUNI YA PILI (NA AMBAYO PENGINE SIYO KANUNI RASMI) YA UKOKOTOAJI MWINGINE UNAOFANYIKA KWA KUTOA ASILIMIA YA PUNGUZO KWENYE GROSS PAY
Mwandishi wa makala hii ameshakumbana na kanuni hii, na ndiyo maana ameamua kuiongelea hapa
- Kanuni hii haipo kwenye tovuti ya mamlaka husika, isipokuwa pengine inaweza kuwa imetokana na uvumbuzi wa watu wanaojua mahesabu tu
- Kanuni hii inakata kodi kubwa zaidi kupitia msamamaha wa asilimia zozote zile ikiwa ni pamoja na asilimia aliyotolea mfano mwandishi hapa, na kwa msahahahar wowote ule ulio juu ya kiasi cha TZS 1,000,000/=
Ikumbukwe kuwa msamaha tuseme wa kodi kwa asilimia tatu (3%) ni msamaha unaohusiana na
- Asilimia yote (aggregate percentage value) inayokatwa kwenye mshahara wa mtumishi kama kodi
- Haihusiani na asilimia hiyo kupungua kwanza kwenye Gross Pay Amount kabla ya amount hiyo kuwa imekatwa kodi, halafu baadaye tena ndiyo Gross Pay Amount inayobaki baada ya punguzo la asilimia hizo, iweze kukatwa kodi, hapana
- asilimia hizo
Kwamba kwa mtumishi tuseme mwenye mshahara wa TZS 2,500,000/=
- Kwanza: inachukuliwa 3% ya TZS 2,500,000/= ambayo ni 0.030(2,500,000)= TZS 75,000/=
- Baada ya hapo, kiasi hiki cha TZS 75,0000 kinatolewa kwenye kiasi cha mshahara mzima, yaani TZS 2,500,000, na baada ya hapo ndiyo ile kanuni iliyotajwa hapo juu yenye kuambatana na kodi ya kiasi cha asilimia 30% kwa kiasi kile kilichozidi TZS 1,000,000/= ndiyo inatumika kukokotoa kodi ya mshahara huu.
- Kiasi cha kodi kinachotakiwa kukatwa kodi kwa kanuni hii ni tzs 2,500,000-75,000=2,425,000/=
- Baada ya hapo ndiyo 30% inakaktwa tena kutoka kwenye TZS 2,425,0000/= ikiwa imeungana na TZS 130,500/=.
KODI=130,500+0.30(2,425,000-1,000,000)
=130,500+0.30(1,425,000)
=130,500+427,500=558,000 (Laki tano na elfu hamsini na nane)
Kwa hiyo mpaka hapa, msomaji anaweza kuona kuwa:
- Kwa kanuni ile ya mwanzo, na kwa punguzo la kodi ya asilimia tatu (3%), kodi ya msharahara wa TZS 2,500,000/= imeonekana kuwa ni TZS 535,000/= (Laki tano, elfu thelathini na tano na mia tano)
- Kwa kanuni ile ya pili, na kwa punguzo lile lile la kodi ya asilimia tatu (3%), kodi ya msharahara huo huo wa TZS 2,500,000/= inakuwa TZS 558,000/= (Laki tano na elfu hamsini na nane)
Kanuni ya pili na ambayo haiendani na ile iliypo kwenye tovuti ya TRA; kwa mshahara ule ule wa TZS 2,500,000/=, inakata kodi kubwa zaidi ukilinganisha na kanuni ya kwanza na ambayo ndiyo iliyopo kwenye website ya mamlaka ya mapatoTanzania
Kwa kifupi ni kwamba:
Kawaida, chini ya msamaha wa kodi, kanuni ya pili inakata kodi iliyo juu zaidi ukilinganisha na ile ya kwanza, kama ilivyoanisha kwa kifupi hapa chini kufauatana vwango mbali mbali vya mishahara
1.Kiasi cha mshahara: TZS 1,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 265,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 267,000/=,
2.Kiasi cha mshahara: TZS 2,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 400,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 412,500/=,
3.Kiasi cha mshahara: TZS 2,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 535,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 558,000/=,
4.Kiasi cha mshahara: TZS 3,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 670,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 703,500/=,
5.Kiasi cha mshahara: TZS 3,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 805,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 849,000/=,
6.Kiasi cha mshahara: TZS 4,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 940,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 994,500/=,
7.Kiasi cha mshahara: TZS 4,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 1,075,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 1,140,000/=,
8.Kiasi cha mshahara: TZS 5,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- kanuni ya kwanza: TZS 1, 210,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 1,285,500/=,
8.Kiasi cha mshahara: TZS 5,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 1, 345,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 1,431,000/=,
9.Kiasi cha mshahara: TZS 6,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 1, 480,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 1,576,500/=,
10.Kiasi cha mshahara: TZS 6,500,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 1, 615,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 1,722,000/=,
11.Kiasi cha mshahara: TZS 7,000,000/=,
Kodi ya msahahara huu kulingana na
- Kanuni ya kwanza: TZS 1, 750,500/=,
- Kanuni ya pili: TZS 1,867,000/=,
MUBARIKIWE TENA NA BWANA