Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
- Thread starter
- #1,341
UPDATE: MONDAY 20TH FEBRUARY 2023
UCHAMBUZI MFUPI KUHUSU KITU KINACHOITWA “TUKIO” AU “EVENT”: BAADI TU YA VITU AMBAVYO HUWA VINAPELEKEA JAMBO KUITWA TUKIO AU EVENT
Mhusika anapenda kutoa maelezo mafupi tu kuhusiana na vitu ambavyo huwa vinapelekea jambo kuitwa tukio kwa maana kuwa ni vitu gani muhimu ambavyo huwa vinahusika na tukio. Kwa kufanya hivi, maelezo haya yatakuja kutoa mwanga zaidi especially kwenye matukio ya hivi karibuni ambayo yamekuwa yakijitokeza na kupelekea watu washindwe kuyang’amua kama yalikuwa ni matukio halisi, au yalikuwa ni ya kutengeneza, especially yale aliyowahi kuyaongelea kwenye post hii hapa #1,322
BAADHI TU YA VITU MUHIMU VINAVYOUNDA TUKIO
Tukio lolote lile liwe ni halisi au la kutengeneza, huwa linahusisha baadhi ya mambo kadhaa kama ifuatavyo
TUCHUKULIE KWA MFANO TUKIO LA HIVI KARIBUNI LA MTOTO ALIYESEMEKANA KUCHAPWA VIBOKO HADI KUJERUHIWA, HUKU AKIWA NA JERAHA JINGINE PIA ALILOKUWA AMELIPATA KUTOKANA NA KUUNGUA NA PASI
Kwenye tukio hili, kulikuwa na mambo kadhaa ya msingi yafuatayo
JINA LA TUKIO (Name of event):
Mtoto kuchapwa viboko hadi kujeruhiwa” (Name of event)
Chanzo cha “chanzo cha tukio” (Trigger of event):
Mikono ya mwalimu pamoja na fimbo iliyokuwa ikitumika kumchapa mtoto
Chanzo cha tukio (Source of event):
Fimbo iliyokuwa ikimchapa mtoto
Vingine ni kama
Orodha ifUatayo, ndiyo ile inayohusika na mambo ya kwenye tukio lolote lile, bila kujali jina tukio
Muhimu ni kwamba hapa duniani, Mungu aliumba miili ya aina mbili tu (There are only two natural bodies) ambayo ni miili ya viumbe hai pamoja na ule wa ardhi, ukiondoa maji
MFANO WA MATUKIO YENYE KUHUSISHA MIILI YA VIUMBE NA HAI
Tukio lolote linalohusisha miili ya viumbe hai, lazima liwe na components hizi zilizoorodheshwa hapa chini bila kujali kuwa tukio hilo lilikuwa na washuhudiaji au halikuwa na washuhudiaji
Baadhi tu ya components hizi ni
MFANO WA MATUKIO YAYOHUSISHA MWILI WA ARDHI
Kwa matukio yanayohusisha tuseme mitikisiko ya kwenye ardhi, components zote hizi zinakuwepo isipokuwa moja; SENSORY ORGANS
Kwa hiyo linapokuja swala la ARDHI, tunatumia “tailor made” command moja ya computer kwa kui-apply kwenye orodha hiyo hapo kwa tukieesms
Kwa hiyo kwa kifupi, tukio lolote lile bila kujali watu waliohusika au vitu vilivyohusika na tukio, lazima components hizi ziwepo
Components hizi zilizoorodheshwa hapo juu, zimekwepo kwenye matukkio yote ya zamani na pia ya hivi karibuni kama vile
Baada ya tetemeko hilo, kuna matetemeko mengine matatu ya ardhi yalikea tena wiki jana, kitovu chake kikiwa ni Kisumu, Kenya,
