Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #701
Watu watatu wafanyakazi wenzake na mhusika...............
MAELEZO YA UTANGULIZI
Kawaida mhusika huwa hana mizunguko mingi sana tofauti na ile ya Kanisani na ofisni. Swala analotaka kulieleza kwenye mada hii ni kwamba KUNA SAFARI TATU ZILIZOJITOKEZA KWA MFULULIZO kiasi kwamba kila alipokuwa anatoka nyumbani kuelekea mtaani, alikuwa anakutana na wafanyakazi wenzake, mmoja kwa kila wakati. Kwa hiyo ni kwaamba mhusika alifululiza kukutana na wafanyakazi hawa kila alipokuwa anatoka nyumbani kuelekea mtaani, ila kila mfanyakazi kwa wakati wake tofauti na wa mfanyakazi mwingine
SAFARI YA KWANZA MTAANI (STAFF-MATE-II; SM-I)
Takribani miezi mwilili iliyopita, mhusika aliamua siku moja kutoka na kwenda umbali kidogo, nje ya mazingira ya nyumbani
Ukapita muda tena pasipo mhusika kwenda mtaani, bali akiwa anafanya route za ofisini, nyumbani na Kanisani tu pasipo kwenda mahali pengine popote pale
SAFARI YA PILI MTAANI (STAFF-MATE-II; SM-II)
Toka mhusika alipofanya safari ya kwanza ya mtaani na kwenda kukutana na tumwite STAFF-MATE-I, hakufanya tena safari nyingine, yoyote ile isipokuwa hii ya pili na ambayo nayo alibahatika tena KUMUONA STAFF-MATE-II (SM-II)
SM-II pia anaonekana kama ni swahiba wa karibu sana na Ofisa wa nyumba na mara kwa mara huwa anaonekana kwenye ghorofa wanaloishi mhusika na ofisa wa nyumba, akiwa amemtembelea ofisa mwenzake
Huyu akawa ni mtu wa pili
SAFARI YA TATU MTAANI (STAFF-MATE-III; SM-III)
Mhusika akatulia tena bila kwenda mtaani, ila baada ya siku kadhaa mbele, akajulishwa taarifa za msiba wa nduguyake aliyeuawa na kundi la watu huko kijijini, na mtu aliyemjulisha alikuwa anahitaji atumiwe pesa ya nauli ya kwenda kwenye msiba
Zikapita siku kadhaa tena (mhusika akiwa bado hajafanikiwa kwenda mtaani tena)
Ikatokea Alhamis asubuhi moja akiwa anajiandaa kutoka nyumbani ili aelekee ofisini
Gari ya binti aliyekuwa amevaa kitambaa kichwani, ilimziba kiasi mhusika kiasi cha kutoweza kuiona vizuri gari yake kwa mbele isipokuwa kwa juu tu kwenye bodi
Baada ya mhusika kuchukua bites na kuanza kuelekea nyumbani, wakati anageuza gari ndiyo akabaini hitilafu kweye usukani, ila akaamua kujikokota hivyo hivyo tu mpaka nyumbani, na maelezo mengine kuhusiana na tukio la gari lake kushambuliwa ameshayatolea ufafanuzi humu humu jukwaani siku kadhaa zilizopita
HITIMISHO
Kwa ujumla, mlolongo wa matukio haya ya kukutana na watu hawa watatu uko kama ifuavyo
MTU WA KWANZA: SM-I
MTU WA PILI-SM-II
MTU WA TATU: SM-III
MUBARIKIWE TENA NA BWANA

- Akiwa huko mtaani, alibahatika kumuona mfanyakazi mwenzake akiwa ndani ya gari na kwenye foleni ya magari yaliyokuwa yanatembea kwa mendo wa taratibu sana
- Mhusika wakati huo ndiyo alikuwa amemaliza kupaki gari lake na alikuwa akitemnbea kando kando mwa barabara kwenye uchochoro wa watembea kwa miguu
- Mhusika alibahatika kusalimina na mfanyakazi mwenzake huyu
- Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kukutana na mtu huyu mtaani, mara zote huwa wanaonana mazingira ya ofisini tu
Ukapita muda tena pasipo mhusika kwenda mtaani, bali akiwa anafanya route za ofisini, nyumbani na Kanisani tu pasipo kwenda mahali pengine popote pale
SAFARI YA PILI MTAANI (STAFF-MATE-II; SM-II)
Toka mhusika alipofanya safari ya kwanza ya mtaani na kwenda kukutana na tumwite STAFF-MATE-I, hakufanya tena safari nyingine, yoyote ile isipokuwa hii ya pili na ambayo nayo alibahatika tena KUMUONA STAFF-MATE-II (SM-II)
- Huyu wa pili hawakubahatika kuongea
- Mhusika alikuwa kwenye kibanda cha bites akisubiria afungashiwe na SM-II naye alikuwa kwenye gari iliyokuwa kwenye bararbara ndogo akisubiria foleni ya gari ziilizokuwa zinatoka njia ndogo kwenda kuingia njia kuu
- Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusiika kumuona mtu huyu maeneo yale katika kipindi chake chote ambacho ametokea kufahamiana na mtu huyu
