Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna codes maalum zinadondoshwa hapa kwaajili ya watu maalum, kwa sababu maalum. Kuna baadhi nimeambulia, baadhi nimetoka patupu.Huu uzi wa NALIMISON
Nitaupitia mkuuKuna codes maalum zinadondoshwa hapa kwaajili ya watu maalum, kwa sababu maalum. Kuna baadhi nimeambulia, baadhi nimetoka patupu.
Dr anasingiziwa wakati amechukuliwa picha akiongea mubashara? Huu uzi nikiusoma, napata hisia ya ama mimi nimechanganyikiwa au mleta uzi amechanfanyikiwa.UPDATE: TUESDAY, 23RD MAY 2023
“KEYS” NYINGINE AMBAZO KM-A ALIWAHI KUZICHAGUA SIKU YA J2 HUSIKA
Mbali na kuchagua “KEY” ya PROFESA siku hiyo KM-A alichagua pia KEYS zingine kama DR, MR, MRS, PASTOR n.k huku miongoni mwa watu wawili aliowatumia kwenye uchaguzi wa KEYS hizo wakiwa wanandoa MR and MRS; au mke na mume wake
Kwa hiyo keys zote hizi zikiwemo na nyingine ambazo hazijatwajwa hapa, zilirushiwa mapepo J2 hiyo
Baada ya kupita wiki chache tena, kwenye J2 moja, mhubiri aliyekuwa amesimama madhabahuni akifundisha neno la Mungu, akatoa ushuhuda wa mtu aliyekuwa amepokea uponyaji Kanisani hapo kutokana na Uziwi, yaani alikuwa kiziwi
BAADA YA WIKI CHACHE KUPITA MBELE; COINCIDENCE NYINGINE IKAJITOKEZA TENA
- Mhubiri alimwita muumini huyo na kumpandisha juu madhabahuni mahubiri yalipokuwa yanaendelea, ili muumini huyo aweze kutoa ushuhuda mbele ya waumini wote, juu ya uponyaji ambao alikuwa ameupokea
- Mhubiri alieleza pia kuwa mtu huyo aliyepokea uponyaji wa masikio, aliletwa kanisani hapo na muumini ambaye wakati wa uchaguzi wa keys za KM-A, mtu huo aliwakilisha ile title ya MRS, yaani yule mke wa mtu
Safari hii, Macho ya Nchi yalianza kutumia rasmi title ya DR
BAADA YA HAYA YOTE KUWA YAMETOKEA, HIVI KARIBUNI TENA NDANI YA MWAKA HUU
Matukio ni mengi ila kitu kingine kikubwa ni kwamba baada ya haya yote kuwa yamepita, tukio jingine ambalo ni notable ni kwamba kwenye J2 moja ndani ya mwaka huu, KM-A alisimama tena madhabahuni kutangaza maombi yaliyohusiana na mambo ya ushoga/ ulawiti, naombi hayo yakiwa yamesimamia kwenye fungu la 1 Kor 6:9-10 ambalo alilisoma mbele ya Kanisa zima.
Fungu linasema hivi:
“Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.”
Zilikuwa ni tetesi tu za kwenye mitandao, na possible DR huyu hakuwa ametamka maneno hayo, alikuwa ansingiziwa
- Kabla hajasoma fungu hilo, KM-A alieleza kuwa kilichokuwa kimemsukuma kutangaza maombi hayo ni baada ya kusikia kuwa kuna mtu DR ambaye taarifa zake zilikuwa zimeenea mtandaoni; huyu ndiye aliyepelekea KM-A akatangaza
- KM-A alikuwa anamaanisha DR yule ambaye tetesi zake zilienea mtandaoni kuwa alisema anayo orodha ya mashoga ambayo anaweza kuwakabdihi Serikali
Hata hivyo, kilichodhihirka wazi hapa ni kuwa nia kubwa ya KM-A J2 hiyo ilikuwa ni kuhakikisha kuwa ametamka neno DR akiwa amesimama madhabahuni.
Huyu kiongozi mstaafu aliyekuwa ametajwa kuhusina na teteis hizo za mitandaoni na ambaye anaheshimika sana nchini, atakuwa alitumika tu kama chambo
Coincidence nyingine moja muhimu iliyojitokeza hapa kwenye tukio hili la DR ni kwamba tangazo la KM-A lili-base kwenye taarifa ziliokuwa kwenye mitandao. Vile vile tukio la ajali ya ndege lilitabiriwa kwenye mitandao kwanza halafu ndiyo likatokea
Kwa hiyo kama taarifa hizi zilikuwa ziko pre-prepared kwa ajili ya tukio fulani la mbele lilokuwa limepangwa kutokea, basi mtandao utakuwa ulitumika kwenye matukio yote haya mawili; yaani lile la ajali ya ndege na hili la KM-A kutangaza maombi kwa ajili ya kuombea ushoga
In the war between falsehood and Truth (GOD), falsehood wins the first battles and truth, the last
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Tafadhali naomba usome tu, usichangie. Kama una hoja simply PM!Dr anasingiziwa wakati amechukuliwa picha akiongea mubashara? Huu uzi nikiusoma, napata hisia ya ama mimi nimechanganyikiwa au mleta uzi amechanfanyikiwa.