UMUHIMU WA ORODHA YA COMPONENTS ZILZOORODHESWHA HAPO JUU; KWENYE MAELEZO YANAYOFUATA NA YANAYOHUSIANA NA CODE TATU AMBAZO HIVI KARIBUNI MHUSIKA AMEFANIKIWA KUZIFUNGU
Tukishaelewana kuhusiana na components hizi za matukio kama zilivyoorodheshwa hapo juu, ndiyo sasa tunaweza kuanza kutembea pamoja na mhusika ataweza sasa kutoa maelezo yanahusiana na code zile ambazo amefanikiwa kuzi-decode hivi karibuni kwa urahisi zaidi
Kwa kifupi tu ni kwamba, kutokana na components hizi zinaonyesha kuwa, mtu akiamua KURUSHA PEPO KWA KUTUMIA TUKIO bila kujali ni tukio gani, anaweza akarusha pepo kwa njia mbali mabli kadhaa kama zilizoorodheshwa hapa chini
Anaweza akarusha pepo kwa kutumia/ au kwenye
Kwa kutumia NAMBA 1 peke yake, mtu huyu anaweza akarusha pepo kati ya
Ikukumbukwe kuwa ordha hii ina vitu 11 tu na kwa hiyo namba 12 haipo. Hata hivyo orodha hii si kamili, ila ni orodha wakilishi kwa ajili ya mfano tu
Mbali na hizo possibilities zinazotokana na namba moja, kwenye tukio hilo hilo, pepo anaweza akarushwa pia kwenye muunganiko wa components zifuatazo
HUKO NYUMA KM-A ALIWAHI KURUISHA PEPO KWENYE MILANGO YA FAHAMU (SENSORY ORGANS) YA WAUMINI KWA KUTUMIA MAFUNDISHO YA KATIKATI YA WAIKI NA YA J2 PIA
Ikumbukwe kuwa miaka michache iliyopita, Kiongozi Mkuu wa Kanisa A (KM-A) aliwahi kurusha pepo kwenye milango ya fahamu ya waumini, pepo ambalo lilikwenda kuhakikiwa utendaji kazi wake, kwenye hafla moja iliyowahi kufanyika Desemba 2020.

- Chanzo cha tukio
- Mahali lilipotokea
- Muda wakati linatokea
- Washiriki wa tukio. Hawa wanaweza kuwa watu au watu na vitu
- Matokeo ya tukio (mfano watu kufa kama ni ajali)
- Washuhudiaji wa tukio. Hawa si wa lazima sana wawepo kwa sababu si lazima kila tukio liwe na washuhudiaji isipokuwa pale wanapokuwepo, huwa wanachukua nafasi mhumu sana kwenye tukio.
TUCHUKULIE KWA MFANO TUKIO LA HIVI KARIBUNI LA MTOTO ALIYESEMEKANA KUCHAPWA VIBOKO HADI KUJERUHIWA, HUKU AKIWA NA JERAHA JINGINE PIA ALILOKUWA AMELIPATA KUTOKANA NA KUUNGUA NA PASI
Kwenye tukio hili, kulikuwa na mambo kadhaa ya msingi yafuatayo
JINA LA TUKIO (Name of event):
Mtoto kuchapwa viboko hadi kujeruhiwa” (Name of event)
Chanzo cha “chanzo cha tukio” (Trigger of event):
Mikono ya mwalimu pamoja na fimbo iliyokuwa ikitumika kumchapa mtoto
Chanzo cha tukio (Source of event):
Fimbo iliyokuwa ikimchapa mtoto
Vingine ni kama
- Nguvu ya fimbo (Energy) inayotokana na muscles za mchapaji
- Maumivu ya fimbo (Body Stimulus)
- Viungo vya fahamu vilivyokuwa vikipokea maumivu (Sensory organs), n.k. na orodha ni ndefu kiasi.