- Siku hiyo mhusika hakuwa amepaki gari maeneo yale, bali alikuwa ameiacha mbele kidogo kando kando mwa barabara akiwa amewasha taa za tahadhari
- Kwa hiyo mhisika hakuwa ameweka gari yake kwenye proper parking space siku hiyo
SM-II pia anaonekana kama ni swahiba wa karibu sana na Ofisa wa nyumba na mara kwa mara huwa anaonekana kwenye ghorofa wanaloishi mhusika na ofisa wa nyumba, akiwa amemtembelea ofisa mwenzake
Huyu akawa ni mtu wa pili
SAFARI YA TATU MTAANI (STAFF-MATE-III; SM-III)
Mhusika akatulia tena bila kwenda mtaani, ila baada ya siku kadhaa mbele, akajulishwa taarifa za msiba wa nduguyake aliyeuawa na kundi la watu huko kijijini, na mtu aliyemjulisha alikuwa anahitaji atumiwe pesa ya nauli ya kwenda kwenye msiba
- Wakati mhusika anapata taarifa hizi, ilikuwa jioni mida ya karibia saa moja usiku
- Mhusika alisita kwenda mtaani siku hiyo kutokana na kutoelewa details za tukio la mauaji ya ndugu yakehuyo. Angeweza kuelewa iwapo tu angeambiwa kuwa ndugu yake alifariki ghafla kwa kuugua ugonjwa
Zikapita siku kadhaa tena (mhusika akiwa bado hajafanikiwa kwenda mtaani tena)
Ikatokea Alhamis asubuhi moja akiwa anajiandaa kutoka nyumbani ili aelekee ofisini
- Umeme ukakatika nyumbani
- Akatoka nyumbani akaacha umeme ukiwa haujarudi na alipofika ofisini nako pia akakuta umeme umeketika
- Akakaa ofisini mpaka kwenye saa tisa kasoro umeme huo ukawa bado haujarudi tu
- Akaamua kuondoka ofisini na kurudi nyumbani
- Still, akili yake ilikuwa imeji-switch kwenda mtaani ili akanunue bites, kwa sababu alikuwa tayari ameshajenga mawazo kichwani kuwa hata nyumbani kungekuwa hakuna umeme, japo aliukuta
- Baadaye aliamua kwenda mtaani kuchukua bites, sehemu ile ile ambaho safari ya pili aliwahi kwenda
- Safari hii alienda akapaki kabisa na gari lake pale pale karibu na sehemu ya bites, japo pia haikuwa ni kwenye parking rasmi, lakini ina nafasi ya kutosha na ni pazuri kupaki kwa muda; aliwasha hazard kwa sababu alikuwa hachukui muda mrefu
- Gari hiyo ilikuja ikapaki mbele ikitizmana na gari la mhusika, na kwa kupishana kidogo
- Binti huyo hakushuka kwenye gari, na aliondoka bila kuwa ameshuka kwenye gari
- Baada ya hapo tena muda mfupi aliingia sasa SM-III akiwa na PRADO yenye namba ambazo kwa kipande, mhusika aliwahi kuzitaja humu jukwaani
- Mtu huyu alikuja akapaki gari kinyumenyume ikawa kama ilikuwa inatokea kule ambako SM-II alikuwa anatokea siku ya safari ya pili, mhusika alipokuwa maeneo yaleyle
- Mtu huyu naye pia, ilikuwa ni mara ya kwanza kwa mhusika kukutana naye maeneo yale na ni mtu ambaye hata ofisini huwa hawaonani mara kwa mara
- Pia mtu huyu anafanya kazi kitengo kimoja na jirani wa mhusika ambaye hivi karibuni jirani huyo alidai kuharibu bodi ya gari la mhusika kwa ajali iliyosbabishwa na rafiki yake mwingine, gari la mhusika likiwa kwenye parking
- Wawili hawa walisalimiana ila hawakuongea
Gari ya binti aliyekuwa amevaa kitambaa kichwani, ilimziba kiasi mhusika kiasi cha kutoweza kuiona vizuri gari yake kwa mbele isipokuwa kwa juu tu kwenye bodi
Baada ya mhusika kuchukua bites na kuanza kuelekea nyumbani, wakati anageuza gari ndiyo akabaini hitilafu kweye usukani, ila akaamua kujikokota hivyo hivyo tu mpaka nyumbani, na maelezo mengine kuhusiana na tukio la gari lake kushambuliwa ameshayatolea ufafanuzi humu humu jukwaani siku kadhaa zilizopita
HITIMISHO
Kwa ujumla, mlolongo wa matukio haya ya kukutana na watu hawa watatu uko kama ifuavyo
MTU WA KWANZA: SM-I
- Alienda mtaani mara ya kwanza na akaonana na mtu wa kwanza
- Gari lake alilipaki maeneo yale yale alipokuwepo
- Gari halikushambuliwa siku hiyo
MTU WA PILI-SM-II
- Alienda mtaani mara ya pili na akaonana na mtu wa pli
- Gari lake hakupaki sehemu alipokuwepo isipokuwa alikuwa ameliacha sehemu nyingine mbali pembezoni mwa barabara
- Gari lake halikushambuliwa siku hiyo
MTU WA TATU: SM-III
- Alienda mtaani mara ya tatu na akaonana na mtu wa tatu
- Siku hiyo, gari lake alipaki sehemu ile ile alipokuwepo
- Siku hiyo gari lake lilishambuliwa
MUBARIKIWE TENA NA BWANA