UPDATE:MONDAY, 13TH MARCH 2023
YALE AMBAYO YAMEKUWA YAKIENDELEA KANISA A KWENYE KILELE CHA SIKUKUU YA WANAWAKE NA BAADA YA HAPO
UWEZEAKANO MKUBWA NI KWAMBA BADO “NCHI NZIMA” INAENDELEA KUCHEZESHWA MZIKI WA NGOMA INAYOPIGWA KUTOKA KANISA A
MAELEZO YA UTANGULIZI
Kufuatia utafiti wake ambao mhusika ameendelea kuufanya baada ya tukio la kufutwa LIVE CLIP ya sehemu ya mahubiri yaliyotolewa Kanisa A J2 ya kilele cha sherehe ya wanawake tarehe 05/03/2023; mambo kadhaa yamekuja kuibuka tena baadaye na hivyo kuonyesha kuwa
kufutwa kwa sehemu hiyo ya mahubiri kuna kitu kikubwa zaidi nyuma yake, tofauti na mhusika alivyokuwa akidhani kablai
Ikumbukwe kuwa clip hiyo ilihusiana na
“MAHUSIANO” ya aina zote; tuseme kwa mfano mahusiano kati ya watu kuanzia majumbani kwao kwenye ngazi ya familia hadi maofisini; kwa waajiri na waajiriwa
UHUSIANO KATI YA
CLIP YA MAHUBIRI YALIYOFUTWA AMBAYO ILIRUSHA PEPO KWENYE “MAHUSIANO YA AINA ZOTE “J2 YA TAREHE 05/03/2023; NA
KUTENGULIWA NAFASI YA KIONGOZI NDANI YA WIKI HIYO YA WANWAKE
Katika hali ya kawaida na kama ambavyo imekuwa kawaida siku zote hapo Kanisa A;
clip iliyofutwa
ilirusha pepo kuanzia J2 hiyo; kwenye MAHUSIANO ya aina zote.
Baada ya pepo kuwa amerushwa kwenye
MAHUSIANO wiki hiyo, ndani ya wiki iliyofuata, kuna kiongozi alitenguliwa; ambaye obvious utenguzi wake ulitokana na
MAHUSIANO yake kuwa katika hali isiyoridhisha na mamlaka ya uteuzi wake
Mbali na hilo, kiongozi aliyetenguliwa ameonekana pia kwenye mitandao ya jamii akiwa anafanya tukio la kipekee sana lililohusina na
MAHUSIANO yake na mamlaka za uteuzi wake
- Tukio hilo limekuwa ni la kipekee mno ikizingatiwa kuwa lilikuwa ni la kuigiza na hivyo la kupanga pia
- Ikumbukwe kuwa hii siyo mara ya kwanza mhusika kuleta humu taarifa za matukio yanayoonekana kuwa ni ya kupangiliwa au kuigizwa na yenye nia ya kurusha mapepo ndani ya nchi.
- Tukio la maigizo haya nalo pia haliwezi kuwa mbali na ukweli huo ukizingatia kuwa lilikuwa ni purely planned.
- Kwa hali hiyo, inaonyesha kuwa mhusika mkuu wa igizo hilo alikuwa na clues za nini kilikuwa kinaendelea, isipokuwa wale ambao walikuwa pamoja naye walitumika tu; hasa wale Askari Polisi
Tukio hili lilikuwa ni la kupanga, na linaangukia pia kwenye yale matukio kadhaa ambayo mhusika ameshawahi kuyaleta humu jukwaani.