- TRIGGERS OF STIMULI
- SOURCES OF STIMULI
- STIMULI
- ENERGY PRODUCED BY STIMULI
- ENERGY TRANSFERRED
- MEDIA OF ENERGY TRANSFER
- RECEIVERS OF ENERGY /STIMULI (non sensory organs for living things and sensory organs for living things)
- Milango ya fahamu husika na tukio/ SENSORY ORGANS
- Sehemu tukio lilipotokea/ LOCATION
- Matokeo ya tukio (EVENT’’S OUTCOMES: Kwa mfano, mtoto kujeruhiwa na hatimaye kufungwa bandage mkononi baada ya kuwa amechapwa viboko au ardhi kupasuka na nyumba kupata nyufa baada ya tetemeko la ardhi ni mojawapo ya mifano ya matokeo ya matukio
Orodha ifUatayo, ndiyo ile inayohusika na mambo ya kwenye tukio lolote lile, bila kujali jina tukio
Muhimu ni kwamba hapa duniani, Mungu aliumba miili ya aina mbili tu (There are only two natural bodies) ambayo ni miili ya viumbe hai pamoja na ule wa ardhi, ukiondoa maji
MFANO WA MATUKIO YENYE KUHUSISHA MIILI YA VIUMBE NA HAI
Tukio lolote linalohusisha miili ya viumbe hai, lazima liwe na components hizi zilizoorodheshwa hapa chini bila kujali kuwa tukio hilo lilikuwa na washuhudiaji au halikuwa na washuhudiaji
Baadhi tu ya components hizi ni
- TRIGGERS OF STIMULI
- SOURCES OF STIMULI
- STIMULI
- ENERGY PRODUCED BY STIMULI
- MEDIA OF PROPAGATION OF ENERGY/ STIMULI
- RECEIVERS OF STIMULI
- SENSORY ORGANS
- LOCATION
- TIME OF EVENT
- NAME OF EVENT
- EVENT’S OUTCOME (mfano mtoto kujeruhiwa na hatimaye kufugwa bandage usoni)
MFANO WA MATUKIO YAYOHUSISHA MWILI WA ARDHI
Kwa matukio yanayohusisha tuseme mitikisiko ya kwenye ardhi, components zote hizi zinakuwepo isipokuwa moja; SENSORY ORGANS
Kwa hiyo linapokuja swala la ARDHI, tunatumia “tailor made” command moja ya computer kwa kui-apply kwenye orodha hiyo hapo kwa tukieesms
- FIND WORD “SENSORY ORGANS”
- REPLACE WORD “SENSORY ORGANS” WITH WORD “ARHDI”
- TRIGGERS OF STIMULI
- SOURCES OF STIMULI
- STIMULI
- ENERGY PRODUCED BY STIMULI
- MEDIA OF PROPAGATION OF ENERGY/ STIMULI
- RECEIVERS OF STIMULI
- ARDHI
- LOCATION
- TIME OF EVENT
- NAME OF EVENT
- EVENT’S OUTCOME (mfano mipsuko kwenye ardhi)
Kwa hiyo kwa kifupi, tukio lolote lile bila kujali watu waliohusika au vitu vilivyohusika na tukio, lazima components hizi ziwepo
Components hizi zilizoorodheshwa hapo juu, zimekwepo kwenye matukkio yote ya zamani na pia ya hivi karibuni kama vile
- Tukio la mtoto kupigwa hadi kujeruhiwa na Mkuu wa Wilaya
- Tukio la mtoto kupigwa hadi kujeruhiwa na mwalimu wake
- Tukio la watoto kupigwa kwenye nyayo za miguu huku baadhi ya walimu wakiwa wanashuhudia
- Tukio la hivi karibununi la tetemeko la ardhi lililotokea baada ya mtoto kupigwa na kujeruhiwa na mwalimu.
Baada ya tetemeko hilo, kuna matetemeko mengine matatu ya ardhi yalikea tena wiki jana, kitovu chake kikiwa ni Kisumu, Kenya,
UMUHIMU WA ORODHA YA COMPONENTS ZILZOORODHESWHA HAPO JUU; KWENYE MAELEZO YANAYOFUATA NA YANAYOHUSIANA NA CODE TATU AMBAZO HIVI KARIBUNI MHUSIKA AMEFANIKIWA KUZIFUNGU
Tukishaelewana kuhusiana na components hizi za matukio kama zilivyoorodheshwa hapo juu, ndiyo sasa tunaweza kuanza kutembea pamoja na mhusika ataweza sasa kutoa maelezo yanahusiana na code zile ambazo amefanikiwa kuzi-decode hivi karibuni kwa urahisi zaidi
Kwa kifupi tu ni kwamba, kutokana na components hizi zinaonyesha kuwa, mtu akiamua KURUSHA PEPO KWA KUTUMIA TUKIO bila kujali ni tukio gani, anaweza akarusha pepo kwa njia mbali mabli kadhaa kama zilizoorodheshwa hapa chini
Anaweza akarusha pepo kwa kutumia/ au kwenye
- TRIGGERS OF STIMULI (1)
- SOURCES OF STIMULI (2)
- STIMULI (3)
- ENERGY PRODUCED BY STIMULI (4)
- MEDIA OF PROPAGATION OF ENERGY/ STIMULI (5)
- RECEIVERS OF STIMULI (6)
- Sensory Organs (viumbe hai)/ ARDHI (7)
- LOCATION (8)
- TIME OF EVENT (9)
- NAME OF EVENT (10)
- EVENT’S OUTCOME (mfano mipsuko kwenye ardhi) (11)
Kwa kutumia NAMBA 1 peke yake, mtu huyu anaweza akarusha pepo kati ya
- 1 NA 2
- 1 NA 3
- 1 NA 4
- 1 NA 5
- 1 NA 6
- 1 NA 7
- 1 NA 8
- 1 NA 9
- 1 NA 10
- 1 NA 11
Ikukumbukwe kuwa ordha hii ina vitu 11 tu na kwa hiyo namba 12 haipo. Hata hivyo orodha hii si kamili, ila ni orodha wakilishi kwa ajili ya mfano tu
Mbali na hizo possibilities zinazotokana na namba moja, kwenye tukio hilo hilo, pepo anaweza akarushwa pia kwenye muunganiko wa components zifuatazo
- 2 NA 3
- 2 NA 4
- 2 NA 5
- 2 NA 6
- 2 NA 7
- 2 NA 8
- 2 NA 9
- 2 NA 10
- 2 NA 11
- 3 NA 4
- 3 NA 5
- 3 NA 6
- 3 NA 7
- 3 NA 8
- 3 NA 9
- 3 NA 10
- 3 NA 11
- 4 NA 5
- 4 NA 6
- 4 NA 7
- 4 NA 8
- 4 NA 9
- 4 NA 10
- 4 NA 11
- 5 NA 6
- 5 NA 7
- 5 NA 8
- 5 NA 9
- 5 NA 10
- 5 NA 11
- 6 NA 7
- 6 NA 8
- 6 NA 9
- 6 NA 10
- 6 NA 11
- 7 NA 8
- 7 NA 9
- 7 NA 10
- 7 NA 11
- 8 NA 9
- 8 NA 10
- 8 NA 11
- 9 NA 10
- 9 NA 11
- 10 NA 11
HUKO NYUMA KM-A ALIWAHI KURUISHA PEPO KWENYE MILANGO YA FAHAMU (SENSORY ORGANS) YA WAUMINI KWA KUTUMIA MAFUNDISHO YA KATIKATI YA WAIKI NA YA J2 PIA
Ikumbukwe kuwa miaka michache iliyopita, Kiongozi Mkuu wa Kanisa A (KM-A) aliwahi kurusha pepo kwenye milango ya fahamu ya waumini, pepo ambalo lilikwenda kuhakikiwa utendaji kazi wake, kwenye hafla moja iliyowahi kufanyika Desemba 2020.
- Baada ya waumini kutoka kwenye hafla hiyo, walileta mrejesho Kanisani kwa KM-A, madhara waliyoyapata kutokana na kurushwa pepo huyo
- Pamoja na kuwa pepo huyo alirushwa kwenye milango ya fahamu ya waumini, pepo huyo alirushwa kwenye ardhi pia
- Mbali na hilo, orodha ya possibilities zilizoko hapo juu, ndiyo baadhi tu ya milango (si yote) ya kuweza kurusha pepo ambayo KM-A huwa anaifungua pindi anapokuwa amewaomba waumini kupiga makofi ya WALIOKAA TUSIMAME