BAADA YA UTENGUZI:
MANENO YALIYOTAMKWA NA MTENGULIWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI PINDI ALIPOKUWA ANAKABIDHI OFISI; UKIYAHUSIANISHA NA
MANENO YALIYOTAMKWA KWENYE MADHABAHU YA KANISA A J2 YA TAREHE 05/03/2023
Mahubiri ya J2 tajwa hapo juu yalianza kwa mfano ilioongelea
‘MAHUSIANO” ya watu wazima na kwa clip ambayo muda mfupi baadaye ilifutwa mtanadaoni; na hivyo
mahubiri hayo yalirusha pepo kwenye MAHUSIANO
- Mbali na hilo, kule mwishoni mahubiri hayo yaliongelea tena ‘MAHUSIANO” ya watoto wadogo kwenye mambo ya ulawiti/ uzinzi
- Mambo haya yalitajwa na mhubiri wakati akiwa anahubiri kwenye WIKI YA WANAWAKE, hapo Kanisa A
Mambo yote haya mawili, MAHUSIANO NA ULAWITI ndiyo yale ambayo yamekuja kujitokeza tena baadaye, baada ya J2 ile ya mahubiri na hivyo kuuteka mjadala wa watu NCHI NZIMA hasa kwenye mitandao ya jamii
Ilikuwa ni baada ya kiongozi kutenguliwa uteuzi wake ndani ya WIKI YA WANAWAKE
Japo inaweza kuwa si sababu ya kutenguliwa kwake, kwa kuanzia, kiongozi huyo ameonekana mtandaoni akijishughulika na
MAHUSIANO KATI YAKE NA MWAJIRI WAKE na
kwa namna ambayo ni ya kipekee sana
- Baada ya hapo, utenguzi ulifuata na wakati alipokuwa anakabidhi ofisi, kiongozi huyo amesikika kupitia vyombo vya habari, akijikita kwenye maongezi ya ULAWITI NA UBAKAJI wa watoto; sawia kabisa na mhubiri wa SIKU YA WANAWAKE Kanisa A alivyofanya
- Kwa hiyo maneno yaliyotamkwa Madhabahuni kwenye mahubiri ya J2 tajwa hapo Kanisa A, yameonekana kushahibiana tena na IGIZO la kiongozi huyu ikiwa ni pamoja na maneno yake (kiongozi), huku mambo yote haya yakiwa yamefanyika ndani ya wiki ya wanawake; kwa maana kuwa hata IGIZO nalo pia lilifanyika chini ya kivulli cha wiki ya wanawake
Kiongozi huyu ameonekana
aki-trend kwa tukio la kipekee sana kwenye mitandao ya jamii
; NDANI YA WIKI YA SIKUKUU YA WANANWAKE
HITIMISHO
Bila kujali ni sababu ipi hasa iliyopelekea kuchukuliwa hatua ya utenguzi wa kiongozi huyo, lakini kitu ambacho ni
very obvious ni kwamba
MAHUSIANO kati yake na mamlaka ya uteuzi wake yalikuwa compromised na yeye mwenyewe na katika namna ambayo ilikuwa very unnecessary”, ukizingatia ugumu wa ajira ulivyo nchini mwetu; na kwa tukio ambalo lilikuwa ni purely planned
BAADHI TU YA MAMBO YANAYOPLEKEA TUKIO/ IGIZO HILO KUWA NA SIFA ZA KIPEKEE SANA
Tukio la maigizo ya kiongozi aliyetenguliwa
linakuwa ni la kipekee sana ukizingatia baadhi tu mambo muhimu yafuatayo
- Lilikuwa ni la kuigiza
- Possibly, liilikuwa ni la kwanza kabisa kuwahi kuigizwa na kiongozi wa ngazi ya juu kiasi hicho katika historia ya Taifa letu, ambaye mamlaka ya uteuzi wake ni “Macho ya Nchi”
- Lingeweza kufanyika pasipo muigizaji kuwa yeye au kuwa ni kiongozi kwa sababu mtu yeyote angeweza kuigiza nafasi hiyo for the sake demonstration ikiwa ni pamoja na kufikisha ujumbe uliohitajika kwa hadhira
Hadi hapa, ukizingatia mambo haya mawili, inaonyesha wazi kuwa
ilikuwa ni lazima muigizaji wa tukio hilo awe ni yeye kiongozi mwenyewe kwa sababu baada ya hapo, utenguzi wake ulikuwa umetarajiwa na ambao baada kuwa umefanyika, ulikuwa unampa tena nafasi nyingine ya kuongea kitu kuhusiana na UBAKAJI NA ULAWITI pindi atakapokuwa anakabidhi ofisi kwa kiongozi mwingine
Kwa upande mwingine,
assuming kuwa kweli tukio hilo ndiyo lile lililopelekea mamlaka za uteuzi kuchukua hatua dhidi ya muigizaji; basi ni
obvious kwamba muigizaji hakuwa ameomba ruhusa ya kufanya hivyo kutoka kwenye mamlaka za uteuzi wake
- Na kama hakuwa ameomba ruhusa; hatua hii inalifanya tukio hili kuwa la pekee sana kwa sababu muigizaji alikuwa na siku chache mno ofisini tangu akasimishwe mamlaka ya ofisi hiyo na mamlaka za uteuzi
- Hii inaonyesha kuwa chances ni kwamba muigizaji alikuwa amejiandaa na consequences za igizo hilo na ambazo baada ya kuwa zimetokea, hazikuja kwake by surprise
- Na kama muigizaji alikuwa amejiandaa na matokeo hasi ya igizo hilo, basi ni obvious kuwa igizo hilo lilikuwa na kitu kingine cha ziada nyuma yake na ambacho ndiyo kilikuwa motive halisi ya muigizaji
Tukio hili ni la kipekee sana kwa sababu ni vigumu sana
“for a newly employed employee, na ambaye ana siku kadhaa tu ofisini, kuweza kufanya kitu kikubwa cha aina hii na pasipo kuwa amepata
authorization kutoka kwenye mamlaka zilizo juu yake
TAHADHARI MUHIMU KUHUSIANA NA UTITIRI WA UVUMI WA MATUKIO HAYA YA ULAWITI NA UBAKAJI
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa matukio haya ya ulawiti na ubakaji yapo ila
to some extent yanakuwa
amplified na watu ambao hawana nia njema na nchi yetu;
kwa watu hao kuendelea kubuni matukio yao mengine ya nyongeza ambayo ni ya kutengeneza au kuigiza;
huku matukio hayo nayo pia yakiwa yamebeba effects zilzo sawa na yale ambayo ni halisi
- Lengo la watu hao ni kuongeza idadi ya matukio haya na hivyo kuifanya Serikali iweze kujitafakari kwa hatua ambazo tayari imekuwa ikizichukua na kuzitumia katika kushughulika na matukio haya
- Kwa maoni yake yeye mhusika, tahadhari anayoomba kuitoa hapa kwa Serikali ni kwamba nabidi Serikali wawe waangalifu sana kwa HATUA MPYA ambazo wanaanza kuzichukua katika kushughuulika na matukio ya aina hii
Mbali na hayo, tahadhari nyingine kubwa sana ni hii:
KANISA A; KANISA A; KANISA A; KANISA A; KANISA A; KANISA A;……………………
Hatua tuseme ya Serikali kufuta shule za
boarding kwa watoto wenye
age group fulani, kunaweza kukaja kukazalisha matatizo mengine kadhaa yakiwemo makubwa mawili ambayo obvious, mojawapo ni kuazalisha wimbi la
walezi wa nyongeza majumbani wenye utashi wa kunyonga watoto pindi wazazi wao wanapokuwa wapo makazini, ambalo ndiyo baya zaidi
- Walezi wa aina hii wanaoweza kuwa wananyonga watoto, wanaweza kupangwa, in as much the same way kama ambavyo matukio ya sasa ya nyngeza ya ubakaji na ulawiti yamekuwa yakipangwa
- Kuna uwezekano kuwa wale ambao wamekuwa wakipanga matukio haya ya nyongeza (ambayo si halisi), wanajaribu kui-prompt Serikali ili ione kuwa ni bora zaidi kufuta shule za boarding kwa watoto wadogo badala ya kuizacha, halafu ikishazifuta, Serikali hiyo hiyo kakabiliane tena na plan B ya maadui ambayo ilishaandaliwa siku nyingi; plan ambayo kwa sasa wao (Serikali) wanaweza kuwa hawaijui na wala kuwa na idea kama ipo
ASSUMING HAWA WANAOZIDI KU-AMPLIFY MATUKIO YA UBAKAJI NA ULAWITI WA WATOTO; WANA MPANGO WA KUICHONGANISHA SERIKALI NA WANACHI
Mbali na hayo, kati ya vitu ambavyo kwa mara ya kwanza Serikali ya awamu ya sita inaonekana inaweza kuja kuchonganishwa sana na wananchi na kuingia nao kwenye mgogoro mkubwa, ni hlili la kufuta boarding za watoto
Ni ukweli usiopingika kabisa kwamba kwa rika fulani za watoto, kukaa
boarding ni lazima tu huwa wanakosa baadhi ya mambo muhimu ambayo walitakiwa kuyapata kupitia familia zao kupitia kwa wazazi au walezi wao.
Still, ukifanya ulinganifu wa mchanganuo kati ya kile ambacho watoto hawa huwa wanakikosa kwa kukaa
boarding na ulinzi na usalama ambao huwa wanaupata wakiwa shuleni
boarding mikononi mwa mikono salama mno ya walimu wao, kile wanachokosa na ambacho walitakiwa kukipata kwenye mazingira ya nyumbani
is by far much less ukilinganisha na ulinzi wanaoupata watoto hao pindi wanapokuwa wapo mazingira ya shuleni na walimu wao
Katika hili; kama waTanzania
, tunahitaji tena kuwaombea sana Wizara Ya Elimu ili waweze kutembea tena na Mungu katika kiwango ambacho wamekuwa wakitembea naye siku zote
TAHADHARI MUHIMU SANA:
KANISA A; KANISA A; KANISA A; KANISA A; KANISA A; KANISA A;……………………
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA